UKIMWI WA KUROGEZEWA UNAVYOTENGENEZWA, KUJUATHIRI NA NAMNA YA KUTIBU



MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU YENYE FAIDA KWAKO.

WACHWI WANA UWEZO MKUBWA WAKUYENGENEZA KITU KISIONEKANE NA MACHO YA KAWAIDA. WANAWEZA KUKUSABABISHIA MARADHI MAKUBWA YAKAKUDHURI NA KUKUTOA DUNIANI KABISA KAMA USIPOTIBIWA KWA HARAKA. LEO TUNAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA UGONJWA WA UKIMWI WA KUPANDIKISHIWA YAAM UKIMWI WA KIROGEZEWA.

zipo dhana zinasema hakuna ugonjwa unaweza kupandikizwa mwilin kichawi. Lakini watu hujiongopea maradhi yapo na yanapandikzwa. Huu ukimwi hutengenezwa kwa shahawa za mwanaume aloyeathirija katika maisha ya kawaida. Humjia usiku na kumfangisha tendo la ndoa atakapotaka kukojoa hukinga yale manii yake na kuondoka nayo. Huchukua unga wa mifupa ya mtu aliyefariki huchanganywa na mambo mengine ambayo si salama kiyataja hapo unakuja kukishwa usongizn utaona yuwala au kunywa kitu maradho yataanzia hapo.

Sasa unaweza kuwa na dalili zote za ugonjwa wa ukimwi mpaka madaktaei watayhibitisha kuwa kwa dalili hizi huyi kaathirika ukipimwa hamna kitu. Ujue ni moja ya dalili ya ugonjwa wa kitengenezwa. Pili ikiwa wanataka kukuaa hataka ukipimwa ugonjwa unaonekana kwamba kwwli umeathirika saaa ukija kitumia dawa hupati nafuu siku zinaenda mwiaho wanazika inabaki marehem alijjtahd kumeza dawa ila hazikumpenda kumbe kuna visababu na vifanyo vilifanywa.

Ikiwa yiwaota unalishwa vitu kifanya sana mapenzi usiku sio mambo yakuupa yatakiwa uonue mamcho jui uangalie nmelishwa nn na vipi najikwamua. Hapo sasa yatakiwa ufike kwa wataalam wakuangalie aina ya gani ya uchawi uliotumika uteguliwe utapishwe vitu ulivyolishwa kisha ufuate tiba kwa maeleoz yafutayo 

       VIPI UTATIBI BAADA YA KUTAPISHWA UCHAWI.

Upate majani ya kutosha ya mti wa mbono kaburi mwwkundu achana na ule wa kijani ukisoma mpaka mwisho nmeweka link ili uone hayo majani kwa picha maana yangu usije tumia kitu kikakudhuru baada ya kukutibia. Majani ya mbono mwekundu utatwngenza juisi majani 21 kwa siku moja kisha utachukua mihogo mitamu hii mihogo ya kawaida pima uref wa mkono wa mgonjwa kama ukiwa ni muhogo mmoja au kuiunganisha ila ifikie urefu wa mkono wa mgonjwa pia utatengeza juisi.


mbono mwekunde

Mihogo

Saga kila juisi kivyake kisha zichanganye pamoja subiri kama dkak 45 koroga ichanganyike. Matumizi asubhhi kabla ya kula chochote kile kunywa juic kikombe kimoja. Kisha kaa walau saa moja ndipo utie kitu kingine kinywani mchana kati ya saa sita mpaka saa tisa fanya tena hivyo kunywa juis kicha kaa tena lisaa lizima ndipo ule kitu kingine jioni ukitaka kulala kunywa lala. Dumu kwa muda wa aiku 40 au miez miwip huku ukiangalia afya yako. Hii hata wagonjwa wa ukomwi wa kawaida mnaweza tumia kupandiha cd4.

Dawa ya pili ni Majan ya mronge Majani ya mnyonyo mwekundu na Majani ya Mbuyu uliopita umri wa mgonjwa. Yaanikwe pahala pasipo na jua. Kisha yatumike kwa kuchemsha maji kisha glas moja weka kijiko kidogo cha sukar anywe mara mbili kwa aiku ndani ya mwez mpaka miez miwil itategemea na ukongwe wa ugonjwa. Siku za kwanza atapata maumivu ya viungo avumilie ndipo tiba inaingia vzuri aache pombe na jimai.

Unga wa mronge

mnyonyo mwekundu

Dawa ya tatu ni majani ya mbuyu ulipita miaka 50 yakaushe pasipokuwa na jua kisha yasage uchuje upate unga wake laini. Kisha upate unga wa dona la mtama uwe unatumia kiyengemeza uji kwa kuweka hiyo dawa. Tumia kwa kunywa mara mbili kwa aiku ndani ya siku 21 baada ya hapo nenda kapime uangalie maendeleo yako bado ongeza tena siku 21 yatakiwa ziwe 21 mara tatu ila wasioathirka sana wanapona mapema. Hii hata wale wwnye maambukizi halisi hupandisha cd4 ushaur usifanye ngono kipindi cha dozi utakuja nishukuru.

     UKIMWI WENYEWE WA ASILI UNAPONA

Kila ugonjwa ulioshushwa duniani umeletwa na tiba yake kasoro kifo tu ndio hakina dawa. Hivyo zipo nadharia kuwa ugonjwa huu hauna dawa wala tiba. Ukweli tiba ni imani na kufuata masharti husika. Zipo tiba nyingi zinazochukua muda kutoa majibu.

 Kwanza yatakiwa upandishe cd4 kisha ndipo utibiwe shida husika hapa ntakupa kitu chakujifunza penda kuchuja tui la nazi hakikisha nazi iwe imekomaa lile tui liwe bubu yaan mchujo wenyewe wa nazi tu usitie maji hata kidogo kama ikiwa maji basi yawe maji ya nazi yenyewe kisha utie asali ml 28 kwenye tui milimita 500 Kunywa walau mara moja kwa siku ndan ya wiki mbili kisha kaangalie cd4 zako.
nazi

Unga mronge pia unaweza kutumia kwa uji wa dona mara mbili kwa siku ndani ya miez mitatu inapandisha pia cd4. Shart usiwe unafanya sana mapenzi walau mara mbili kwa mwezi ili upate matokeo haraka. Uwatu pia ule wwnyewe halisi wa punje chemsha kwa kuchanganya na punje za habbat souda kunywa maji ujazo wa kikombe kidogo mara tatu kwa siku ndani ya siku 40 vipo vitu vingi zipo dawa nyingi kikubwa ni imani wakati unatumia dawa hizi za kupandisha cd4 usiache dozi yako ya hospitali maana ni hii ni tiba ya kupandisha kinga.
habbat souda


Uwatu

Kuna mti unapatiakna kando za pwan unaitwa mkakati au mshbiri wa asili au mtini au kaktus una vimiba pembeni tengeneza juisi yake pia hupandisha cd4.

Jani hili pia ukipata unga wake ukachanganya na unga wa mbegu ya parachichi pia ni bita bzur kwa kutumia na uji wa ngono nzima. Hupandisha haraka.

Kwa wanohitaji tiba hakikisha unakuwa na imani na mtu utakayemuendea. Pili imani ya dawa husika tatu kufuata mashart utakayopewa. Watu wapo na dawa wanazojua pia wajanja wapo angalia usipelekwe marikiti jitoe nenda watu wanoishi maporini upate vitu halisi. Muamini Mungu wako weka imani yako kwwnyw hitaji lako utapata salama kwake.

        MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA 

KILA SHIDA ITIBIWE KULINGANA NA CHANZO CHA TATIZO HUSIKA. UNGALIWE UNASUMBULIWA NA KITU GANI KIFANYIWE MATIBABU KISHA YATIBIWE MATOKEO. HII HATA WANAOTAFUTA UZAZI UTAKTA MTU ANAKUNYWA DAWA HAJUI SHIDA IMEANZIA WAPI MFANO MTU MWENYE VIFUNGO AU JINI MAHABA ANAKUNYWA DAWA ZA CHANGO. UNAKUTA MTU ANA VIFUNGOA VYA NUKSI ANATAKA DAWA YA KUPWNDWA KABLA HAJAFUNGULIWA HIVYO MJITAHD MNAPOENDA KITAGMFUTA MAHITAJI YA DAWA ITIBIWE SHIDA HUSIKA AMA CHANZO CHA TATIZO.

YAPO MARADHIENGI YAKUTENGENZWA ILI KUATHIRI WATU WENGINE KICHWAI MAGONJWA YA KANSA INI FIGOKIHARUSI NA MARADHI MENGINE. MNAWEZA TUMIA DAWA ZA HOSPITALI HAKUNA NAFUU MWISHOWE MNAMPOTEZA MTU. INAKUWA IMEKADIRIWA WATU WAONE AUMWA KITU FULANI ILI IWE RAHISI KUMUUA NA KUKIDHI KILE WALICHOKUSUDIA.

una shida yoyote ya biahsra kazi nyota mapenzi nguvu za kiume kukuza shakae uzazi pete za bahat bawasiri nk

+255621442936

KWA WALE MNAOTUMA UJUMBE JITAHD KIWEKA MAELWZO YANAYOELEWEKA JUMBE FUPI SITAZIJIB


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI