KUHUSU MAMBO YA KAMALI 'BETTING' MILKI NA MAJINI YENYE NGUVU NA NAMNA YA KUSHINDA



UCHAMBUZI HUU UMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWQ ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

HUWA napokea jumbe na maswali mengi kuhusiana na mambo ya kamali wengi wanauliza kuna dawa ya kamali wakitaka kujaribu. Leo nmeona nitolee ufafanuzi hizi kama ninavyoyatolea mambo mengine ninayoulizwa lengo ni kuwafungua akili aidha upate uelewa lakini kubwa zaidi usitapeliwe kizembe, kama umelaiki page yangu mtabibu asilit tz halaf bado unaish kinuonge wewe ni mzembe.

Kuna mambo mengi yanayonasibihana na mambo ya kamali na huwez kushinda mshindo mkubwa kama hujainhia kwenye ulimwengu wa wamiliki wa mambo ya Kamali. Kumbuka kamali zote duniani ni mchezo wa shetani na kuna mashetani saba wakuu ndio wanaosimamia michezo ya kamali wakiwa na wasaidizi ama wasimamizi mashetani 45. Kila shetan ana siku yake yenye nguvu kutoa mshindi hivyo sio kila siku atakuwa shetan mmoja lakini pili kila mwaka kuna namba ya siri ya ushindi ambayo shatan mwwnye nguvu chini ya lusifer kwa mwaka huyo anakiwa nayo begani.

       MASHETANI WANAOSIMAMIA KAMAL

mchezo kamali usimamizi wake upo kuzimu siyo mchezo wa majini bali unasimamiwa na mashetan na ili ushinde ni lazima ule viapo vya kishetani sio kijini. Nafikiri nikisema shetani naeleweka sababu nishafafanua nyuma tofauti kati ya jini na shetani. Shetani mwenye nguvu zaidi kati ya wake saba ni MINSON ambaye ana vibaraka 45 ambao na wao wwnye nguvu zaidi ni Surgr, Uthy, Heramal na Trimasel.

Huyu anasimamia makasino makubwa na ili umiliki kasino lazima uwe nal hawa ndio utakuwa unaoiga pesa vizuri na ili ushinde kamari lazima uwe na unasaba nae ndipo utashinda. 

NAMNA YA KUWAPATA  kwanza kwa wanaokwemda kasino yatakiwa uwe na mihuri yaani ushajua alama zao kuna vitu yatakiwa kwenda navyo kama ishara kuna vyakula vyao maalum huhusiana hasa na viongo vya wanyama yaweza ikawa moyo jicho hasa bundi nk. Wakati unachezq atahisi nu mwenzio hivyo atabana zile shart na unashinda kiwepes. Pia zipo njia za kuwa unaonana nae bimaana anakupa jibu au njia hapo hapo unapocheza hizo kamali zako.

Hawa wana mavazi yao vyakula vyao na manukato mpaka miwani unapokwenda kucheza kamali ili iwe rahisi wao kukujua kama ni mionhoni mwao. Kama utaoata bahat ya kuinhia kuzimu unaweza kuonana nae live mkapanga mipango na akawa anakuongoza kwwnye mishindo mikubwa muhimu kuzingatia mashart yenu.

     NAMNA WANAVYOSIMAMIA MIPIRA

Mpira ni miongoni mwa shughuli za shetani ila huna nguvu sana ikiwa hautawekewa kamali yaani lazima kuahidiwe kitu iki ushindi upatikane hapo unainhia kwenye usimamizi wa mashetani. Watu shikeli wanaweza kupiga hesabu ukaona timu fulani leo inashinda majibu kila kitu yapo sawa bimaana mwenyw nguvu siku hiyo na Sayari inayosimamia saa ila kwwnye matokeo mshindi akashindwa hapo jua sio mtaalam muonho au haweza ila jua mashetani washatia mikono yao. Sasa ili uwena uhakika ni lazima shughuli yako isimamiwe na mashtani na kuna shetam mwwnye nguvu sana kwenye mipita sitamtaja ila chakula chake ni samaki bunju wakavu.

Hapa pia pahitajika mashetani ukaribu nao ili kiwezakushinda hakuna haja kukoga dawa hapa hakuna haja ya kuchoma dawa hapa ni maagano na maridhiano dhidi ya mashetani.

     NAMNA WANAVYOSIMAMIA KAMALI NYINGINE

Watu wanaofungua kamali iwe betting kasino nk huwa na maagano na hawa viumbe na huwepo kwenye ofis zao ili kuzisimamia wao kupata pesa kirahisi. Unaweza kujikuta unaenda sawa ukaona bado kidogo ushinde ila unakosa mwishoni sio akili yako mwenye mamlaka keshafanya kazi yake. Hivyo kamali yoyote ile ili uoige mshindo fuata ushair nloweka hapo juu. 

Unaweza kula pesa ndogo ndogo kama utafuta nyota yako bimaana siku ya bahati saa bahati na namba za bahati za siku yako ukizifanyia kazi unaweza kushinda pesa ya kula ila kama unataka mshindo jipange kwa kishindo.

    NAMNA YA KUUNGANA NAO UPATE USHINDI

Kuna njia nyingi zipo kwenda kuzimu moja moja kupitia malango yao, zipo za kuwaita huku juu ukazungumza nao ukaelewwna nao mkaingia makubaliano. Muhimu kujioanga nayo ni rangi nyekundu na bluu bahar lazima uwe na pete ambao watakuwa wakiingia na kutoka kwenye hyo pete ishara na saa za uahindi watakuwa wakikupa kwwnye pete. 

Mavazi vyakula manukato yao ni muhimu kuwa nayo unaopenda kucheza kamali ili jini wa zamu akutambue na wakati anakula wewe unapata upenyo wa kushinda.

muhimu unaangaliwa nguvu zako na asili yako vinaweza kwenda nao sawa yaan kuoata ujamaa nao utahitajika upate nini na nini ili ukutane nao kumbuka shughuli zao ni lazma kafara za wanyama zihusike hata kwenye kupeleka maombi tu lazima utie chambo NI LAZIMA UPATE WATAALAM WA MASUALA YA MAJINI HASA WALIOASI MASHETANI

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

HATA WATU WANAOFANYA BIAHSRA HARAM MFANO KUJIUZA POMBE MABAA NK WANAWEZA KUWATUMIA HAWA NDIO UNAKUTA SEME BIA INAUZWA ELF 5 UNAENDA MWENYEWE UNAOITA JIRAN YAKO BIA ELF 2. UNAKUTA MWANAMKE UNAMLIPA LAKI MBILI BAADAE UNASHTUKA HIVI AKILI YANGU KWELI NILIPE MWANAMKE LAKI MBIL MARA MOJA

NI HAWA VIUMBE WANAKUWQ WASHAINHIA MAKUBALIANO NA HUWACHENGUA AKILI WATEJA UNACHOAMBIWA NDICHO UNACHOFANYA UNAWEZA KUUZIWA KUKU MZIMA ELF 30 KWAKO SAW TU UNASEMA TUMIA PESA IKUZOEE PALE HAKUNA TUMIA PESA USHAZUNGUKWA KIAKILI I AKUWA SIO AKILI YAKO WAKATI ULE.

HIVYO NMEJIBU MASWALI NAWWZAJE KUSHINDA MSHINDO BETTING NIMEJIBU NAWEZAJE KUSHINDA KAMALI PESA KUBWA MAJIBU NMETOA HIVYO AKILI KICHWANI MWAKO. NMEELZA KWAMBA KUPATA PESA NDOGO FUATA USHAUR NILOWEKA.

Una shida binafs ya kinyota mapenz kazi biahsra nguvu za kiume kukuza dhakar uzazi  biahsra pete za bahati nk

+255621442936
Mnaoutuma ujumbe weka maelezo ya kutosha juu ya shida yako jina pahala ulipo na shida husika.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI