Posts

Showing posts from February, 2020

NDOTO ZINASHOARIA UCHAWI, KUROGWA NA KUCHUKULIWA MSUKURE

Image
NDOTO ZINAZOASHIRIA UCHAWI, KUROGWA, MSUKULE  KUna ndoto ukiota inaashiria wewe muotaji umerogwa au unataka kuingizwa kwenye chama cha wanga au unataka kutolewa msukule kuwa makini katika usomaji. Kuna hatua kama nne kuu za mtu kuingizwa kwwnye wanga hizi nitazizungumza siku nyengine mungu akitupa uhai leo tuangalie hizi ndoto na tafsiri yake. Ukiota nyoka mweusi amekuingia mwilini kwa aina yoyote ile iwe kapitia miguun kichwani mkononi tumboni ni ishara ya kuingiwa na jini wa kichawi ambao ametumwa na wachawi. Ukiota unakula nyama na ndoto zikawa zajirudia mara kwa mara ni ishara ya kulishwa vitu vibaya na wachawi usiku sasa aidha wanakulisha kwa kukudhuru au wanataka kukuingiza chamani. Hapa hata ukiamka asubuhi msomo huhisi kweli ulikula kitu usiku. Kuota unaingiliwa kimwili mara nyingi waenda usiku anaweza akakutongoza mchana ukakamtalia basi huja kukuadhibu usiku utaota unaingiliwa na mtu tena kwa fujo na ukiamka hujikuta umechoka  na umechafuka na wakati mwingine huku

MIZIZI YA MLAZALAZA LUFYAMBO KATIKA DAWA ZA MAPENZI

Image
MLAZALAZA LUFYAMBO  KATIKA MAPENZI MTI unaouona pichani nishauzungumzia mara kadhaa kwenye makala zilizopita leo nitazungumzia mizizi yake katika mapenzi Hapa ni mpenzi bimaana mke mume au mtu unayejamiiana nae fuata taratibu zifuatazo Amka asubuhi ukiwa msafi bimaana kama umelala na mwenzio basi ujitwayarishe  vzuri usiwe na janaba hedhi wala nifasi Elekea eneo lenye mti huo pichani ukifika gonga hodi sema wewe mlazalaza nmekuja kumlaza fulani bin fulan au fulan bint fulan utachuma majani na kung'oa mizizi kadhaa huku ukiendelea kunuia Ukimaliza rudi nyumbani kwako twanga vyote kwa pamoja tia mafuta zaituni kidogo kisha kama n mwanaume pakaa kwenye kichwa cha uume kama mwanamke paka kwenye kinena na mlango wa uke acha mpaka ikauke Nenda kaingiliane nae hakika utamlaza kweli na atakupenda mpaka utamchoka Ukitaka akihadithie mambo anayoyafanya kUKna tarasimu utamuwekea kwenye mto wake wakati ukimfanyia hivyo atakuhadithia kila kitu usiku mkiwa katika tendo kw

FAHAMU KUHUSU MLUFYAMBO MLAZAZA TIBA NA DAWA KWA WATOTO NA KINAMAMA

Image
FAHAMU KUHUSU MLAZALAZA' LUFYAMBO MTI huu huoatikana kwa wingi ukanda wa pwani hasa maeneo ya mapori na makaburi. Mti huu una sifa ya kutambaa na kutoa mbegu zenye rangi mbili nyekundu na nyeusi. Mti huu ni dawa kubwa sana katika matibabu ya asili na uganga wa jadi. Leo nitagusia vitu vikubwa vina vyoweza kufanywa na mti huu, kwa chochote usifanye kwa kujaribu tiba ni imani. Majani yake ni tiba kubwa ya kifua na pumu  Mtu anaweza kupata pumu iwapo atakuwa anakaa karibu na moshi  au wakati mwingine anaweza kurithi kutoka kwa mmoja wa wazazi au ndugu  wa damu aliyewahi kukumbwa na maradhi hayo. Namna ya kutumia: Chukua majani mabichi ya mmea huu yenye uzito wa nusu kilo, yatwange au yasage kwenye mashine  ya juisi ili kupata juisi. Juisi hiyo changanya na mayai matatu ya kuku  wa asili, asali vijiko vitano vya chakula na limau mbili au tatu itategemeana na ukubwa wake, changanya vizuri mchanganyiko huo. Kunywa nusu glasi kutwa mara  mbili (asubuhi na jioni), muda wa siku

MFAHAMU JINI MAHABA ANAVYOINGIA DALILI MADHARA NA MATIBABU YAKE

Image
MFAHAMU JINI MAHABA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU YAMEJAA MITIHANI MINGI INAYOPELEKEA MWANADAMU KUPATA MITIHANI YA KIMAISHA, KIMAUMBILE NA KIAFYA. KATIKA VITU AMBAVYO VINAWATESA WATU WENGI WALIOPO NA WASIOPO KWENYE NDOA, WAUME KWA WANAWAKE NI JINI MAHABA. JINI MAHABA SHEYTWANI ANAYEMJIA MWANADAMU KWA LENGO LA KUFANYA NAE UCHAFU WA ZINAA  WATU WENGI WAMEKUWA WAKISUMBULIWA NA JINI HUYU MPAKA KUSABABISHA KUVUNJIKA KWA NDOA. MTU KUCHUKIA WATU WA JINSIA NYENGINE. KUINGILIWA NA NUKSI NA MAMBO MENGINE.  VIPI JINI HUYU ANAWEZA KUWAINGIA WATU  1.Wanaopenda kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto 2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} 3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama wakiwa uchi 4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua  5.kutupiwa na wachawI 6. kuingia chooni bila dua  hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukum

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI

Image
Faida za mtunguja, mtura. Mti huu unaingia miongoni mwa miti midogo duniani ambayo inafaida kubwa katika afya ya mwadamu. Na mti huu si sumu kama inavyopotoshwa na wengi Kwa ufupi mtu huu unafaida, kiafya, kiurembo na masuala ya mapenzi. Kwenye mapenzi dawa za mapenzi masomo yanatolewa whatsap group. Leo tutazungumzia kwenye afya na biashara na kukinga wachawi Maradhi ya kuumwa meno Km jino limetoboka chukua mzizi wa mti wa mtura mkavu chemsha na chumvi kisha nyunyuzia kwenye shimo Km halijatoboka sukutua Mara tatu kwa siku. Kwa watoto wadogo wa kiume wenye ugonjwa wa ngiri kende kusinyaa. Chukua mizizi ya mti huu na mzizi wa mpapai dume itimie saba Chemsha mpe anywe kutwa Mara mbl kwa ck saba Kwa wakubwa Hii inatuliza tu maumivu kutokana mdudu kukomaa ukhtaj dawa nione. Maumivu ya hedhi Chukua unga wa tunda zake kijiko kimoja weka kwenye glass ya maziwa ni dawa mujarabu kwa kunywa. Tumia mpaka maumivu yakate. Kwa matatizo ya uzazi Hutumika mizizi ya mti huu mti wa mzalia nyuma mti wa