MADHARA YA ZINAA 'MAPENZI' KINYOTA INAVYOHARIBU MAMBO YAKO VIFUNGO VYA MWILI




KWENYE makala za uchambuzi wa nyota mara kadhaa nmekua nikizungumza kuhusiana na kuchanganya wapenzi kunaweza kukuharibia mambo yako hasa kinyota. Pia tabia ya kuwa na mtu ambaye hakuendani kinyota inaweza kukupa madhara. Tufahamu je ni kwa namna gani wapenz zinaa inaweza kukuharibia mambo yako kinyota soma kwa umakini makala haya jitahdi usome mpaka mwisho kuna funzo utalipata na kama una tatzo tayar utajua wapi pakuanzia.


Zinaa imezungumzwa kwenye vitabu vya sini kuwa na uchafu na sio miongoni mwa njia nzuri. Uharamau wa zinaa umeelezwa kwa kina vitabu vya dini kiimani, pia ukaelezwa madhara yake kisayansi kwamba kuna magonjwa kadhaa ya zinaa yuwaweza kuyapata ikiwa utadumua au kufanya uchafu huo. Kuna kinga kazaa zmegunduliwa ila leo hapa nitakueleza hata ujikinge vipi kuna vitu huwez kuepukana navyo kinyota.

Ipo imani ukitembea na mtu fulani basi mambo yako yatakuwa kama yule uliyetembea naye. Hapa ndio wengi wanatembea na watu maarufu, wanatembea na viongozi wa dini, wanatembea na watu wwnye fedha ama wadhfa, watembea n waganga wakienyeji na hili la waganga nitalizungumzia siku nyengine kiundan. Kibaya zaid unakuta watu wana ndoa zao lakini wanadiriki kuufanya uchafu huo.

 ZINAA INAATHIRI VIPI NYOTA YAKO

Kuna nyota zina tabia ya kusaidia wengine na kuna nyota zina tabia ya kuua na kusambaratisha nyota nyengine. Mfano kwenye uchambuzi kuna nyota zina jinsia ya kiume na kuna nyota zina jinsia ya kike kama hufaham pitia zile chambuzi za nyota. Zile zenye jinsia ya kiume zinweza kutoa msaada kwa nyota zenye jinsia ya kike ndio maana kuna imani zinaruhusu mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja na hakuna tatzo la kinyota watakalopata kwa kuingiliwa kisheria.

Zile zenye jinsia ya kike hupokea zaid na kubebesha mizigo kwa nyota nyingine. Hapa maana yake ni huvi ikiwa utakutana na mtu mwenye tatzo kinyota iwe kafungwa upepo mbaya husda bimaana nyota upo chini kuna uwezekano wa nyota yako kuambukizwa na wewe kuwa katika hali ambayo mtu umekutana nae kumapenz anayo. Kwenye maisha yako unaweza ukakutana n mtu kimwili alaf ukashangaa hela haipiti mbali kipindi hicho kila unchokifanya kunakaa kwenye mstari ujue uliyekutana naye nyota yake ni nzur na ipo katika kutoa msaada na ukiendelea kuwa nae usipochanganya mada unaweza kutoka kimaisha ila usimuuzi na muishi kisheria.

Pia unaweza ukawa umekutana na mtu kimwili baada ya pale ukashangaa ulikuwa mtu hela hazikupigi chenga lakini ukawa hata mia unaitafuta. Kibaya zaid mipango yote inakufa na kama ulikuwa na mtu yuwakusaidia pia akaingia mitini. Hii sasa umekutana na mtu nyota imechafuka na amekuachia upepo sio mzuri kila kinachomsumbua kimehamia kwako yeye hiwenda akapata afuen kidogo hali mbaya zaod ikawa kwako hasa kama mwili wako ukiwa ni mwepesi mno.

  KAFARA ZA KIMAPENZ KUPILIZANA TATZO

kuna matatzo ya kichawi ukirogezewa baada ya maaguzi na makafara kazi ya mwisho yatakiwa utembee na mtu ili ujitoe kwenye hilo tatzo. Hapa kuwa makini sasa umewah kusikia ama kuambiwa usiokote heala za coins 'shilingi' makaburini na ukaambiwa ni makafara yakwamba ukiokota kuna magonjwa unaweza kupata. Sasa hii ya mapenz pia ipo hivyo mtu hunuia kisha hufanya zinaa na mtu yale matatzo ama maradhi humuachia mtu aliyefanya nae.

Ndo unakuta kuna wengine wananuka uchi ukubwan wakat awali hawakuwa hivyo. Wengine hutoka usaha maradhi ya kurukwa na akili. Kutopenda tena ndoa yake na kuanza kuhangaika na mji wakati kila kitu alikuwa akikipata ndoani. Wengine huweza kuwa na viburi sana hata watu wakawashangaa zile sio akili zao kuna vtu vipo. Kimwili unawwza kupata ugonjwa wa kutoka jasho kali kuwa na maji mengi au mkavu sana maana yake yale maji watu wanaondoka nayo kufanyia shughuli zao Na hii hufanya sana matajiri watu maarufu wafanya biahsra kulinda mali zao kuna vtu hukuachia pale kwa jicho la kawaida huwez kuona ndo maana wengi wa dizaini hii hawaoi, wala hawaolew.

Kwa wanaume huweza kuathiriwa kipato bimaana nyota ya utafutaji huama, nguvu za kiume huwa hafifu au kutosimamisha kabisa. Hukiathiri mwili unadhoofu kuwa kama mgonjwa si mgonjwa. Hata kuzalilisha kunaweza kukawa shida kwako. Wakati mwingien huweza kukuharibu na kuaanza kuingiliwa kinyume wewe mwenyewe ukajihisi tu bila kupenda ni vtu vinakuendesha.

Pia kuna uhuni wa kudhamiria kwamba nataka nimfanyie mtu kifulan ili nimpate kimapenz ikiwa atakufanyia madawa ya kukuteka kiakili ili ushiriki nae kuna mamboengine ya ziada hukualfanyia kukufanya zezeta. Madada wa mjini mnatakiwa mshughulikie sana miili wenu kulingana na shughuli kubwa iliyoingia mijini kwa sasa.

Madhara yake unaweza pia na wewe ukapeleka matatzo nyumbani kwako kile ulichokichukua kule ukakileta nyumbani tatzo la kule likahamia nyumban. Baadae ukahisi kama kuna vtu mnafanyiwa kumbe matatzo yalianzia pale ulipokutana na hao viumbe wa ajabu. Hapa nmezunguzunzia mahusiano na binaadamu wa kawaida achilia mbali kukutana viumbe visivyo kawaida madhara yake huwa makubwa zaidi.

MAMBO YA KUZINGATIA KUWA MAKINI UNAPOTEMBEA SI KILA TATZO UMEROGWA MENGINE UMEYAFUATA MWENYEWE KAMA MAELEZO YANAVYOSEMA. PIA PENDA KUOGA JANABA HATA KAMA NI GEST JITWAYARISHE VIZUR UKIFIKE KWAKO OGA TENA HII ITAPUNGUZA MADHARA HAYO NILOTAJA. MOJA KATIKA HATAR KUBWA NI KUTEMBEA NA VIONGOZI NILOTAJA HAPA JUU KUNA MAAGANO MAALUKU WAO HUYAFANYA AMBAYO WEWE WALA HUTAJUA NA HUTAKUJA KUJUA NA UTATESEKA PASINA KUJUA. KUWA MAKINI NA HAKI ZA WATU KISHERIA ZITAKUTESA HAPA NA UTAKUJA KUZILIPZ SIKU YA HESABU

nimuhimu ukaishi vile imani yako inavyotaka mambo mengi unaweza kujisababishia mwenyewe. Ikiwa una tatzo lolote jitahd kupiga simu ndio njia rahs ya kueleleza tatzo lako  nmetoa makala haya kila mmoja awe makini pia asihangaike sana akiwa n tatzo aangalie vyanzo vyake atafaham nn kinasibu.

Una shida yoyte ya mapenz uzazi kazi biahsra nguvu za kiume kukuza dhakara kesi kuibiwa uzazi nk 

+255621442936

Whstp group ni la malpo kwa wahitaji

Comments

  1. Habari mtabibu pole na majukumu ya kutusaidia ambao hatujafahamu kuhusiana na vitu hivi..nlikua naulizia kuhusu dawa za kukuza dhakar hua hazina madhara na je zinapatikana vip hasa mtu akiwa muhitaji kama tuliyeko arusha na bei yake tafadhali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nmeweeka namba kwa mwenye uhitaji wa kitu chochote afanye amwasiliano

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI