FAHAMU KUHUSU MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE

FAHAMU KUHUSIANA NA MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE AFYA ZA WATOTO

KWANZA tufahamu jambo moja mtoto kulia ni hali ya kawaida sababu haweza kuzungumza anaweza kulia akisikia njaa, kajisaidia haja, pahala panamuuma au pia ukiwa umemlaza mda mref pia hulia kwa kuchoka mgongo hivyo si kila kilia mtoto ni tatzo. Pia mtoto asipolia kabisa nalo pia ni shida maana hospital ukijifungua huweza kabidhiwa mtoto ikiwa halii lazima watamchunguza kwanza. Sasa kuna kulia kupitiliza mtoto hataki nyonyo akilia analia mpaka mtaa mzima wanajua sasa hilo ndio tatzo ninalolizungumzia leo.


Yawezekana akawa analia usiku tena sana na kuna wengine wao muda wowote wanalia. Ukiachana na sabab nilizotaja hapo juu zipo sbabu nyingine zinazomfanya mtoto kulia kupitiliza mfano mtoto kama akiwa hana kinga anaweza kufuatwa na wachawi usiku si kwa lengo la kumdhuru wanamtisha kwa sura zao na tupu zao hivyo mtoto hulia muda wote kwa woga hata ukimpa nyoyo anaweza kulikataa. 

Pia kama nyumba mnayoish si nzur hasa zile zilizowekwa kinga za majini halaf muda wake ukapita hawajushulikia maana yake yule jini atakuwa akitembea ndan ya nyumba sasa moja ya michezo yake hucheza na hao watoto ikiwemo kabla hujamlaza mtoto anatangulia yeye jini kulala chini kisha mtoto anakuja juu ile hali mtoto inamuunguza na kuanza kupiga kelele. Ndipo unaona mtoto ukimlaza yuwalia sana ila ukimnyanyua ananyama kwa akili yako unasema mtoto anapenda mikono huyu hatak kulala kumbe kuna vtu vyamdhuru pale chini.

Pia huja usoni mwake na kuanza kumtisha wakat mwingine huwapa watoto maradhi ya kuhara ama joto kali. Ndio maana yashauriwa mtoto anapozaliwa atakiwa kuaziniwa hii ni kwa waislan nadkr kwa wasiokuwa waislam pia wana mila zao. Pia mtoto huandaliwa madawa kwa ajili ya kinga mbalimbali hapa nazungumzia mavuo sasa na hili halina dini wala kabila. Pia kama nyumba aidha bibi yake ama babu yake au ndugu katika nyumba hyo ana asili ya uchawi maan ayake atakuwa anamtumia usiku wakat mwingine watoto wachanga hutumia kwenye safar za usiku hapa zina maneno mengi jua hivyo piani sbabu za watoto kulia.

Akiwa analia kwa kushtuka kisha kuna sehem hatak kuangalia jua ndipo aidha mchawi alipo ama jini anayemtisha. Wakat mwingine ukipata bahati pia watoto huchekeswa na wachawi na majini ndipo unamuona mwanao anacheka tu alaf hamjui anachokichekea kitu gani hapo inakuwa hawapo kwenye misheni za kumsumbua. Sasa kinga hutofautiana kwa mtoto ule mvuje ni kinga nzuri lakini haina nguvu zaidi kwa vtu nlvyotaja hapo unaweza ukasema mwanagu nmemvisha mvuje lakini bado analia.

Pia kuna majina mengine si mazur kwa watoto hupelekea kulia. Hapa yawezekana uliachiwa usia mtoto akizaliwa apewe jina fulan wewe ukaona jina baya umpe ulitakalo pia inaweza kuchangia hilo. Pia watu wenye isimu ya majini kuna watu wakioa au kuolewa basi majini yake yanataka utambulisho yaan yule mume au mke akabidhiwe kwa jini wake kwamba kiti yako kaoa ama kaolewa na mume ama mke wake ni huyu umtambue la sivyo ndoa haikaliki ridhki hamna. Pia kwa watoto yatakiwa wakabidhiwe hivyohivyo.

NINI CHAKUFANYA KUKABILIANA NA HALI HIYO

nitaeleza vtu rahisi vyakufanya ila kikukbwa muwatafute kinga za nguvu watotot wenu hiyo itawaepushe na maradhi ya mara kw mara na vijicho vya watu hata mazongo ya kuvumbisha tumbo na kuchosha mwili. Fundo, haya mafundo hupewa wajawazito kwa ajili ya kujikinga na wachawi hivyo hata mtoto anweza kuvalisha utachukua mvunje na karafuu maiti utaisaga mvuje uwe donge utaweka kwenye kitambaa utafunga fundo avalishwe mtoto mkononi. 

Pia kuipa nguvu zaid unaweza chukua mvuje na kuna majani fulan watoto wakike huyatumia kama watoto wa kuchezea ni nyasi ukingoa ile mizizi yake ina harufu fulan na rangi ya kuvutia. Upate na mbegu kadhaa za bangi na punje za kitunguu saumu utaviweka pamoja kisha utatengeneza fundo avae mtoto mkononi ama kiunoni. Angalia urahisi wako pia jitahd kuwapatia watoto mavuo wapate ya kinga ya kuchangamsha na katika makuzi kukaa haraka na kutembea.

Kwa mzazi mwenye majini yanayomliza mtoto atafutwe mtu anayejua kusoma quraan awe msafi atie udhu amshike muhuiska amsome ayatul kurusi 11 kisha akabidhiwe mtoto mikononi mwake kwa matamshi ya makabidhiano pia mtoto asomewe naye kurusi 11 kila ikifika mwisho moja utamuita jina lake kisha utamupilza utosini na kumwabia atulie na aishi kwa wema. Maana yake utampuliza mara 11.

MUHIMU JITAHD KUSOMA MAELEZO KWA UMAKINI SANA. PIA NMEPOKEA JUMBE NYINGI WATU WAKIULZA MAVUO NI NINI MAVUO NI DAWA ZINAZOTOKANA NA MITI BIMAANA MAJANI MAGOME NK HUCHEMSHWA NA KUOGESHWA MTOTO KWA AJILI YA KUMCHANGAMSHA KINGA KUMPA MWILI YAPO MAVUO YA AINA NYINGI KULINGANA NA JAMBO LINALOTAKA KUFANYIWA SASA MFIKE KWA WATAALAM WALIO KARBU NANYI WAANDALIEN ANAYETAKA NIMUANDALIE ATANITAFUTA KWA MUDA WAKE. IKIWA UNAPATA FAIDA KATIKA PAGE HII JITAHD KUTOA SHUKRAN ZAKO KWENYE KOMENT IKIWA HAKUNA LA MAANA UNALOPATA PITA TU.

una tatzo lolote la kinyota, mapenz, nguvu za kiume, kukuza dhakar, pete za bahati, biahsra, uzazi, chango, bawsiri nk kwa dawa na ushaur piga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weke maelezo yanayoeleweka jumbe fupi sitazijib.

+255621442936

Whatsp group ni la malipo kwa wahitaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI