Posts

Showing posts from December, 2021

FAHAMU KUHUSIANA NA MARADHI YA PUMU NA MBAVU KUBANA

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU PUMU ni ugonjwq unaihusiana na masuala ya upumuaji. Hapa nazungumzia kifua na mapafu ndivyo vinavyoweza kuathirika zaidi kutokana na ukongwe wa ugonjwa huu. Ugonjwa huu huua kabisa kama utakomaa na mgonjwa kukosa zile tahadhari maana wengi hutakiwa kutembea na vifaa maalumu kwa ajili ya huduma ya kwanza ila unatibika.   Kwann wakina mama na watoto ndio waathirika wakubwa wa ugonjwa wa pumu ni kutokana na aina ya maisha wanayoishi kutojishughulisha sana hvyo mfumo wa upumuaji wao huwa na kasi ndogo.    Mwanaume anaweza akazaliwa na pumu kwa kurithi kutoka kwa wazazi wake lakini kadri anavyokuwa kutokana na SHUGHULI ngumu anazozifanya hivyo ugonjwa huuhumuondoka taratibu.  Ugonjwa huu unaweza ukasababisha kifo maana unapomkumba mtu humsababishia pumzi kutoka kwa shida.  Ugonjwa huu unatibika kabisa kama utaoata dawa hasa kulingana na ukubwa wa tatzo lako. Ipo pu

CHALE ZA WANGA ALAMA KUU NA MUHURI WA KICHAWI

Image
JANA iliongelea kuhusiana na uchawi nikaweka dalili na ndoto zake zinazoashiria kuwa yuwasumbuliwa na uchawii. Leo nitaongelea kuhusiana na chale za wanga namna zinavyopigwa na zinavyoweza kukusumbua na namna ya kuzishughulikia. Anaykuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ jitahd kusoma mpaka mwisho kuna ufafanuzi wa mambo maalumu. Kabala sijaendelea mbele napenda kuwakumbusha zingatia kila nachokushaur hasa wale wanaopenda shotcut. Hakikisha unachoshauriwa unakifanyia kazi kila jambo latakiwa lishughulikiwe kwa chanzo chake hivyo iwapo utanipigia simu ama kunitumia ujumbe basi nitakachokujibu kizingatie kwa umakini kitakutoa hapo ulipo.              CHALE ZA WANGA NI ZIPI Chale ni alama ama muhuri maalumu ambapo mtu hupigwa kichawi kwa ajili ya shughuli maalumu. Mfano rahisi ni kama vile kampuni fulan ama shule inavyotoa vitambulisho ili watambulike kuwa ni wafanyakaz wa kampuni gani. Kama unavyoona matabaka ya hivyo vitambulisho kuna wafanyakaz wakurugenz walinzi nk. Ndivy

MTI WA MUASUMINI MNUKIA FAIDA NA MATUMIZI YAKE KATIKA ULIMWENGU WA TIBA NA MAPENZI.

Image
HUU ni mti mdogo kimuonekano lakini ni mkubwa kimatumizi. Upo sana maeneo ya Ukanda wa Pwani hasa Unguja, Tanga, Bagamoyo nk. Hutumika kamaanukato na mapambo kwa maharusi. Wazee wa zaman hasa kwetu Tanga huchuma majani yake na kuyamwaga kitandan wakti wakiwa wamekitandika vizuri. Bwana anapokuja kutoka kwenye mishughuliko yake hukuta chumba kinanukia na kitanda kinavutia jinsi kilovyorembwa 'Tanga Raha' ila si kwa mabinti wa majini wanaujua walau hata kwa kuuona huu mti. Unaitwa Muasumini au mnukia fahamu walau kwa uchache faida na matumizi yake. Maua yake ukichanganya na karafuu na marashi mazur ukamsinga mumeo huongeza mahaba pia humuachia harufu nzuri. Kudhibiti mtu kimapenz wakat unamsinga hakikisha zile taka zinazotoka unazikusanya sehem moja kisha utatafuta unga wa mzizi wa mchaachaa huu nishauzungumza siku za nyuma upo ofisin. Utakuwa na unga wa mmeremere na kitambaa cha kanga ambayo mtakuwa mmeitumia katika kusingana. Utakata kipande hyo kanga utaweka hzo ta

FAHAMU KUHUSU UCHAWI WA ZONGO NA TIBA YAKE

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KWA watu waishio Ukanda wa Pwani hasa Tanga ndugu zangu Handeni, Rushoto, Muheza na Pangani na maeneo mengine ya karibu neno Zongo sio geni kwenu. Uchawi huu ni hatar sana hasa kwa watoto wadogo na wageni wa maeneo fulani huandamwa sana na uchawi huu. Ni uchawi mtu anayeweza kutembea nao mikononi au usoni ama kwenye kikapu hutegemea na utaalam wa mchawi Uchawi huu upo wa aina nyingi, kuna mkunwa na mdogo mkubwa ukiathirika ama kukuoa maopozi yake ni makubwa ni lazima upate utaalam wa hali ya juu. Mdogo maopozi yake ni madogo tu na unaweza kufanyiwa hata nyumbani na mtu mzima yoyote hata asiyekuwa mtaalama ila atakiwa afike umri fulan kama mtakavyoona kwenye maelezo hapo chini.                     UCHAWI MKUBWA WA ZONGO Huu mara nyingi huwa ni wakutegwa yaani si wakurusha kama ulivyo mdogo huu huwekwa sehem maalumu kwa manuizi maalum. Hauna tofaut sana na mdogo ila huu maradhi y

MARADHI YA KIHARUSI STROKE AMA KUPALALAIZ NA GANZI MWILINI

Image
JANA niliongelea kuhusiana na masuala ya kutibia viini vya tatzo na si matokeo nmepata maswali mengi. Leo natoa futlrsa kama una jambo lina kuhangaisha muda mref liwe afya uzazi kazi biahsra weka maelezo ya kutosha ya tatzo lako nitakupa muongozo uanzie wapi ili kujinasua hakikisha maelezo yakueleweka ukiniandika kwa ufup ntakujibu kiufup. Mfano mtu ana matatzo ya kazi anaandika natafuta kazi nitakujibu tafuta. Tuende kwenye mada ya leo ambapo tutazungumzia ugonjwa wa kupararaiz n mwili kufa ganzi. Ugonjwa huu hupoozesha mwili wakati mwingine mwili mzima au baadhi ya viungo au upende mmoja wa mwili. Yategemea na eneo lilipoanzia ugonjwa na aina yenyewe ya ugonjwa sababu ama chanzo. Sababu za ugonjwa huu zipo nyingi nitajitahd kuelezea zile kubwa kinachosababisha hasa mishipa inayopeleka taarifa kwenye ubongo kufeli au kustop ndo hutoke a kiharus kwa watu wanene wenye mafuta wasiofanya mazoez kuna uwezkano mkubwa wakupata kwa sababu mwili hujaa mafuta hvo mishipa hupata tabu

MAZINDIKO YANAPOGEUKA NA KUHARIBU HALI ZA WAKAZI KIAFYA NA UTAFUTAJI RIDHKI

Image
MAZINDIKO KINGA ZA NYUMBA 'BOMA' AINA ZAKE NA ZINAVYOWEZA KUKUATHIRI  KIAFYA NA KIUCHUMI UHALI GANI MPENZ MFUATILIAJI WA DARASA ZA ELIMU YA NYOTA TIBA ZA MITI NA MASUALA MENGINE YA KIDUNIA AKULETEAE DARASA HILI NI MTABIBU ASILI TZ JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO. ZINDIKO tendo la kuweka kitu cha kitaalam pahala fulani kwa nia kuzuia vitu vibaya visiweze kifanya kazi kwa lugha lain huitwa kinga. Leingo kuu kudhibiti wezi ama watu wanaokuja nia hovu pia zindiko yaweza kuwa kusimamisha jambo fulani lisifanyike kwa muda fulani, kwa maana hiyo yuaweza zindika shamba, nyumba, gari, uwanja bimaana kama kuna shughuli yuwahisi kuna mabalaa yatatokea unaweza kuzindika. Pia yuwaweza kuuzindika mwili wako ili yale machafu ama mabaya yaliyokusudiwa yasikupate. Makala yangu ya leo nitaongelea zaidi kuhusiana na kukinga boma. Nitafafanua aina za kinga nzuri na mbaya na namna zinavyoweza kufanya kazi. Pia nitaweka madhara na alama ama dalili ya baadhi ya madhara ya hizo kinga na mwish

MADHARA YA WAGANGA KUTEMBEA NA WATEJA ZAO 'VIONGOZI WA DINI KUTEMBEA NA WAUMINI WAO'

Image
MADHARA YA KUJAMIINA WATAALAM NA WATEJA KINYOTA NA VIFUNGO VYA KIROHO KUNA watu wanaamini kufanya mapenzi na wataalam 'waganga wa kienyeji' kunamfanya kuwa na bahati au kuna mfanya kutimiziwa haja zake kirahisi. Na imekuwa kawaida wataalam kuwazini wateja wao wengine kwa kiwarubuni na wengine kwa kutaka wenyewe. Makala haya itajikita kuchambua vitu hivi madhara yake soma kwa umakini makala haya yanaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ jitahd kusoma mpaka mwisho. Kwenye utaalam wa kiuguz kuna makundi mawili wapo wataalam wa vitabu ambavyo msingi wake ni kusoma sana kuwa mchamungu na pia wapo watu wanaobarikiwa kusomeshwa elimu na majini baada ya kufika levo flani ya ucha mungu unaweza kuoteshwa tu ukapara makarama ukaanza kufanya tiba na watu wakapata shifaa. Hii hata kurithishwa inakuwa ngumu labda mtu aanze kukuandaa mapema kabisa ili upite zile njia za ucha mungu na wale majini ambao alikuwa akitumia muhusika wanaweza kukufuata. Ndio maana yuwakuta kuna mtu pahala alik