MADHARA YA WAGANGA KUTEMBEA NA WATEJA ZAO 'VIONGOZI WA DINI KUTEMBEA NA WAUMINI WAO'


MADHARA YA KUJAMIINA WATAALAM NA WATEJA KINYOTA NA VIFUNGO VYA KIROHO

KUNA watu wanaamini kufanya mapenzi na wataalam 'waganga wa kienyeji' kunamfanya kuwa na bahati au kuna mfanya kutimiziwa haja zake kirahisi. Na imekuwa kawaida wataalam kuwazini wateja wao wengine kwa kiwarubuni na wengine kwa kutaka wenyewe. Makala haya itajikita kuchambua vitu hivi madhara yake soma kwa umakini makala haya yanaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ jitahd kusoma mpaka mwisho.


Kwenye utaalam wa kiuguz kuna makundi mawili wapo wataalam wa vitabu ambavyo msingi wake ni kusoma sana kuwa mchamungu na pia wapo watu wanaobarikiwa kusomeshwa elimu na majini baada ya kufika levo flani ya ucha mungu unaweza kuoteshwa tu ukapara makarama ukaanza kufanya tiba na watu wakapata shifaa. Hii hata kurithishwa inakuwa ngumu labda mtu aanze kukuandaa mapema kabisa ili upite zile njia za ucha mungu na wale majini ambao alikuwa akitumia muhusika wanaweza kukufuata.

Ndio maana yuwakuta kuna mtu pahala alikuwa mjuzi sana wa tiba za visomo ambavyo vitabu asili ya usharifu ama uwalii ila anapokufa. Kuna watu wanarithi lakini wanakuwa hawana nguvu ile wanatumia uzoef wa jina hapa yanayofanya kazi ni uchamungu na kudra ulizojaaliwa viinginevyo ni kuwaibia watu. Kundi hili hishi kimisimamo sana huendeshwa hofu ya mungu japo pia wahuni wapo wanaozini watu tutawaona mbele ya makala tofaut yao.

Kundi la pili ni kundi la mizimu hawa wanahusiana na vinyamkera na vitu vingine vya matunguri. Hawa ndio hurisishana haihitaji uwe mcha mungu sana sababu kwqnza asili yake ni kuiabudu mizimu kwa hyo ni moja kati ya vitu ambavyo si salama. Ili uwe mtaalam wa mizimu lazima uteuliwe aidha na viongozi wa ukoo ama mizimu yenyewe ndio unasikia mkoba unawasumbua ukoo fulani watakiwa upigiwe ngoma akabidhiwe mtu. Hawa hata ufanyaji wao tiba upo tofauti kidogo na watu wa visomo vitabu dawa zao hubezi zaidi kwenye maagano na yanayoombwa ni mizimu hata watakaji utajiri fedha za haraka bila jasho hupata kwa urahsi kwa kuingia maagano maalum.

Kuna baadhi ya viongozi wa madheheb ya dini huingia makubaliano na mizimu hivyo hupewa maagano ama mashart akiyatimiza basi anatenda miujiza pasina shaka na watu huamini hivyo. Moja kati ya mshart kuwapanda kondoo wake hivyo usishangae kusikia mtu anafanya miujiza halaf kwa kuzini hajambo na kiomba kitu kinakuwa ile si nguvu ya Mungu ni nguvu ya kimizimu na kishetani.

         MADHARA YA KUJAMIANA NA WALIOTAJWA

Kuna madhara makubwa sana katika kufanya hilo jambo. Mfano wale viongozi ambao watu wakutoa miujiza ukiingiliana nao ule uchafu wako ndio unaotumika kwenye miujiza yake hivyo yuwaweza kuona mambo kwako hayaend kinyume na ulivyotegemea kabla ya kufanya hilo jambo. Unaweza kupata maradhi ya kusumbua tumbo bimaana uzazi maradhi ya stroke pia nyota yako kushuka kabisa sababu umemuongezea nguvu mtu mwingine na mara nyingi huwa wanachagua watu wenye nuru zaidi ili kuzini nao.

Kwa wataalam hapa kuna mambo mawili wataalam wanaotumia nguvu za kiza bimaana wakala wa shetan hayo pia ni moja ya mashart yao labda akija mteja mwenyw shda fulan basi utendaji wake tembea nae. Utakapotimiza hilo jambo maana yake na wewe upo kwwnye maagano hata kama utaoata ulichokikusudia basi kitakuwa na mashart. Chochote kile ulichokihitahi mfano kumtuliza mtu ama uzazi au jambo jingine kisha yule mtu akakuambia hapa dawa natakiwa nitembee na wewe basi unaweza kufanikiwa sababu ni maagano ila ndio umeingia mkataba sasa kwa kile utakachokipata pia kitaendelea kuwa na mashart.

Hivyo ni vyema ukaangalia salama na rahisi kwako katika kufanya hilo jambo lako ambalo halitakuingiza sehem mbaya zaidi. Pia si njia nzuri sababu unabeba nafsi chafu za huyo aliyekuingilia kama kuna maagano mengine binafsi baina yake na watu wake nawe u akuwa miongoni mwao. Kwa lugha nyepesi anaweza pia kuvuruga ama kushusha nyota yako.

Wataalam wa visomo wewe mwenyewe unashusha ucha mungu wako maana yake kile ulichokusudia kumfanyia mgonjwa huyo hakitafanya kazi na si kwa huyo tu hata kwa wengine watakaokuja. Kwenye maisha kuna kukosea ikitokea umeteleza basi fanya touba ya kweli Mwenyezi Mungu ni Msikivu na huwapenda wenye kutubia.

Wale ambao wanafanyiwa ndio wanakuwa kwenye matatizo mazito sababu kwanza wanaachiwa zile nafsi chafy. Wanashushwa nyota zao sababu ili uwe mtaalam lazima kuna vtu mara kwa mara yuwakuwa wavifanya kuongeza nguvu kwenye mwili ili kukabiliana na ubaya vile vitu wewe unaingiliana nae havikujui na vinahisi kama ni mmoja wa maadui hivyo hushusha nyota yako na kukusababishia matatzo makubwa zaidi ya yale uliyokuwa nayo.

Ndugu zangu katika imani jitahdin kujiepusha na vitendo viovu hakuna imani inayofadhili zinaa imani zote imekataza hivyo tuwe mamini katika kutatua matatizo yetu. Pia kwa wataalam tusitumie udhaifu wa watu katika kufanikisha matamanio yetu.

Hata kuingiliana na watu wengi ambao hata si wataalam wala viongozi wa kiimani pia kuna madhara yake kinyota unaweza jizolea shida ukapeleka nyumbani kwako hasa kwa wanawake mnawaumiza sana waume zenu mnawashusha sana nyota zao kwa mambo mnayoyafanya huko nje ya nyumba zenu. Kibaya zaidi hata kujitwayarisha hamna unakuta majosho wa watu kumi yamekutana pamoja kisha unayapeleka nyumbanu ni hatari tupu.

          MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

MAKALA HAYA NMEELEZA MADHARA YA HIVYO VITENDO UNAWEZW KUONA UNAHANGAIKA SANA HUPATI AHUEN KUMBE KUNA NAFSI ZA WATU YUWATEMBEA NAZO BAADA YA KUFANYA HILO JAMBO. PILI HATA KWA WATAALAM WANAWEZA KUONA HALI INABADILIKA WANAFANYA KAZI ILA LAWAMA NYONGI MATOKOE HAMNA BASI JICGUNGUZE SANA KAMA UNA HUO MCHEZO NI VYEMA UKAUACHA ILI KULINDA HADHI NA HESHIMA YA KAZI YAKO LAKINI PIA ILI KUNDELEZA IMANI.

HAIMAANISHI KWAMBA MTAALAM HAOASWI KUWA NA MTU KIMAHUSIANO ILA ISIINGILIANE NA MAMBO YA KAZI YAANA KAMA UMEMPENDA MTU MSHUGHULIKIE SHIDA YAKE KISHA MTAFUTE SEHEM NYINGINE ZUNGUMZA NAE MKIELEWANA FANYA NUSRA USIIKARIBIE ZINAA WALA USITUMIE UJANJA KWA KUWA UTAKACHOSEMA YEYE ANAFUATA WALA USIMCHOMEE MAVUMBA UTAHARIBU KAZI ZUNGUMZA NAYE MUELEWANE.

ZINGATIA HILI WATAALAM WENG WA VUTABU HAWANA MKE MMOJA ILI NI SEHEM YA KUJIKINGA NA MATAMANIO. MAANA WAKATI WOWOTE SHETAN YUPO KAZINI. NATUMAI TUMEELEWANA VYA KUTOSHA WAGONJWA WAUMINI WATAALAM NA VIONGOZI WA DINI MSITUMIE UJUZI KAMA FIMBO. USITUMIE SHIDA YAKO KWA KUWA UNA UHARAKA UKATAKA UTOE RUSHWA YA MWILI.

una tatzo lolote la nyota nguvu za kiume mapenz, biahsra, kukuza dhakar, uzazi, kuuza kitu kesi nk kwa dawa na ushaur jitahd kupiga simu ikiwa yuwatuma ujumbe basi weka maelezo ya kutosha ikiwemo jina pahala ulpo na shida jumbe fupi sitazijibu.

 +255621442936

WALE MNAOTAKA UTAJIRI JITAHD KUSOMA NINA MAKALA NYING NIMEFAFANUA HAYO MAMBO PIA NATOA MSISITIZO MM SITOI UTAJIRI WA KISHETAN. UNA SHUGHULI NJOO TUTAITENGENEZA

https://www.facebook.com/tabibuasilitz/

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI