MAZINDIKO YANAPOGEUKA NA KUHARIBU HALI ZA WAKAZI KIAFYA NA UTAFUTAJI RIDHKI

MAZINDIKO KINGA ZA NYUMBA 'BOMA' AINA ZAKE NA ZINAVYOWEZA KUKUATHIRI  KIAFYA NA KIUCHUMI

UHALI GANI MPENZ MFUATILIAJI WA DARASA ZA ELIMU YA NYOTA TIBA ZA MITI NA MASUALA MENGINE YA KIDUNIA AKULETEAE DARASA HILI NI MTABIBU ASILI TZ JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO.


ZINDIKO tendo la kuweka kitu cha kitaalam pahala fulani kwa nia kuzuia vitu vibaya visiweze kifanya kazi kwa lugha lain huitwa kinga. Leingo kuu kudhibiti wezi ama watu wanaokuja nia hovu pia zindiko yaweza kuwa kusimamisha jambo fulani lisifanyike kwa muda fulani, kwa maana hiyo yuaweza zindika shamba, nyumba, gari, uwanja bimaana kama kuna shughuli yuwahisi kuna mabalaa yatatokea unaweza kuzindika. Pia yuwaweza kuuzindika mwili wako ili yale machafu ama mabaya yaliyokusudiwa yasikupate.

Makala yangu ya leo nitaongelea zaidi kuhusiana na kukinga boma. Nitafafanua aina za kinga nzuri na mbaya na namna zinavyoweza kufanya kazi. Pia nitaweka madhara na alama ama dalili ya baadhi ya madhara ya hizo kinga na mwisho nitawekwa ushaur wa nn ufanye kama ukitaka kukinga nyumba yako na pia endapo utakuwa umeona dalili ambazo nitazitaja basi hatua gani uchukue kujinasua jitahd kusoma kwa makini pengine maelezo haya unaweza usiyapate mpaka unazeeka shukuru Mungu kukutanisha na ukurasa huu kuna mengi umejifunza na mengi zaidi yanakuja.

Kinga za nyumba ama mazindiko yapo ya aina nyingi sana. Yategemea na mtaalam uliyempa kazi ujuzi wake upoje. Pia kama ni mfuatiliaji mzur juma liliopita nlilieelza aina za wataalam na jinsi wanavyofanya kazi zao sasa hata kwwnye hili itategemea na ujuzi wa huyo uliyempa kazi ya kukinga boma yako. Lengo kuu la kukinga boma ni kwa ajili ya kujikinga na wenda usiku bimaana wanga lakini pia wakat mwengine ni wezi wasiweze kuiba kama ikiwa nyumba yako ina mali zinazoweza kuibika.

 Kitaalam kama unakinga nyumba basi na mwili wako uwe mzuri unaweza ukaitengeneza nyumba watu wakaishindwa kuingia usiku lakini mchana unazunguka kwenye mihangaiko yako mwili wako mwepes watu wanamalizia hasira zao hapo ndo unakuta mtu anapata stroke njian ama anakumba kitu kibaya kwahyo sikushaur kukinga boma ikiwa watu wako huwajatengeneza mwili vzur utawasumbua. Pia hata watoto hauthiriwa kiakili kimaendeleo unawwza kuta mtoto akiwa nyumban aana akili akitoka tu akili inavurugika anakuwa haelew. Au mwingine akiwa nyumban hajielew akitoka anakuwa na ufahamu wa kutosha.

           AINA ZA MAZINDIKO YA BOMA

Kuna mafanyo mengi sana lakini hapa nitaongelea kwa makundi na namna inavyoweza kuwa faida na hasara. Sitaeleza namna ya kutengeneza ili kuepukea watu kujaribu vitu vitakavyowapa madhara zaidi baada ya kujenga na nia yangu ni kuelimisha maana siku hizi kesi za  madhara zimekuwa nyingi sana ya haya mambo unakuta mtu kaandkka mtandaon chukua sindano fukia mlangon baadae mnapata vichomi nyumba nzima mnatafuta mchawi nani. Kwa maana hiyo jarb kuwa makini si kila mtu anayeandika ni mtaalam pia fikiria mara mbili kabla yakufanya kitu ambacho hakina maelezo yakukushibisha

               MAZINDIKO YA KIJINI

Hii hutumika hata kuzindika shamba na ndio njia zilizokuwa zikitumika na watu wa zamanj. Ukienda kwa mtaalam atakupa aidha karatas uweke nyumban kwako ama chungu chenye vutu ufukie ama chupa na mambo mengine. Hapo ujue ni jini ndiye anaitwa kukabidhiwa eneo alilinde hivyo unaweza kupewa shart labda uchinje kila baada ya muda fulani ama ufanye kitu chochote kila baada ya muda fulani. Na kama utafuata basi mambo uliyokusudia huwenda sawa.

 Hapa kuna wanaolinda wabaya wasiingie kuna wanaolinda familia kuna wanaolinda mali itategemea lengo la mhitaji na mafanyo ya mtaalam wake. Na hii kuna kipindi wanaosish kwenye hiyo nyumba usiku wanahis kabisa dalili za watu kutembea ama kuzungumza ama ishara ya kuwa kuna mtu aidha nje ndani au juu ya paa.

Mara nyingi wenyewe waliowekwa wanakuwa namna zao ya kutuliza ikiwa imetokea hali kama hiyo vibaya zaidi wahusika wanapokufa au kuumwa na kushindwa kufanya makubaliano ndipo wengine huingia hatiani tutazidi kuona kadri makala inavyoenda.

            ZINDIKO LA KUFICHA BOMA

Hii ni njia ambayo kwa sasa haitumiki sana kulingana na mahitaji ya mafanyo yake lakini pia wacha mungu kupotea. Njia hii ilkuwa ikiifanya aidha duka lako shamba na nyumba isionekane pale anapokuja mtu mbaya hata mchana kweupe haoni kitu. Mtu aliyekuja kwa ubaya hataweza kuiona nyumba yako kabisa ataona tu plain hata duka ama shamba ama chochote kilichofanyiwa

Hapa kuna njia mbili ya kulitimiza hili kuna njia ya visomo pia kuna njia za kichawi ndio maana nkaeleza hapo juu kwamba siku hizi haiztumiki sana maana katika kulifanya hili uache kazi ufanye kazi. Mfano kwa visomo kwa uchache mfanyaji afunge siku 21 mpaka 40 ajiepushe na kula vtu vyenye nafsi ndani ya siku hzo na kuna mambo mengine ajiepushe nayo hayo sitayataja hapa.

Njia hii pia unaweza kuwawkea mifugo bimaana akija mwizi hawez kuona kitu. Kukinga shamba kwa wezi. Kumkinga mke mume lile eneo husika akienda pahala halionekani. Ama kuna watu wanatumia kuingia sehem kuchukua vtu muhimu mfano watu wenye makesi makubwa halaf siku ya hukumu unasikia fail limepotea, watu wa migodini nk. Ni elimu pana na mahitaji yake ni ya hatar zaid na wafanyaji wa kweli wamebaki wachache.

Hapa tuelewane ni mambo ya kitaalam usije ukanitafute ukasema nielekeze fika kwa wataalam wakupe mashart yao ukikidhi ingien makubaliano mfanye kazi. Zingatia huwez kumfungisha mtu siku 21 kimasihara jipange kweli kweli.

         ZINDIKO LA  VISOMO NA MAKAFARA

Hii ni njia inayotumiwa sana na Mamwinyi wa ukanda wa Pwan ni dua ambayo haifungamani na chochote. Na mara nyingi huwa haina madhara ila hutokea kama mfanyaji ataingiza mambo mengine anayojua yeye. Hukinga nyumba shamba ama duka na vitu vingine vinavyomilikiwa. Hapa kama mtaalam ataongeza kitu basi ni kiweka kitu cha ziada kama nyuki, nyoka, mbwa, Simba nk.

Yaan kwenye kisomo chake aweza mchukua nyuki akamuweka sahamba basi mtu anayekuja kuchukua kitu kwa ubaya basi nyuki yule huita wenzio na kumdhuru. Halikadhalika kwa wadudu na wanyama niliowataja. Nyuki anafuatwa porini anategwa anasomewa na anashikwa hakudhuru ikishamalizika kazi anaachiwa sehem husila nyuki yule huwenda kufuata wenzio na kuanzisha maka,zi hapo anayekuja kwa wema haweza kuwaona wala kumdhuru.

Dua yenyewe tu inahitaji msomaji kujiandaa mashart yake afunge siku tatu kila siku asimame usiku kwa kuzungumza hitahi lake hapo pia kuna muongozo. Mnyama anahetikajika kwa kinga hasa ni kondoo ama Mbuzi wenye rangi nyeusi. 

KWA LEO TUISHIE HAPA TUTAENDELEA DARASA LIJAO KUANGALIA NJIA NYENGINE NA MADHARA NA DALILI HASA. KAMA UMELIPENDA DARASA WEKA COMENT YAKO PIA KAMA UNATAKA LIENDELEE.

KUNA WATU TUNASUMBUANA KUHUSU UTAJIRI MIMI BINAFS YANGU SITOI UTAJIRI WA KISHETAN MARA KADHAA NAELEZA KAMA UNA SHIDA YA KUFANIKIWA. SHUGHULIKIA MATATZO YAKO ULIYONAYO MUOMBE MUNGU TAFUTA JAMBO LA KUFANYA KAZI, BIAHSRA KILIMO, UFUGAJI NK NJOO OFISIN AMA NIPIGIE SIMU TUTAITENGENEZA SHUGHULI YAKO KUNA NNIA NYINGI ZISIZO MADHARA NA UNAPATA MANUFAA YAKUKUFAA WEWE NA FAMILIA YAKO ACHANA NA FEDHA ZA KUPINDUKIA SIZISO NA RAHA MASHART KIBAO KUTOA WATU WAKO UNAOWAPENDA SIKUSHAUR KWA HILO

SOMA MAKALA ZA PETE ZA BAHATI NMEFAFANUA KWA UPANA

una tatzo lolote la nyota, biahsra, kazi mapenzi, kuuza, kesi nguvu za kiume, uzazi, kiharusi, kukuza zakar, bawasiri , jini mahanba nk kwa ushaur na dawa jitahd kupiga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weka maleoz ya kutosha ikiwemo jina pahala ulpo na ahida jumbe fupi kama mambo hi niaje habar vipi sitazijib heshimu muda wa mtu

+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI