CHALE ZA WANGA ALAMA KUU NA MUHURI WA KICHAWI



JANA iliongelea kuhusiana na uchawi nikaweka dalili na ndoto zake zinazoashiria kuwa yuwasumbuliwa na uchawii. Leo nitaongelea kuhusiana na chale za wanga namna zinavyopigwa na zinavyoweza kukusumbua na namna ya kuzishughulikia. Anaykuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ jitahd kusoma mpaka mwisho kuna ufafanuzi wa mambo maalumu.


Kabala sijaendelea mbele napenda kuwakumbusha zingatia kila nachokushaur hasa wale wanaopenda shotcut. Hakikisha unachoshauriwa unakifanyia kazi kila jambo latakiwa lishughulikiwe kwa chanzo chake hivyo iwapo utanipigia simu ama kunitumia ujumbe basi nitakachokujibu kizingatie kwa umakini kitakutoa hapo ulipo.

             CHALE ZA WANGA NI ZIPI

Chale ni alama ama muhuri maalumu ambapo mtu hupigwa kichawi kwa ajili ya shughuli maalumu. Mfano rahisi ni kama vile kampuni fulan ama shule inavyotoa vitambulisho ili watambulike kuwa ni wafanyakaz wa kampuni gani. Kama unavyoona matabaka ya hivyo vitambulisho kuna wafanyakaz wakurugenz walinzi nk. Ndivyo ilivyo pia katika chale za wanga.

Chale hizo huwez kuziona kwa macho ya kawaida. Hivyo kama utaamka na kuona una chale mwili hizo ni za michezo ya kawaida tu chale zenyewe hasaaa huwez kuziona kwa macho yako ya kawaida. Na si wewe tu hata baadhi ya wataalam wasioona mbali hawawwza kuona hizo chale. Bimaana hyo kama utamuona ana machale mwilin zisikutiahe zile sio za wanga ama kichawi zenyewe hazionekani kabisa kwamacho ya kawaida.

    IPI KAZI YA CHALE MIHURI YA WANGA

Hapa nitaongelea kwa uchache, pua nitawwka katika mafungu ili walau upate ufahamu walau kwa uchache. Hizi chale hupigwa watu waliofikia kwenye levo fulan mwanga haweza kuja kukuwangia leo akakupiga muhuri. Ni lazima awe amezoea kukuchezea lakini pia ni lazma uwe na kitu maalum yaan kuna kitu kinahitajika kwako aidha mwili ama unataka kuingizwa kwwnye chama ama kutolewa kafara nk. Jitahd kusoma kwa umakini sana.

Kundi la kwanza hawa ni punda wa usiku, kuna watu usiku hugeuzwa punda hubeba mizigo na kubeba watu na hufanyishwa makazi kulima nk. Hawa kuna muda ukigikia hupigwa muhuri ya utumwa, maana yake inaashiria tayar unamilikiwa kwa utumwa wa usiku na hata ikitokea umesafr umeenda mji mwingine wqchawi wa mji ule wakiiona ile alama wanajua tayar kuwa umeidhinishwa ni mtumwa wa usiku hivyo inavyofika usik hata kama ukiwa ugenini unaweza kutumikishwq na wachawi wa eneo hilo. 

Hapa moja ya dalili zake ni kuamka asubuhi mwili umechoka unaweza kuamka na alama aidha za zote au sulubu. Kuota sana upo mashambani au kufanyishwa kazi. Pia kuota sana unapanda ngombe ama punda na kuchezq na wqnyama hao pia ni moja ya dalili ya kuwa na chale za utumwa maana viungo vyako vyatumika usiku kwwnye ulimwengu mwingine wakati ukiwa umelala.

Kundi jingine wanaotaka kutolewa kafara ama kuingizwa misukure. Kama upo kwwnye familia ya kichawi hasa wale magwiji wanaotoa watu kila baada ya muda fulan. Basi kuna wakato ukifika akishapendekeZwa mtu anapigwa muhuri wa sadaka. Yaan ukikutakana mwanga yoyote popote pale anajua tayar wewe umeshateuliwa kuliwa ama kutolewa msukure. Ndipo inafika wakati mgonjwa anaumwa anashughulikiwa wapi na sehem nyingine mkimpeleka mnaambiwa kabisa huyu bwana hapon ameshatolewa tayar bado siku tu.

Kundi jingine watu wanaotaka kuingizwa kwenye chama. Uchawi kama unavyoona kazi ya jeshi ama kaz yoyote ya kuajiriwa kila mwaka wanastaaf watu na kuna watu wwngine wanaingizwa wapya kwwnyw chama. Sasa ikitokea umechaguliwa kuingizwa kwwnye chama basi utawekewa alama maalum ili kila unapotembea kama utaonana na wanga wwngine wqkutambue kuwa mwenzao ila bado hujafunuliwa macho kikamilifu. Hapa ni kuota sana vikao ama shughuli na wewe unakuwa kama mgeni kuona watu unaowajua ndoton wakikupisha story ama kukutembeza jua chama kinakuita.

Pia kuna kundi ambalo halitofautian sana na kundi la kwanza ila hwa huongezewa vtu zaidi huwa wanawaka nyuso zao usiku na hutymika kama taa. Huwekwa mbele mbele kwenye shughuli za usiku. Lengo kuu hutumika kama vivuli kwenye mambo yao. Ndipo unakuta mtu si mchawi ila anaotwa sana na watu kila mtu anasema anamuota yeye anamfuata usiku aidha anamtisha au kumpiga lakini si mwanga basi ujue ana chale hizo na anatangaulizwa na hawa mara nyingi hata akili zao huwa zinaingia na kutoka kulingana na vitu vilivyowekwa usoni.

         DALILI ZA MTU MWENYE CHALE 

akitibiwa haponi sababu zile alama popoye anapoenda wao wanajua hivyo ukitibwa leo na leo leo wanaharibu dawa hivyo kwqnza ufutwe chale ndipo utibiwe.

Mwili kukosa nguvu za asili kuziifika sana kukosa hata hamu ya kula nguvu ya tendo la ndoa utakuwa hunasababu zina asili ya kuharibu mfumo wa kibinaadam.

Akili kuwa kama si yako sana unawza vtu vingi unashindwa kujiendesha mwenyewe kuna muda unaona ni heri uondoke unaposih uende mbali hawa ni wqle wanaotaka kutolewa misukure.

Kutosikia shauri za watu hasa kwwnye mambo muhimu ya kukutoa hapo ulpo aweza akaja mti akakuambia twende pahala gulan kuna tiba ama kazi unawwza ukapuuza ama ukamkimbia.

Wakati mwingine unaweza kukimbiwa ama kuogowa na watu hii pia ni moja ya dalili
    
         MMAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

CHALE ZINAPIGWA NA VITU VYA AJAB SANA NA NI ALAMA TU UNAZOWEKEWA AMBAZO HAZIFUTIKI KIRAHS KAMA UNAVYIFIKIR NA KILA SIKU ZINAZIDI KUINGIA NDANI YA MWILI YAANI ILE DAWA ILIYOWEKWA NDIYO INAYOKUATHIRI KILA KUKICHA

SASA UFUTAJI WA HIZI CHALE YATAKIWA UTAALAM WA HALI YA JUU KAMA NILIVYOELEZA HAPO JUU KUNA AINA KADHAA ZA CHALE KWA MALENGO YAO WWNYEWE MFANO CHALE ZA MSUKULE UFUTAJI WAKE SI SAWA NA CHALE ZA PUNDA WA USIKU HATA MAHITAJI YAKE YANATIFAUTIANA HIVYO NI LAZIMA UOATE MTAALAM HUWEZ KUFUATA CHALE NYUMBAN KWAKO KAMA YUWASONGA UGAL SABABU WATU WANAFIKIIR HIVI VTU VYA MCHEZO YAHITAJIKA UCHA MUNGU KWELIKWLI.

MAAANAE MTU UKIWA NA CHALE TAYAR UNA MUHURI POPOTE UNAPOENDA WANAJUA. KUNA WATU WASHAENDA KWA WATAALAM KSHA MTAALAM AKASEMA HYO KAZI NGUMU SIIWEZ. JUA NI NGUMU KWELI KWELI CHALE NI NUSU YA KUPELEKWA KUZIM. HIVYO ZINGATIA KULICHOELEZWA FIKA KWA WATAALAM KARB NAWE MSAADA KIOFC FANYA MAWAAILIANO.

BADO NINA WALE NDUGU ZANGU MNAIOTAKA UTAJIRI NMEELZA SANA SIKU HIZI NITAKUWA SIJIBU TENA KUHUSIANA NA MASULA HAYO.

una shida yoyote ya kinyota, mapenzi, biahsra, kazi, kesi, kuuza, kuibiwa nguvu za kiume kukuza dhakar chango uzazi nk

+255621442936

Jitahid kupiga simu na ikiwa yuwatuma ujumbe basi weka melwzo ya kutosha ikiwemo jina pahala unapoishi na shida husika jumbe fupi kama mambo niaje habar hellow vipo sitqzij heshimu muda wa mtu




Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI