FAHAMU KUHUSIANA NA MARADHI YA PUMU NA MBAVU KUBANA






MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU
PUMU ni ugonjwq unaihusiana na masuala ya upumuaji. Hapa nazungumzia kifua na mapafu ndivyo vinavyoweza kuathirika zaidi kutokana na ukongwe wa ugonjwa huu. Ugonjwa huu huua kabisa kama utakomaa na mgonjwa kukosa zile tahadhari maana wengi hutakiwa kutembea na vifaa maalumu kwa ajili ya huduma ya kwanza ila unatibika.

  Kwann wakina mama na watoto ndio waathirika wakubwa wa ugonjwa wa pumu ni kutokana na aina ya maisha wanayoishi kutojishughulisha sana hvyo mfumo wa upumuaji wao huwa na kasi ndogo.

   Mwanaume anaweza akazaliwa na pumu kwa kurithi kutoka kwa wazazi wake lakini kadri anavyokuwa kutokana na SHUGHULI ngumu anazozifanya hivyo ugonjwa huuhumuondoka taratibu.  Ugonjwa huu unaweza ukasababisha kifo maana unapomkumba mtu humsababishia pumzi kutoka kwa shida.

 Ugonjwa huu unatibika kabisa kama utaoata dawa hasa kulingana na ukubwa wa tatzo lako. Ipo pumu ya ngozi ambayo huathiri zaudi ngozi na upumuaji, ipo pumu ya mishipa ambayo hii ikikubana kuna umri ukifika siku ikikumata mpaka uchomwe sindano kwa wagonjwa ama walio kuishi na wagonjwa wa pumu wanafaham inabana mpaka mtu yualazwa.

Pumu nyengine ni ile kawaida ambayo hubana pumzi tu na mbavu ukivuta kile kidudue chao basi huacha kidogo kidogo. Hapa kila pumu ina matibiaji yake kulingana ukubwa wa tatzo. Pia kuna pumu za kurogezewa wapo wachawi wanaweza kukurohga ukaonekana una kila dalili pumu na ukatibiwa usipone wakat mwingine hupelekea kifo. Ndo utasikia yule marehem hana historia ya kuwa na pumu toka utoto wake lakini ghafla tumesikia ana pumu na kufa.

   Kama mtu atabanwa na pumu huduma ya kwanza nii hii kuna dawa inaitwa kalkaariyat ipo maduka ya dawa asili utachukua ujazo wa grqm 100 weka kwenye maji lita tatu itapendeza kama itakuwa ni ya mvua. Iache ichemke sana kisha ipua chuja kunywa kikombe cha kawaha kutwa mara tatu. Unaweza kuwa unaipasha moto dumu kwa siku tatu. Hii inatuliza haraka wakati ukiendelea kutafuta tiba sahihi kulingana na tatzo lako pia kama ndo kwanza ugonjwa unaanza inaweza kutibia kabisa.

Pia unaweza kupata unga wa uwatu kijiko kimoja ukaweka kwenye bakuli na nusu lita la uji wa ngano yaani ngano ile isiyokobolewa ile nzimanzima tengeneza uji kisha weka hiyo dawa gawa mara mbili kunywa siku nzima mara mbili hii pia inatuliza haraka sana hasa pumu ile ya ngozi inayoanza.


Dua ayatu kursiyu mara1111 kwenye maji ambayo umeyawekea karafuu maua. Yanauwezo kutuliza vichomi na upumuaji hafifu. Shart ifuatwe sheria zote za dua pia itumike ndani ya siku 21 kama ni kifua cha uchawi ama kuna sihiri zinaweza kukuachia. Msomaji atakiwa afunge kwa nia siku moja kabla ya kutengeneza pia aswali sunnat haja kisha afuaye taratibu zingine.

   DAWA RAHISI YA PUMU YA KAWAIDA 

MAHITAJI NI HAYA YAFUATAYO

>> MAYAI SABA YA KUKU WA KIENYEJI 
>>ASALI MBICHI LITA MOJA 
>>VITUNGUU SAUMU 10 VYA WASTAN
>>VITUNGUU MAJI 10 
>>NDIM ZA MAJI KUMI NA TATU 


           NAMNA YA KUANDAA

MENYA VITUNGUU MAJI KISHA SAGA UPATE JUISI YAKE. VITUNGUU SAUMU VISAGE VIPONDE  NA UKAMULIE NDIM HIZO KATIKA ASALI NA UKOROGE VIZURI KISHA IFADHI KWA CHOMBO SAFI UTAWEKE NA MAYAI HUMO KWA KUYAPASUA N UYAVURUGE VILE VIINI KISHA ATUMIE VIJIKO VIWILI VYA CHAKULA KABLA AJALA CHOCHOTE NDANI YA SIKU SABA MPAKA KUMI NA NNE 

KAMA UNASEHEM YA KUHIFADH IHIFADHI KAMA FRIJI ILI ISIHARIBIKE.

KUNA DAWA NYINGI ZA KUPIKIA NA MIWA KUNA WATU WANAPIKIA VITU WANAVYOVIJUA WAO ILI MRADI MTU APATE NUSURA YA SHIDA ZAKE. HIVYO LENGO LA MAKALA HAYA NI KUKUAMBIA KWAMBA PUMU INATIBIKA KAMA UMETUMIA DAWA NYINGI BADO HUJAPONA JUA UNA SHIDA PAHALA JITAHD KUCHUNGUZWA KWA KINA

KUPATA DAWA ZLIYOANDALIWA TAYARI KwA MFUMO WA KUWEKA KWENYE UJI NA KUPAKAA PUANI AU DAWA NYINGINE YA TATZO LOLOTE MAWASILIANO 0621442936

KWA TATIZO LOLOTE LA AFYA UZAZI NGUVU ZA KIUME KUKUZA DHAKAR NYOTA BIAHSRA MAPENZI NK PIGA SIMU NAMBA ZILIZIWEKWA HAPO JUU WALE MNAOTUMA UJUMBE WWKA MAELEZO YA KUTOSHA JUMBE FUPI FUP SITAZIJIB


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI