FAHAMU KUHUSU UCHAWI WA ZONGO NA TIBA YAKE
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO
KWA watu waishio Ukanda wa Pwani hasa Tanga ndugu zangu Handeni, Rushoto, Muheza na Pangani na maeneo mengine ya karibu neno Zongo sio geni kwenu. Uchawi huu ni hatar sana hasa kwa watoto wadogo na wageni wa maeneo fulani huandamwa sana na uchawi huu. Ni uchawi mtu anayeweza kutembea nao mikononi au usoni ama kwenye kikapu hutegemea na utaalam wa mchawi
Uchawi huu upo wa aina nyingi, kuna mkunwa na mdogo mkubwa ukiathirika ama kukuoa maopozi yake ni makubwa ni lazima upate utaalam wa hali ya juu. Mdogo maopozi yake ni madogo tu na unaweza kufanyiwa hata nyumbani na mtu mzima yoyote hata asiyekuwa mtaalama ila atakiwa afike umri fulan kama mtakavyoona kwenye maelezo hapo chini.
UCHAWI MKUBWA WA ZONGO
Huu mara nyingi huwa ni wakutegwa yaani si wakurusha kama ulivyo mdogo huu huwekwa sehem maalumu kwa manuizi maalum. Hauna tofaut sana na mdogo ila huu maradhi yake huenda mbali zaidi hufunga choo huvumbisha miguu na kujaza tumbo. Huwenda ikawa ni wakukanyaga pahala ama ukauvaa katika matembezi yako.
Huu sasa uyokaji wake yatakiwa upate wataalam waangalie aina ya huo ulozi. Kisha washughulikie kulingana na mitego iliyotumika. Unaweza ukawa unaumwa miguu tumbo linajaa ukajua presha kumbe tayari umeshavaa mitego ya zongo hivyo kuwa makini katika kutafuta tiba zongo linaua hasa ukienda hospitali
UCHAWI MDOGO WA ZONGO
Zongo ninalozungumzia hapa ni hilo dogo ambalo mtu anaweza kutembea nalo mkononi, kwenye vikapu ama kuliweka kwenye macho nk. Hapa mchawi anakuwa nao huo uchawi anatembea nao anaweza akakushika mkono akakuachia, ama akakuangalia akakutupia, au hata akaangalia chakula chako unachokula akakipiga zongo. Maeneo hayo niloyataja ni maarufu sana kwa uchawi huu hata watoto wadogo ukitaja tu zongo wanaelewa.
DALILI ZA MTU MWENYE ZONGO
Mtu anaytupiwa uchawi huu huwa na dalili zifuatazo. Kwanzq tumbo kuuma na kujaaa sana na ukilipga linalia mlio fulani hivi. Wakati mwingine hubadilika rangi hilo tumbo na kuwa la njano. Wakati mwingine kuharisha na kukosa nguvu pia. Kwa watoto wadogo watakuwa wakilia sana pia kukataa kula.
Huwenda umetupwa uchawi aidha kwa kusalimiana na mtu ama kupewa kitu ukala. Ama kusalimiana kwa kupeana mikono nk. Jihadhar sana ukiwa mgen pahala usipende kusalimiana na watu kwa mikono. Usile hadharan hasa kutembea huku unakula na pia usile sehem zisizoeleweka.
NJIA NA DAWA YA KUMALIZA ZONGO
Matibabu yake yana njia nyingi sana hapa nitaeleza baadhi ya mambo rahisi. Soma kwa umakini angalia vzuri njia ama dawa rahisi kwako. Huchukuliwa usinga ule wa kiganga kisha mtaalam huonyesha ishara ya kuutemea mate ni ishara tu si kwamba utemee mate kweli kisha hupitishiwa tumboni kulia mara mbili na kushoto mara mbili unaanzia kushuka chini. Kisha utafanya ishara kama unafagia chini ya sakaf kwa kutoa uchafu nje.
Hii kama utakosa usinga tumia mti wa ufagio fuata ishara hizo hizo. Kama ni zongo dogo basi tumbo litapungua fanya kama mara tatu ukiona hakuna matokeo ujue ni zigo kubwa. Wakati unafanya hayo semea maneno ya kuvunja huo uchawi wa kijicho cha zongo kilichotupwa. Hii ni huduma ya kwqnza kisha utaangalia dawa nyingine ya kutibu kabisa
Njia ya pili unaweza kutafuta magadi ya bahar na majani ya mbaazi yawe makavu yaliyoanguka yenyewe na mbaaz uwe na umri uliopita miaka miwili. Utasaga pamoja tumia kuweke kwenye maji ya kuogea. Pia utachukua mizizi ya mbaazi huo ulioelezwa na mizizi ya ndulele ama mturatura kisha chemsha kunywa kiasi fanya mara mbili kwa siku ndani ya siku tatu. Hii ni dawa kabisa na pia ni huduma ya kwanza.
Njia nyingine ambayo ni mayai ya kiswahili utachukuw yai moja okota na vijiwe na vidogo saba itapendezq kama ataokota mgonjwa kisha weke kwenye sufuria ama bakuli la bati weka maji kiasi kisha weka vijiwe pasua hlo yai livuruge na kijiko kama litapanda juu yaan kuvimba ujue ni zongo kweli.
Utachota kidogo povu utaramba ama arambishwe mgonjwa wakat huo amevuliwa nguo ya juu tumbo liwe waz. Utampakaa tumboni mara saba kuanzia kulia kisha utamalizia kushoto kista utatoa vijiwe kimoja kimoja kwenye hicho chombo kisha unaweka tumboni mpaka viishe atashikwa na usingizi atakapoamka atakuwa kapona tayar.
Hii ni huduma ya kwanza lakini pia ni tiba moja kwa moja kama atakuwa hajaathirika sana. Zongo ni tofaut na maradhi ya gesi huumaji wake hukera zaidi. Mimi nalijua kwa jina la Zongo huwenda mkoani kwako ama eneo ulpo kuna jina jingine ila ugonjwa ni huo huo.
ZONGO LINATESA NA LINAUA HASA MAZONGO MAKUBWA AMBAYO YAMEKUSUDIWA KUUA KABISA. ZONGO HALITIBIWI HOSPITAL NA MGONJWA WA ZONHO AKICHOMWA SINDANO TU TAYARI MSHAMPOTEZA HASA ZONGO KUBWA
Unaweza kutaja jina la ugonjwa kwa unavyoitwa mkoani mwako. Pia kama njia unazijua ruksa kushea hapo chini.
+255621442936
UNA TATZO LOLOTE LA AFYA, NYOTA, UZAZI, BIAHSRA, NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKAR, PETE ZA BAHAT, KUUZA KITU KWA USHAURI NA DAWA PIGA SIMU NA IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEOZ YA KUTOSHA IKIWEMO JINA PAHALA UNAPOISHI NA SHIDA JUMBE FUPI SITAZIJIBU.
Comments
Post a Comment