UCHAMBUZI WA THAMNI YA HEEUFI B KINYOTA MAISHA MAFANIKIO NA MAPENZI



TUPO KWENYE MUENDELEZO WA KUCHAMBUA HERUFI NA THAMANI ZAKE KATIKA MAISHA YA BINAADAMU NA MAPENZI. TUMESHAMILIZA HEEUFI A SASA TUNAINGIA HERUFI INAYOFUATA AMBAYO NI B.

CHAMBUZI HIZI ZINALETWA KWAKO KUPITIA PAGE HII YA MTABIBU ASILI TZ NIPO MBION KUREJESHA GROUP LA WHATSAP ILA LITAKUWA NA MALIPO NA NI ELF KUMI KWA MWEZI KWA WANAOHITAJI TU. NAREJRA TENA GROUP LITAKUWA LA MALIPO NA NI ELF KUMI KWA MWEZ KWA WANOHITAJI TU.

Herufi B huwakilishwa watu wenye hisia kali watu wapole wanaofanya mambo yao kwa usiri mkubwa. Ni watu wasiopenda tabu wala shida hawapendi kujiumiza sana linapotokea jambo basi wapo tayar kuacha kitu ili amani ya nafsi zao zipatikane.

Hawapend sana kusumbua akili biahsra au jambo likiyumba huona ni heri kuachana nayo. Wanarubuniwa haraka wepesi wa kusahau pia wanaweka visasi. 

  NINI KITATOKEA HERUFI B IKIKUTANA NA HERUFI NYINGINE

B&A mapenz yatakuwepo ila A atajifanya mjuaji zaidi ataishi kwa kutaka kuwa juu. Ndoa ama mahusiano yaweza kuisha bila sababu ya msingi ama uishi huku nafsi isiwe na amani.

B&B mambo yatakuwa wastani hali ya kiuchumi yaweza isiwe kubwa sana. Mnaweza kuandamwa changamoto za kuzorota uchumi matumizi yanaweza yakawa mengi kuliko kipato. Uzazi upo ila watoto watapoa ama kukumbwa na shida kwenye kizazi. Uadui unaweza kuwa sehem ya kuachana kwenu.

B&C mambo yatakuwa yakienda na kurudi hali ya kiuchumi yawezq isiwe imesimama kutetereka kutakuwa kukubwa. Fedha inaweza isikae kabisa mikononi mwako ipite tu. Majanga yanaweza yasikuendee mbali.

B&D mambo mazuri yapo ila hayatkuwa na kasi kubwa kama mawazo yako yatakavyokuwa. Utahitajika utumie nguvu nyingimaarifa na usiri. Vitendo vya kusemana kwa ubaya vinaweza kushamiri pale inapotoke hitilaf

B&E utashibitiwa kiakili na maamuzi utakuwa huna lakusema mbele yake. Usaliti unaweza kuwa sehemu ya maisha yenu atakuwa mtu wa kujikweza na kujusimanga kwa yale aliyokufanyia ikitokea mmekosana. Huwenda siri zako zikawa nje pale tu atakapokuwa na watu wengi na hana lakuongea. Uzazi unaweza kuwa shida au kupata watoto wasumbufu.

B%F anaweza kukufanya chumo akutegemee kwa kila kitu. Pili ni watu wanaoamini sana mapenzi ya dawa hivyo uishi kwa tahadhar utajikuta unafanya mambo pasipo kutarajia au sio kwa akilo yako. Kuna uwezwkano wa kudhibitiwa kimadawa.

B&G huwenda kukawa hakuna usawa katika mapenzi yako. Utatakiwa kutekeleza vitu ambavyo huna uwezo navyo. Utaishi kwa waswas na mashaka na unaweza kupata presha ama maradhi ya moyo uzeeni. Uzazi utakuwa wa shida au watoto wasiotulia.

B&H mambo yatakuwa mazuri katika ridhki, milango ya mafanikio itakuwa wazi. Uzazi wenye tija na faida. Mapenzi yanaweza kuwa chanzo cha mafanikio yenu. Uadui unaweza kuwayumbisha ila mambo yataenda sawa 

B&I mambo yatakuwa yakiwaka moto maneno ama ugomvi visasi vinawwza kuwa sehemu ya maisha yenu. Uliyenaye anaweza kuwa mpole kwa kumuangalia lakini ni hatari kwa kufanya mambo kimya kimya. Kutakuwa na usiri wa hali ya juu pia kuna vitendo vya kurogana. Uzazi utakuwq wa shida au watoto kuwa watundu sana 

B&J mambo yatakuwq yakiganda kutakuwa na muingiliano wa kimaamuzi kila mmoja atataka asikilizwe kile akitakacho. Upo uwezwkano wa kuishi mbali mbali ili mafanikio yapatikane. Uzazi upo ila watoto wanaweza wakawa wamepoa sana kiakili.

B&K mambo hayataenda vile unavyotaka. Matatzo ya ghafka yanayohitaji fedha yatakuwa yakiwakumba sana. Mtaandamwa na madeni mengi kuliko akiba mtakayoweka. Ridhki itakuwa haielewek kupata kukosa uzazi utakuwa wa shida.

B&L kipato kitakuwa cha wastan mtawezq kumudu mahitaji yenu ila maendeleo yatakuwa yakiende kidogo kidogo mnahitaijka uvumilivu kwani hakuna ubaya wa hivyo mambo yatakuwa mazur.

B&M ili maisha yawe ya furaha lazima mmoja wenu awe mpole sana vinginevyo kuna ishara ya kuburuzana. Kuna mmoja atakuwa anataka kummiliki mwenzie atakuwa akisiliza zaidi maneno ya nje kuliko mwenzie. Kutakuwa na huruma za uongo na siri za kufichwa na watu wa karibu. Kusumbuana kwa dawa kunaweza kuwepo.

B&N maisha yatakuwa yakawaida mikwamo yaweza kuwakumba mara kwa mara. Uchumi unaweza kufifishwa kutokana na matumizi kuzidi kipato. Uzazi unaweza ukawasumbua ama watoto kuumwa japo si sana.

B&O mnaweza mkaandamwa na kupoteza fedha ama kuuza vtu muhimu. Ridhiki inaweza kuwa ya kupata na kukosa mambo yanawezq yasiwe mazuri. Uzazi unaweza kuleta shida. Mafanikio kwako yatakuwa mbali sana utakuwa mtu wa kupewa ahad kuliko utimilifu.

B&P maisha yatakuwa na sehemu tatu mtaanza na wakati wa furaha sana kisha mtapitia kipindi kigumu sana. Si maisha ya kawaida ugomvi kuachana ridhki kuyumba. Mafanikio yapo ila yahitajika subira dua na maombi

B&Q hutakuwq na kauli dhidi yake mambo na maamuzi yote atataka aamue yeye. Jambo dogo kwake laweza likawa kubwa. Atapenda sana kujifaharisha kuliko maendeleo ya nyumban vitu muonekano kwake ni kipaombele zaidi. Siri zako zinaweza kufika kwa rafiki zako iwapo watamfurahisha na kumsapoti kwnye mambo yake.

B&R mtapendana sana ila kuna mambo ya siri atakuwa akifanya aweza asikushirikishe. Atakuwa mtu asiyependa kelele mpole mwwmye misimamo. Mafanikio yapo ila ya kipindi unawwza kupata ridhki kubwa na usipate tena mpaka uliyoipata iishe kabisa uzazi unaweza kuwasumbua na kuwa shida.

B&S mambo yatakuwq hayaeleweka yanavyokwenda kwenda mbele na kurejea nyuma ni hali ya kawaida. Mnaweza kupata upepo wa pesa mkapata sana ridhki ila haitakaa zitaondoka zote. Uzazi utakuwa ukisuasua. Maendeleo yatakuwa madogo sana kuliko majanga mtakayopitia.

B&T mnaweza kupata mpangilio mzuri wa uzazi. Mafanikio yatakuwa upande wenu wa kuume. Chuki na hasadi zinaweza kuwatawala kutoka kwa watu wenu wa karibu. Fedha haitacheza mbali hata mkifanya jambo dogo mtapata faida kubwa yenye manufaa.

B&U masikizano yatakuwa machache atataka kila kitu yeye ndiye aamue. Waswas wa nafsi unaweza kukukondesha wewe ndiye utakuwa ukimpenda sana na kujitoa kwa kila hali ili umfichie siri na aibu zake.

B&V mtaanza kwa upendo na wema mafanikio ayatakuwepo ila mtaishia pabaya. Kuna vurugu ama kuganda kwa mambo yanaweza kutokea hapo kati. Ridhiki inaweza kuyumba ama kuisha kabisa. Marafiki ama ndugu wanaweza mshawishi ujinga wa kukuumiza nafsi na mwili.

B&W hamtaivana mtaishi kwa kustareheshana tu hakutakuwa na maendeleo ya kudumu. Mambo  yake mengi yataamuliwa na marafiki zake kuliko wewe. Anaweza kutumia muda mwingi kwa mambo yake binafsi  kuliko masuala ya mahusiano. Uzazi unaweza ukawepo ila watoto wasiwe watulivu.

B&X mambo hayatkuwa mazur sana kutakuwa na kipato cha wastani. Mtaishi kwa siri kubwa sana huwenda kila mmoja akawa anajua madhaifu ya mwenzie ila mkaogopa kuambiana ukweli. Mafanikio yapo ila sio makubwa sana mumuombe mungu na kujishughulikia mara kwa mara 

B&Y unaweza kuishi kwa mashaka katika muda wote hasa unapokuwa huna kitu kwan mwenzawako anaweza kutaka vitu vikubwa ambavyo huna uwezo navyo. Anaweza asiwe mtunzaji wa siri. Ikitokea kitu kimekosekana ama kukosana mtaa mzima wanaweza kujua. Mwenzawako atataka kukumiliki kwa hali yoyote kiher kishar kimadawa.

B&Z maisha yanaweza kuwashinda mapema sana ikiwa mtanganganiana mnaweza kuishi kwa visasi na mashaka tele. Watoto mtakaopata akili zao zinawezq zisitulie watakuwa wamepoa sana muda wowote wamesizi. Maradhi ya ganzi au stroke yaweza kuwa hatma ya mapenz yenu.

Tumemaliza heruf B utaratbu ni ule ule maswali herufi zako weka hapa chini nitakufafanulia walau kwa ufupi huku ukisubiri zamu ya herufi yako ifike.

                 MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

SI KILA SHIDA KATIKA MAPENZI NDOA INASABABISHWA NA MUINGILIANO WA HZI HERUF UNAWEZA UKAPATIA LAKINI KUKAWA NA UADUI UNATAWALA MAPENZI YAKO. UNAWEZA UKAKOSEA NA UKACHANGANYIKA NA UADUI NA MAMBO YAKAWA MAGUMU ZAIDI.

PILI NAPENDA KUSISITIZA UNAPOTAKA KUOA KUOLEWA KUANZISHA MAHUSIANO BASI JITAHD KUPATA WASHAURI WAKITAALAM WA NYOTA WAANGALIE UZITO BAINA YENU WATAKUPA MUONGOZO. HATA MLIOKOSANA MNAOTOKA KUREJEANA USHAUR NI HUO HUO.

UCHAMBUZI WA HERUF NAUTOA HAPA WEKA HERUF ZAKO ZITAJIBIWA WALE WA PRIVATE INBOX UTALIPIA.

una tatizo lolote la kinyota, mapenzi, biashara afya maradhi ya watoto, uzazi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, kuibiwa nk

+255621442936

Kwa wanaotuma ujumbe basi weka melezo ya kutosha jumbe za mambo hi niaje habar sitazijib.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI