UZITO WA HERUFI YA JINA LAKO KATIKA MAISHA NA MAPENZ 'HERUFI A'



HABARI ZA JION NMEZUNGUMZA SANA KUHUSU NYOTA NA KILA KINACHOWAHUSU SASA NTAWALETEA MFULULIZO WA UZITO WA HERUFI YA JINA LAKO. ANAYEKULETEA MAKALA HIZI HADHWIM NA NGUMU ZENYE MAARIFA NI MTABIBU ASILI TZ.

Hapa ntaongelea uzito wa herufi ya mwqnzo wa jina lako. Ukikutana na hwrufi ya jina nyingine nini kitatokea maisha yako yatakuwaje na wapi unaweza kutoka kulingana na matatzo utakayokutana nayo ungana nami mwanzo mpaka mwisho.

Leo tutaanza na herufi A mkileta ushirikiano mzuri nitaendelea mpaka herufi Z kukiwa hakuna ulazima basi nitaziandika na kuziweka kwenye blog. Ikiwa utataka ,iwekwe hapa basi usisite kuweka coment yako hapo chini.

Watu wenye herufi A huwa wakimya sana hufanya mambo yao kisiri. Na hupenda sana kuwasikiliza wapenzi wao kuliko wazazi na ndugu zao. Watu hawa uzazi kwao upo karibu sana ila huchelewesha ama kukwamishwa na aina ya watu wanaokuwq nao kwwnye mahusiano. Watu hawa husumbuliwa na majini ama maradhi ya kijini na kupona kwako huchukua muda. Watu hawa wanapoacha kuachwa ama kufiwa huchukua muda sana kuanzisha mahusiano ya wazi bali hujiingiza kwa siri sana.

Wanaume wenye heruf hii wanaweza kufanikiwa iwapo watawaacha watu walionza nao mahusiano ama kuongeza mke wa pili hasa kwa baadhi ya herufi. Wanawake wenye herufi hii ni wavumilivu na pia wana mambo yao ya siri na wanaamini sana kwenye kumfunga ama kumshughulikia mwanaume kwa madawa. Akili zao zipo kwenye mambo yakuonekana zaidi kuliko maendeleo.

NINI KITATOKE A IKIOANA NA HERUFI NYINGINE

A akiona na A hakuna maisha marefu itawakumba mitihani ndoa kuvunjika au kila mmoja kuishi sehemu.wakati mwingine huamuliwa kwa kifo chrnye sababu

A na B mapenz yatakuwepo ila A atajifanya mjuaji zaidi ataishi kwa kutaka kuwa juu. Ndoa ama mahusiano yaweza kuisha bila sababu ya msingi ama uishi huku nafsi isiwe na amani.

A na C hali itakuwa ya utulivu mafanikio yatapatikana japo si kwa ukubwa huo. Ila ahueni itaonekana uzazi hautasumbua sana.

A na D mambo yataenda kwa kusizi sana huwenda ridki ikawa kuitafuta kwa tabu itatumika nguvu nyingi ili maisha yaende vile mnavyotaka. Mikwamo hali ngumu itakuwa ikiwakumba mara kwa mara.

A na E mnaweza mkawa mnatumia sana fedha. Vitu vitakuwa haviakai mkinunua iahda muuze ama viungue mpate hasara. Uzazi unaweza ukawasumbua aidha mimba kutoka, kutoshika kabisa ama kupata watoto wasuosikia wenye shida fulani.

A na F utakuwa na nguvu za kutafuta ila matumizi yatakuwa makubwa fedha haitakaa. Utakumbwa na shida ya uzazi ama kuuguza mtoto kwa muda mref ugonjwa yusiokuwa wakawaida. Usaliti wa siri utakuwepo huwenda ukawa yuwaambiwa ila usiwe na maamuzi. Utakumbwa na kadhia ya kufanyiwa madawa ya kimapenz na kudhoofishwa kinyota. Mwanamme anaweza pata shida ya nguvu za kiume ama uume kuwa na shida mwaname anaweza oata maradhi ya tumbo la uzazi ama kusumbuliwa hedhi na uzazi kwa ujumla. Uaudi wa ndugu na jamaa unaweza kuwa sehem ya maisha yenu

A na G mambo yatakuwa mazuri ridhki zitapatikana. Hakutakuwa ua ugomvi wala maneno yenye uadui. Uzazi utakuwepo wenye faida. Na mtaishi kwa kuheshimiana na kujaliana.

A na H mambo yatakuwa hayatulii mnaweza kusumbuana vichwa kila mmoja kujiona yeye ana umuhimu aanze kutafutwa na huwenda mapenzi yenu yakawa si ya kuachana mtatengana na kuhitajiana.

A na I kama mtaishi kwa umbali manweza mkadumu ikiwa mnaishi pahala pamoja moto utawaka. Maisha yatakuwa ya mbio sana kila mmoja atakuwa muongeaji ila A atakuwa juu zaidi.

A na J yatakiwa ujitume sana maana kila unachochuma kitahifadhiwa na mwenzio na huwenda usijue kinatumika vipi. Hivyo katika mapenz watu hawa wapo kukuchuma na si kimaendeleo ama mipango ya kudumu.

A na K  mapenzi yatakuwa mazuri sana na furaha na faraja itapatikana ila kipato kitakuwa cha kawaidia. Uadui unaweza kukuandama ili penzi liishie njiani uzazi upo na maendeleo yapo ila kwa asilimia ndogo

A na L utadhoofika katika utafutaji wake ridhki huwenda ikawa inakupiga chenga. Mambo yatakuwa na mikwamo sana hata uzazi unaweza ukakusumbua japo si sana. Ukaaji wa mbali unaweza kukufanya mkaishi muda mref.

A na M hakuna mapenzi ya kudumu mwenye M lazima atakupanda kichwan hasa akiwa M mwanamke hakuna heri. Uzazi utachelewa. Ridhki zitakuwa za tabu na unaweza ukafifishwa kimaendeleo. Kila ukichumacho kiishie mikononi mwake Mwisho mtaachana kwa aibu kubwa kwa jambo usilolitegemea ama kuvunjiwa heshima

A & N mambo yatapoa hata ridhki itakuwa ndogo yaani itapatikana fedha ya kula tu mambo makubwa kwenu mtayasikia ama kuyaona kwa watu. Upo uwezekano wa watoto kupata maradhi ya mapele ama mabalanga au magonjwa ya mchango

A & O mambo yatakuwa mazuri wastani ridhki itapatikana. Fedha ya kula ipo ila kuweka itawapiga chenga uzazi upo. Mafanikio yapo ila kwa muda mref na inahitajika nguvu ya ziada.

A & P mambo yatakwenda kufifia unaweza kukumbwa na mitihana ya kutumia sana fedha. Uzazi unaweza ukawasumbua au kupata watoto waliopooza. Mipango huwwnda ikawa inakwama

A & Q mambo yatakuwa moto ugomvi visasi kutoaminiana. Mmoja wenu atataka kumdhidi mwenzie maarifa. Kila mmoja atajifanya yuajua zaidi kuliko mwenzio. Kipato kinaweza kupatikana ila kisikae mnaweza kuandamwa na majanga ili pesa zimazoingia zisikae. Watoto wanaweza wakawa hawasikii au watukutu.

A & R maisha yatakuwa wastani, mtaandamwa na dhiki za vipindi. Uzazi unaweza kuwa changamoto ama watoto kuwa maradhi wanapokuwa wadogo. Fitna za ndugu zinaweza chanzo cha uadui pia kuna upande utakuwa una chimbuko la uchawi. Kuachana ama mmoja kufariki yaweza kutokea.

A & S mambo yatakuwa mazuri ufakme utasimama imara kipato kitakuwa kizuri na mafanikio yapo. Uzazi upo watoto watakuwa na afya na akili timamu. Muhimu ni kushughulikia matatzo yako kwa wakati pale unapoona shida basi itafutie suluhu kuna ishara ya kuandamwa na uadui wa watu wa karibu.

A & T mnaweza kushindwana kutokana na uvumilivu kuwashinda. Mtapitia hali ya kawaida kupata kipato cha kukimu mahitaji ya kawaida. Mambo ya ziada yatawshindwa mapenzi yanaweza kuingia zohali na kuanza kuchepuka.

A & U maisha yanaweza kuwashinda au mkaishi kwa kutuhumiana. Inamaanisha hakutakuwa na furaha ya kudumu kila mmoja ataona upande upo sahihi kunapotokea tatzo. Washaur wenu wanaweza kuwapotosha baada ya kuwapitisha njia iliyo sahihi. Unaweza kukumbwa na shida ya uzazi na magonjwa ya tumbo.

A & V mmoja wenu lazima awe chini ili mambo yaende pia mtapitia wakati mgumu sana kiasi cha kila mmoja kumuona mwenzie hana maana. Ushaur wa marafiki na ndugu unaweza kuwa sababu ya maachano yenu. Vitendo vya kiza bimaana uchawi upo uzazi upo ila watoto watapoa.

A & W maisha yatakuwq mazuri upendo na fuaraha unaweza kuwa chachu ya maendeleo yenu. Mafanikio yapo ila si mwanzon lazima mpitie kipindi kigumu kisha mtaipata nusra uzazi upo hauna shaka.

A & X huwenda mafanikio yakaja kwa kuchelewa utatumia nguvu nyingi saba kutoa kutakuwa kwingi kuliko kuingiza. Watu wanaokuzungumza unawwza kuhisi wanakusema kwa ubaya juu ya maisha yako ila wapo sahihi 

A & Y ugomvi unaweza kuwq sehem ya mapito yenu. Wivu na kifuatiliana kila hatua yaweza kuwa sababu ya migogoro.kila mmoja atataka kummiliki mwenzie kumpangia nini chakufanya. Uzazi unaweza ukawasumbua, pia majini ashqi hawataendea mbali hasa kwa mwanamke.

A & Z yakupasa uwe unatumia dawa mara kwa mara za kunyanyua nyota kwani utakumbwa na matatzo katika utafutaji nyota yako huwwnda ikawa chini. Maradhi ya kiafya na uzazi unaweza kuwa shida.

Una swali bado naendelea kujibu kwenye coment herufi  endelea kufuatailia kwa kushiriki kucoment kulike na kushea. Tumemalizana na watu wa heruf A mnawwza kupoga kura heruf gani ifuate

          MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

KUNA WAKATI MNAJIFUNGA WENYEWE KWA KUPITIA KUOANA KWA MAJINA YEMU. NA KUNA KIPINDI HUSDA ZA KIBINAADAMU HUCHANGIA HIVYO UKIWA UNA SHIDA YA KIMAPENZ JITAHD KUPATA UANGILIZ WA KITAALAM ILI UJUE NINI HASA KINAWASUMBUA.

TATIZO AMA SHIDA YOYOTE HUTIBIWA KWA CHANZO MFANO UMEACHWA UNATAKA KUREJEWA LAZIMA IANGALIWE MILANGO YA MAPENZI BAINA YENU ITIBIWE KWANZA SHIDA KUU NDIPO MAMMBO YA KUREJESHWA YAFUATE. VINGINEVYO UNAWEZA KUPOTEZQ MUDA NA GHARAMA NA USIFANIKIWE.

NIKUKUMBUSHE KUWA UFAFANUZI Wa HIZI HERUFI NAUTOA HAPA UKIANGALIA COMMENT ASILIMIA KUBWA ZINAJIBIWA UNAWEZA KUWEKA HERUFI ZAKO NITAIZJIB pIA SWALI LOLOTE ULIZA NITAJIBU UKITAKA UCHAMBUZI WA INBOX UTALIPIA WEKA HAPA NITAZIJIB.

Una tatzo lolote la nyota biashara kazi mapenz uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar pete za bahati nk fanya mawasiliano 

+255621442936

Jitahd kupiga simu ikiwa unatuma ujumne basi weka maelezo yakutosha jumbe fupi sitazijibu.



Comments

  1. Itakuwaje mtu akibadili Jina?

    ReplyDelete
  2. Weka heruf N
    Fanya Ivo mkuu

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI