Posts

Showing posts from October, 2022

ASILI ZA MAJINI FAHAMU KUHUSU JINI MAIMUNA NGUVU MAPENZ UTAJIRI

Image
TUPO KWENYE MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA MAJINI. KUWAJUA ASILI ZAO NGUVU ZAO KAZI ZAO NA UTOAJI WA MALI ANAYEKULETEA CHAMBUZI HIZI NI MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MAELEZO KWA UMAKINI MWANZO MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU.        ASILI NA SIFA ZA JINI MAIMUNA Leo tunamuangalia jini Maimuna ni miongoni mwa majini wa kisharufu wenye asili ya kike kwa lugha nyepesi huitwa Bi Maifu. Asili yake ni Arabu Milki yake ni bahari na nchi kavu Wasifu wake ni Uongozi. Anapendelea mapambo ya fedha na dhahabu hupenda pete ya fedha au dhahabu vito vyake hutegemea na aina ya jini na tawala yake. Wamegawanyika katika makundi mengi ila hapa nitayazungumzia makundi makubwa saba na kazi zao. Sio wote wanapenda mapambo, ni jini mwenye nguvu katika kazi zake hasa msuala ya mvuto wa mapenzi biashara kulete uchawi bimaana kuroga mtu. Huyu ni Khadimu wa siku ya Jumamosi hivyo ukifanikiwa kupata vitu vyake ukamtumia siku hiyo unaweza kupata ulichokikusudi

ASILI ZA MAJINI MAHABA WANAVYOINGIA MADHARA NA TIBA

Image
TUPO KWENYE MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI ZA MAJINI. LEO TUTAMZUNGUMZIA ASILI YA JINI MAHABA NI NANI ANATOKA WAPI KOO LAKE NI LIPI MADHARA KINGA NA NAMNA YA KUMTOA ANAYEKULETEA DARAWA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ HII NI ORIJINO KABLA HAIJAKOPIWA PAHALA PENGINE NA MAHARAMIA WANAOJINASIBISHA NA TIBA ASILI.  Kiuhalisia hakuna jini anayeitwa Mahaba kwa kuumbwa. Mungu hakuumba jini anayeitwa Jini Mahaba, hivyo katika matembezi yako kwa wataalam ukiambiwa una jini mahaba yatakiwa upatiwe maelezo yakutosha. Hapa jitahd kusoma kwa makini wengi hamson mnakimbilia kuchukua namba na kuanza kuulizna maswali ambayo kwenye makala yanakuwa yamechambuliwa tena waziwazi.      KWANINI AITWE JINI MAHABA Huyu ni jini kama walivyomajini wengine. Huwa miongoni mwa Majini waovu wenye sifa ya Kishetani majini wanaotumia uwezo wao vibaya majini waliokimbizwa ama kufukuzwa kwenye sehem zao halisi baada ya kufanya makosa fulani. Huwa ni mashetana wanaomuingia mtu kwa lengo la kumtumia kimapenz ndipo li

ASILI ZA MAJINI FAHAMU KUHUSU JINI SHARIF UFALME, UTAJIRI

Image
HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI ZA MAJINI KAMA ZILE ZILIZOPITA. LEO NTAONGELEA JINI SHARIFU, ANAYEKULETEA UCHAMBUZI KUZIANDIKA NA KUZIANDAA NI MTABIBU ASILI TZ. kama ulivyosoma darasa zilizopita kila jini anakuwa na asili yake alipotoka ufanyaji wake wa kazi. Chano namna ya kumpata madhaifu yake na mengine mengi yanayomuhusu leo ni zamu ya jini SHARIFU      ASILI NA SIFA ZA JINI SHARIFU Jini huyu ni miongoni mwa majini watukufu wakuu wenye uwezo wa hali ya juu. Ana asili ya kiume mavazi yake ni nguo nyeupe zenye ming'ao wakati mwingine huambatana na rangi ya kijani. Hupendelea vyakula vitamu kama tende halua asali na manukato mazuri. Makazi yake ni baharini na nchi kavu ni kiongozi mzuri wa majini asiyependa sifa. Hana mambo mengi  hapendi kupanda mara kwa mara, mtu mwenye jini huyu hupewa elimu ya kutosha na ishara za sauti hivyo anaweza kufanya kazi zake kwa weled wa hali ya juu pasina kumuita jini wake. Mashart ni udhu nyiradi, takbira  Akipanda unajiona Kama

SIRI THAMANI YA HERUFI J KATIKA MAISHA, MALI MAFANIKIO NA MAPENZI

Image
HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA THAMANI ZA HERUFI KATIKA MAISHA MAPENZI NA MAFANIKIO. UCHAMBUZI HUU UNATOLEWA NA KUANDALIWA NA MTABIBU ASILI TZ.  HERUFI NILIZOZICHAMBUA MPAKA SASA NI HERUFI A,B,C,D,E,F,G,H,I NA LEO NAINGIA HERUFI J. UCHAMBUZI HUU UTAELEZA TABUA HALISI ZA WATU WA HERUFI HII, MAISGA YA MAPENZI. NA WATU WAKUSHIRIKAINA NAO.  kila herufi ina mwenendo ww maisha yake hivyo jitahidi kusoma kwa umakini. Ikiwa herufi yako ilishapita na hukuona yaan makala imekupita angalia post zilizopita makala zipo hazijafutwa. Uchambuzi private inbox utalpia gharama.  TABIA NA MAISHA HALISI YA HERUFI HII Watu hawa wanapenda kuwajibika, ni wenye bidii ya kazi, katika kazi yeyote watakayofanya hata kama ikiwa ni ya kipuuzi.  waaminifu sana, watu wastahamilivu na wenye kuweza kuvumilia matatizo yeyote. Kwa upande mwingine ni watu wenye tamaa kubwa ya kimaisha na kimaendeleo, na kwa sababu ya kutekeleza malengo yao basi huwa wanakuwa wabinafsi na wenye uroho na uchu. Mara nyingi huwa

ASILI ZA MAJINI FAHAMU KUHUSU JINI CHEKETU

Image
MUENDELEZO wa mfululizo ya asili ya majini katika kuwafahamu namna wanavyofanya kazi na jinsi wanavyoathiri watu. Leo tutaongelea kuhusiana na jini huyu Cheketu. Jitahd kusoma kwa umakini mwanzo mpaka mwisho anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Kwa ujumla majini wanakuwa na asili zao kama unavyoona asili za makabia yaliyopo kwenye nchi uliyopo. Wapo Majini Miliki ya bahari wapo majini miliki ya Bara kama tuliyozungumza jana Mmasai. Wapo majini Wakristo Wapo majini Waslam wapo kitoka mabara mengine kama Uarabuni Ulaya nk we endelea kufuatilia darasa zangu utatanua uelewa wako na kutoongopewa kuhusiana na majini kamwe.        SIFA NA ASILI YA JINI CHEKETU  HUyu ameondoka kwenye sifa za kijini amekuwa shetani. Miongoni kwa makoo maarufu Kishetani katika Ulimwengu wa Kijini. Shetani huyu ana sifa kubwa ya kiwa msanii yaan muigizaji ana uwezo wa kuogiza kila anachokiona kila anachokisikia na akakifanya kwa usawa uleule. Shetani huyu asili yake ni Uchawi hivyo katika uli

MAMBO MATANO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WANAUME WENYE UKOSEF WA NGUVU ZA KIUME USITUMIE MIKONGO UTAJIUA KABISA

Image
NIMEWAHI KUANDIKA KUHUSIANA NA MADHARA YA MATUMIZI YA DAWA ZINAZOITWA NI MIKONGO AU VUMBI LA KIKONGO. KWENYE MAKALA YALE NILIELEZA NAMNA ZINAVYOHADAA JINSI ZINAVYOFANYA KAZI NA MADHARA GANI UNAWEZA KUPATA. NIKAWEKA NA USHAUR NINI CHAKUFANYA MAKALA IPO REJEA POST ZILIZOPITA UTAFAHAMU MENGI. UCHAMBUZI HUU UNALETWA KWAKO NA MTABIBU ASILI TZ UTAANZA KUSOMA HAPA KABLA HAZIJATOLEWA KOPI NA KUPESTIWA. MAKALA haya yatazungumzia kuhusiana na nini ufanye nini ysifanye kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume. Siku hizi wauza dawa wamekuwa mengi sana na kila mtu dawa zake ni za nguvu za kiume na kukuza maumbile. Hii yote inatokana na vijana wengi kukumbwa na kadhia hii na watu ndipo wnapoamua kuchuku fursa ya kufanya mambo yao.  Unapokuwa na na tatizo la nguvu za kiume jitahidi usikurupuke kutafuta madawa ya nguvu. Muhimu jambo la kwanza kujua shida yako imetokana na nini hivyo muhimu kutibu chanzo cha tatizo kwa madawa sahihi na urejeshe nguvu pia kwa madawa sahihi. Hapa nitawe