ASILI ZA MAJINI FAHAMU KUHUSU JINI MAIMUNA NGUVU MAPENZ UTAJIRI



TUPO KWENYE MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA MAJINI. KUWAJUA ASILI ZAO NGUVU ZAO KAZI ZAO NA UTOAJI WA MALI ANAYEKULETEA CHAMBUZI HIZI NI MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MAELEZO KWA UMAKINI MWANZO MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU.


       ASILI NA SIFA ZA JINI MAIMUNA

Leo tunamuangalia jini Maimuna ni miongoni mwa majini wa kisharufu wenye asili ya kike kwa lugha nyepesi huitwa Bi Maifu. Asili yake ni Arabu Milki yake ni bahari na nchi kavu Wasifu wake ni Uongozi. Anapendelea mapambo ya fedha na dhahabu hupenda pete ya fedha au dhahabu vito vyake hutegemea na aina ya jini na tawala yake. Wamegawanyika katika makundi mengi ila hapa nitayazungumzia makundi makubwa saba na kazi zao.

Sio wote wanapenda mapambo, ni jini mwenye nguvu katika kazi zake hasa msuala ya mvuto wa mapenzi biashara kulete uchawi bimaana kuroga mtu. Huyu ni Khadimu wa siku ya Jumamosi hivyo ukifanikiwa kupata vitu vyake ukamtumia siku hiyo unaweza kupata ulichokikusudia. Mavazi yake meupe kijani kibichi na blu bahar

      SHUGHULI KAZI ZA JINI HUYU

Nimeelza kuwa jini huyu amegawanyika katika maumbo na tabia nyingi ila hapq nitaeleza makundi saba makubwa na kazi zao. Kazi zao kuopoa kutoa utajiri kutibia kupiga watu maradhi soma kwa umakini maelezo.

MAIMUNA ABANUKHU huyu ni malkia  wa majini anasimamia sayari ya Zohati ana nguvu zaidi siku ya Jumamosi. Huyu kadhi yake ni kupigia watu uchawi akirogwa mru kupitia jini huyu ubaya unaenda moja kwa moja na watu wa falaqi humtumia sana kwenye shughuli zao.

MAIMUNA ASSAHABI huyu ni malkia wa usafirishaji ana uwezo kusafirisha vitu iwe ubaya uchawi au heri. Ana uwezo kukurejeshea mpenzi wako aliyembali kwa wakati mfup ana uwezo wa kurejesha kitu kilochojibiwa kilichopo mbali. Ana weza kumsafirisha mtu popote kwa haraka zaidi.

MAIMUNA ALGHAMAMI huyu ni malkia wa ufichaji mambo hutumika zaidi kwenye kinga za nyumba biahsra na kumkinga mtu asionekane na watu wabaya. Huficha vyombo vya safar ili visionekane na watu wenye nia ovu.

MAIMUNA ATURABI huyu ni malkia wa habari huweza kukupa habar au jambo ulisolijua ana uwezo wa kukuonesha maisha aliyoishi bibi yake miaka hiyo iliyopita kupitia njozi ana uwezo wakukupa habar za mpenz wako mpaka nyumba anazoingia kukusaliti. Kazi nyingine ana uwezo kukuonesha madini sehemu zilizo na mali yaan jambo lenye siri ana uwezo kulifichua.

MAIMUNA ASSALITW huyu ni wa kuadhibu watu na kuwaingizia watu maradhi ana uwezo wa kujigeuza na kuja kukuingilia usiku uwe mwanaume uwe mwanamke ana uwezo wakukufanya kinyumale na maumbile. Kazi yake kubwa ni kuingiza maradhi mwilini ukiwa usingizini.

MAIMUNA ALKHATWAFI kwa wale wapenda utajiri huyu ndiye mtoa utajiri katika familia ya jini Maimuna. Ana uwezo wa kukufanya ukawa maarufu sana kufahamika kwa pesa utakazokuwa nazo na umaarufu utakaoupata.

MAIMUNA ABABIL Huyu ndiye anawaunganisha wote huyu ndiye ana uwezo wakuoanda kichwani kwa mtu. Mtu yoyote anayepandisha Maimuna ujue anaye huyu kwa kupitia huyu ndipo unaweza kuwaoata hao wengine niliowataja hapo juu kwa kumuomba akuunganishe na koo lake utamueleza shida yako atakupa mashart na mahitaji.

DALILI ZA JINI MAIMUNA AKIKUATHIRI MWILINI

Utaandamwa na kuumwa na kichwa hasa utosini na kuhisi kuna kitu chatembea ndani yake.

Mwili kuwa na ganzi sehem za maungio upande mmoja wa mwili. Kuwa na hali ya kuharibu mimba mara kwa mara kuchukia mume au mke. Huambatana na kuchykia jimai yenyewe.

Kuhisi koon au tumnoni kitu chenye asili ya moto hivyo hipelekea koo kukauka. Huandama na kiungulia mingurumo ya tumbo kutapika vtu vyenye asili ya mapovu.

Kuwa na usingizi unaokera sana kutotilia pahala pamoja nyakati za usiku kwa lugha nyepes inaitwa ulalazi na kukoroma kupita kiasi.

     NAMNA YA KUMPATA MAIMUNA

Hapo kila mmoja ana utafutwaji wake ila anayepatikana kiwepes ni huyu jini anayepanda kichwani mwa watu ukiwa na huyu ndipo kuna urahisi wa kupata wengine. Kumpata huyu waweza kumpata kwa kurithi au mwenyewe kwa kukupenda au kuwa karibu na vile anavyotaka akaja kwa kumuita.


      MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

Pamoja na sifa zote alizokuwa nazo jini Maimuna ana udhaifu wa wepes mno kukasirika. Hatunzi siri, hivyo kama umemuudhi ana uwezo wakutoa siri yako katika njozi kwa watu wako wa karibu au kupanda kabisa na kuzungumza mambo ya sirini.

Jini huyu anatoa utajiri aidha kwa kumuomba au mwenyewe kukupenda kukupatia. Ikiwa kakupenda utaandamwa na njozi na atakupa ishara ya nini chakufanya ili upate zawasi aliyoikusudia kwako. Ikiwa ni wakumuomba basi ufuate sheria na taratibu na makafara yaliyokusudiwa basi utakuwa karibu nae na kupata ulichokussudia angalizo mimi sitoi utajiri nipo kuwaelimisha.


ANGALIZO KUNA WATU KILA WANACHOKIONA KIMEANDIKWA MTANDAONI WANATAKA KUKIJARIBU KWANZA JIRIDHISHE ELIMU YA MTU ALIYEWEKA HILO BANDIKO PILIA HAKIKISHA UMEFUATA ALICHOANDIKA NMEPOKEA KESI KADHAA WATU WANAJARIBU KUITA MAJINI KWA KUSOMA PAHALA MWISHOWE WANAHARIBU MAMBO YAO KWA KUTOKUJUA MWISHOWE WAFANYE NN UNAWEZA KUITA JINI ASIJE WAKATI ULE ILA AKAJUA UMEMUITA AKAANZA KUKUSUMBUA MAISHA YAKO KAMA HUNA ELIMU UISPARAMIE MAMBO MFUATE ALIYEPOST MPATIE ANACHOHITAJI AKUSIAIDIE KUMUITA HUYO JINI MIIWA PAMOJA ILI LIKITOKEA LOLOTE AKUSAIDIE.

MUHIMU MIMI SITOI UTAJIRI WA MAJINI WALA SIMILIKISHI WATU MAJINI HIVYO SITEGEMEI SIMU WQLA JUMBE ZA NAMNA HIZO. UNA SHIDA NYINGINE YOYOTE BUAHSRA KAZI MAPENZI NJOO IANGALIWE SHIDA IPO WAPI IFANYIWE KAZI MFANO BIAHSRA UNAWEZA KUTENGENEZA BIAHSRA YAKO IKAKUPA MAFANIKIO YA KIFEDHA NA UTAJIRI.

+255621442936

Una shida yoyote ya biahsra kazi mapenz nguvu za kiume kukuza dhakara 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI