ASILI ZA MAJINI FAHAMU KUHUSU JINI SHARIF UFALME, UTAJIRI


HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI ZA MAJINI KAMA ZILE ZILIZOPITA. LEO NTAONGELEA JINI SHARIFU, ANAYEKULETEA UCHAMBUZI KUZIANDIKA NA KUZIANDAA NI MTABIBU ASILI TZ.


kama ulivyosoma darasa zilizopita kila jini anakuwa na asili yake alipotoka ufanyaji wake wa kazi. Chano namna ya kumpata madhaifu yake na mengine mengi yanayomuhusu leo ni zamu ya jini SHARIFU

     ASILI NA SIFA ZA JINI SHARIFU

Jini huyu ni miongoni mwa majini watukufu wakuu wenye uwezo wa hali ya juu. Ana asili ya kiume mavazi yake ni nguo nyeupe zenye ming'ao wakati mwingine huambatana na rangi ya kijani. Hupendelea vyakula vitamu kama tende halua asali na manukato mazuri. Makazi yake ni baharini na nchi kavu ni kiongozi mzuri wa majini asiyependa sifa.

Hana mambo mengi  hapendi kupanda mara kwa mara, mtu mwenye jini huyu hupewa elimu ya kutosha na ishara za sauti hivyo anaweza kufanya kazi zake kwa weled wa hali ya juu pasina kumuita jini wake. Mashart ni udhu nyiradi, takbira 

Akipanda unajiona Kama umekuwa lijiwe ama jabari la baharini, anakuwa na nguvu za ajabu ,Hana mambo mengi huyu yeye vitendo ndio sana,kwa kutibia ni tiba ya uhakika, sauti yake ni upole huchanganya kiswahili na kiarabu. Pete zake ni vito vya kijani na blue bahar huuja kwa ishara ya upepo ama makasia au takbira.

    NAMNA YA KUMPATA JINI HUYU

Jini huyu kumpata kwake ni ngumu kidogo ukiacha ile njia ya kurithi. Ambayo mtu anaweza kuwa na jini katika familia au ukoo akafariki anaweza kumuendea mtu mwingine ila jini huyu ni ngumu kidogo kurithiwa.

Yampasa mtu ajitoe awe mcha Mungu sana aswali sunna mara kwa mara aache mambo maovu ndivyo anawezw kupata bahati ya kurithiiwa kwa kuchaguliwa. Njia ya pili unaweza kupewa na wataalam wakakupa njia ya kumpata wakakuunganisha na koo lao wewe ukawa unafuata masharti uliopewa mwisho wa siku unaweza kupata bahati ya kumpata akakusaidia.
 
  SHARIFU KATIKA KAZI NA KUMILIKI MALI

Jini huyu kazi yake kubwa ni tiba na elimu, hivyo anaweza kukupa elimu ya tiba ama elimu yoyote unayoitaka duniani. Kama nilivyoeoeza hapo juu mwenye jini huyu anakuwa na uwezo mkubwa wa kutibia sababu anakupa elimu ya kutosha ana hapeni kupanda hovyo labda liwe jambo kubwa alna zito liwe la kifamilia au mgonjwa mahututi.

Tiba yake ni ya kitabu sana dua tarasimu na miti hahusiani na tunguri wala uchawi na ulozi. Akikupenda ana uwezo wa kukutanisha ni wateja wwnye asili ya nyeupe wazungu na waarab na wahindi. Anakuja kwa njia ya sauti kukupa maelezo ya namna ya kufanya pale unapokwama kwenye shughuli zako.

Huyu ni mkuu na mwenye jini huyu anakuwa na mke wa kijini anapewa zawad ila sio wote wale waliofaulu. Huruhusiwa kuoa wake watatu wakibiniadam na nafasi moja ni ya mke wa kijini chunguza sana wwnyw shatif huwa mwisho wake watatu.

Je anatoa mali. Ndio jini huyu anatoa mali aidha kwa kukupa elimu ya tiba na kukupa mashart ya kufanya dhikri kila mwaka sadaka na maulidi na kujenga kinara sehem maalumu ambapo itakuwa ukifanyia kazi zako za kidua.

     MAELEZO MUHIMU YA JINI HUYU

ANAPENDA SANA UCHAMUNGU HAOENDI UOVU NA UONGO. HIVYO KUNA BAADHI YA KAZI HATAKURUHUSU KUZIFANYA UKILAZIMISHA KUZIFANYA UNAWEZA UWEZO WAKO WA KUTIBIA UKAPUNGUA.

HAPENDI DHULUMA,  HAPENDI UDANGANYIFU UCHAFU HIVYO UKIWA MZINZI SANA ANAKUKIMBIA NA KUKUCHA KWWNYE MATAA UWEZO WAKO WA KUTIBIA HUISHIA HAPO UNABAKI UTAPELI NA UMAARUFU ULIOTENGENEZA AWALI.

JINI HUYU ANASHABIIANA NA JINI SULTAN ILA YEYE HATUMII BAKORA AKIPANDA WALA HANA SAUTI YA KIZEE.

WALE WANAOTAKA UTAJIRI WA MAJINI PETE ZA MAJINI ZA UTAJIRI MIMI SITOI HIZO HUDUMA KAMA UNA JINI ANAHITAJI HIVYO VITU FIKA OFISN AU FIKA KWA WATAALAM WALIO KARBU NAWE WAKUSAIAIDIE.

MASWALI KUHUSU MADA YAULIZWE HAPA CHINI UNA JINI UNATAKA KUMFAHAMU WEKA KWWNYW COMENT NITAMZUNGUMZIA.

una shida yoyote ya kijini uzazi nyota bishara mapenzi bawasiri pete za bahati maradhi ya watoto kukaza viungo kuchelewa kwenda nk

+255621442936

Kwa mnaotuma ujumbe weka maelezi yamayoeleweka jumbe za hi hey mambo niaje sitazijibu

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI