SIRI THAMANI YA HERUFI J KATIKA MAISHA, MALI MAFANIKIO NA MAPENZI



HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA THAMANI ZA HERUFI KATIKA MAISHA MAPENZI NA MAFANIKIO. UCHAMBUZI HUU UNATOLEWA NA KUANDALIWA NA MTABIBU ASILI TZ. 

HERUFI NILIZOZICHAMBUA MPAKA SASA NI HERUFI A,B,C,D,E,F,G,H,I NA LEO NAINGIA HERUFI J. UCHAMBUZI HUU UTAELEZA TABUA HALISI ZA WATU WA HERUFI HII, MAISGA YA MAPENZI. NA WATU WAKUSHIRIKAINA NAO. 


kila herufi ina mwenendo ww maisha yake hivyo jitahidi kusoma kwa umakini. Ikiwa herufi yako ilishapita na hukuona yaan makala imekupita angalia post zilizopita makala zipo hazijafutwa. Uchambuzi private inbox utalpia gharama.

 TABIA NA MAISHA HALISI YA HERUFI HII

Watu hawa wanapenda kuwajibika, ni wenye bidii ya kazi, katika kazi yeyote watakayofanya hata kama ikiwa ni ya kipuuzi.
 waaminifu sana, watu wastahamilivu na wenye kuweza kuvumilia matatizo yeyote. Kwa upande mwingine ni watu wenye tamaa kubwa ya kimaisha na kimaendeleo, na kwa sababu ya kutekeleza malengo yao basi huwa wanakuwa wabinafsi na wenye uroho na uchu.

Mara nyingi huwa ni watu wenye aibu sana kwa wapenzi wao, lakini aibu ikishawaondoka huwa ni wapenzi wa kutisha, kwa maana ya kwamba kwa vile wao ni waaminifu wanataka wapenzi wao wawaunge mkono katika hisia zao za kimapenzi.

Matakwa yao ni Kutawala, Kusimamia na Kuongoza. Tabia za kujiepusha nazo ni Kutokutegemea kuwa mambo mabaya yatatokea, Kuwa na masikitiko, Kutokupenda mabadiliko na Kupenda vitu na mali kupita kiasi.

       MAPITO YA KIMAPENZI HERUFI HII

Kwenye mapenzi wanaoogopa sana kuachwa, hivyo basi huwa wanakuwa waangalifu sana katika kuchagua wapenzi. Jambo jingine ni kuwa huwa wao wenyewe hawajiamini kimapenzi, mara nyingi wanashindwa kuingia katika mapenzi kwa woga tu hivyo kukosa nafasi nzuri ya kupendwa.

Kwa ujumla ni wapenzi makini na huwa hawaoi mpaka wapate uhakika wa kutosha kutoka kwa wapenzi wao. Ni wapenzi makini, waaminifu na wanaoweza kuaminiwa. Lengo lao katika mapenzi ni usalama.

     MAISHA NA MAINGILIANO KATIKA HERUFI ZINGINE

J&A maisha yatakuwa magumu sana hali ya utafutaji itakuwa na shida. Ridhki itakuwa ngumu kupatikana kwake milango ya mafanikio ni migumu uzazi unaweza kusumbua.

J&B maisha yatakuwa na unafuu japo si sana. Katika harakati za utafutaji unaweza kukumbana na ugumu sana itahitajika nguvu ya ziada kutoka hapo ulipo. Mali ipo ila kupatikana kwake kwa shida sana uzazi upo mbali uvutwe kwa madawa.

J&C maisha yatakuwa yakikumbwa na vipindi vya kupata na kukosa. Kisirani na maneno ya hapa na pale yanaweza kukwamisha mipango yako na kusababisha mikwamo ama vifungo. Uzazi upo hauna shida.

J&D Maisha yenu yatakuwa mazuri sana upatikanaji wa ridhiki utakuwa mwepesi. Milango ya kufanikiwa kumiliki mali ipo waz na njia nyepesi. Uzazi upo hauna shida yoyote. Vita kuu kwenu ni husda za watu wa karibu na maneno ya hapa na pale.

J&E  maisha yatakuww ya juu sana mahitaji yatakuwa makubwa kuliko pato litakaloingia. Mwenzio ataabudu sana kuonekana na kupenda mambo ya hali ya juu kuliko uwez. Hiwenda siri zako zikawa zatoka baada ya kosa dogo. Uzazi unaweza kuleta shida.

J&F maisha yatakuwa ya kwaida sana kupata kukosa itakuwa sehemu ya maisha yenu. Ila unaweza kuandamwa sana na maneno na hali ya kuumwa mara kwa mara sababu mwenzio anaweza kukudhibiti kimadawa ili utimize haja zake.

J&G maisha yatakuwaya yakirud nyuma mara kwa mara. Unaweza kupiga hatua moja mbele ukarud kumi nyuma. Pesa inaweza kuwa inapita tu mikononi mwako isikae kabisa. Uzazi unaweza kuwa na shida.

J&H mambo yatakuwa mazuri ahadi zitakuwa na utimilifu. Maisha yako yatakuwa mepesi japokuwa utaandamwa sana na vifungo na husda za kibianadam hivyo muda mwingi uwe unajishughulikia.

J&I  mambo yataharibika kila wasaa hakuna mtakachofanya kikawa na matokeo mazuri. Kukwama kutakuwa ni kwingi kuliko mafanikio ya kupata. Uzazi unaweza kuwa na shida hata afya ya kawaida inaweza kuwa sio nzuri kiufup hakuna mafanikio.

J&J maisha yatakuwa mepesi kupata pesa ya kula tu utapata. Ila mambo makubwa yatakuwa yakikushinda. Milango ya mafanikuo mali na Afya ya Uzazi itakuwa na shida.

J&K mambo yako mengi yatakuwa wazi hakutakuwa na siri baina yenu. Mwenzio anaweza kuwa anatoa siri au changamoto zenu katika utafutaji zinaweza nje. Unaweza kita unaongelewa na watu hata usiwajua. Uzazi utakuwa na shida.

J&L maisha ni mepesi kwenu, mawazo yakufanikiwa fikra zinaweza kuwq kubwa na mzifanyie kazi. Shughulikien matatzio yatakayojitokeza mapema kabla mambo hayajakuwa mabaya zaidi.

J&M maisha hayatakuwa mepesi na unaweza kushindwa njiani. Mwenzio atakuwa mtu wa kwenda na wakati kila anachokitaka akipate kwa wakati. Uvumulivu mwanzoni utakuwepo ila mwishowe yatakuwa mateso na maneno ya karaha. Uzazi unaweza kuwq na shida mafanikio ya kimali hayapo.

J&N maisha yatakuwa wastani kuna kipindi utakipatia pesa utakuwa ukiishika mara kwa mara kipondi kile ndicho cha kufanya mambo ya maana. Baada ya hapo pesa itakuwa ngumu sana na unaweza kusalitiwa kwa watu kumshawshi aidha kikazi au pesa.

J&O ugumu utakuwa mwingi sana kuliko ulaini katika utafutaji wako. Mambo yako muhimu ya utafutaji yanaweza kukumbwa na mikwamo. Unaweza usiwe washaurika kwwnye mambo ya heri.

J&P Ridhki itaoatikana kiwepesi malengo na ahadi zitatimia kwa wakati. Jitahd kutoa sana sadaka kwa kila unachokipata itakufanya kuwq karibu zaidi na mafanikio. Uzazi upo hauna shida yoyote.

J&Q maisha hayatakuwa na utulivu. Muda mwingi mtakuwa kwenye malumbano kuliko kutafuta maisha.uzazi unaweza kuwa na tatzo mafanikio yapo mbali.

J&R maisha yayakuwa na unafuu fulani japo si sana ila mwenziwako ataliwa na siri kubwa katika utafutaji wake lakini hata kwwnye mapenzi atakuwa na siri kubwa sana. UzaI unaweza kuwa na matatizo aiku za kwqnza ili pakishughulikiwa mambo yatakuwa mazuri.

J&S  huwenda ukawa mtu wa kusaidiwa sana na kuomba misaada kuliko kujitegemea. Mambo yako yanaweza kuwa na mikwamo mingi utafutaji wako utagubikwa na wimbi zito sana.

J&T maisha yatakuwa na unafuu kidogo utafutaji utakuwa na wepesi. Ufalme utasimama vizuri hivyo mali ama mafanikio njia yake ni nyepes. Muhimu kushughulikia mambo muhimu yanayokutatiza.

J&U umbali unaweza ndio njia pekee yakuishi kwa furaha ila mnapokuwa karibu mnaokuwa karibu mtalumbana sana usikivu utakuwa mchache mara nyingi mambo yatakuwa yakiwashinda kuamua. Uzazi na milango ya mafanikio ni migumu.

J&V maisha yatakuwa na unafuu si mepesi sana kuna kipindi utapitia hali mbaya sana mpaka kujjtia kujiingiza kwenye mahusiano uliyonayo. Kikubwa uvumilivu na kushughulikia matatizo yako.

J&W bado utulivu utakuwa mdogo sana muda mwingi mnaweza kutumia katika kusuluhishaba kuliko utulivu wa nafsi. Milango ya mali haipo sawa kupata mafanikio yatakiwa nguvu kubwa sana. Uzazi una shida mpaka ufanyiwe kazi.

J&X maisha yatakuwa mazuri utimilifu wa mambo utakuwa mwepesi sana. Maisha yatakuwa na vipindi vya kupata na kukosa kikubwa jitahd kushughulikia matatizo mapema kadri yanavyojtokeza usiache mpaka shida iwe kubwa sana. Uzazi upo hauna shida.

J&Y mambi yatakuwa hayaeleweki hakutakuwa na utulivu kutakuwa na mvurugano sana kuliko maelewano. Unaweza kumilikiwa kimadawa na unaweza kufungwa nyota kabisa.

J&Z maisha yatakuwa na wepesi katika utafutaji ila hautakuww na uwezo wakuhifadhi pesa ikatuna. Kiasi utakachokipata kitaishia kwenye majukumu ambayo yatakuwa yakikuzunguka kwa asilimia kubwa. Utakuwa mtu wa kutoa sana kuliko kuingiza. Uzazi upo haina hilafa subira na uvumilivu vinahitajik.
 
    Nmemaliza heruf j utaratbu ni uleule una herufi zako yuwataka kupewa uchambuzi weka kwenye koment utapewa kwa ufypi huku ukiendelea kusubiria zamu ya heeufi yako. Ucahmbuzi huu ni bure na unatolewa hapa kwwnye page yangu ukiuhitaji private utalipia gharama.

Herufi A,B,C,D,E,F,G,H,I tayari nishazifafanua pekua post zilizopita utaona. Ikiwa kwako unaona kazi kupekuwa weka ujumbe inbox utapewa hizo herufi zilizopita na suo bire tuelewane. Makala zipo peruz soma ukiona shida yuwataka whatsp inbox utalpia gharama.

     MAMBO YA KUZINGATIA

KATIKA MAISHA KUNA MAMBO MENGI YANAYISABABISHA MAMBO KUYUMBA HIVYO JTAHIDI UNAPOPATWA NA JAMBO JITAHD KUKITAFUTIA CHANZO CHA TATIZO. UNAWEZA KUFIKA KWA WATAALAM WALUO KAEB NAWE WAKAANGALIA CHANZO CHA TATIZO UKATIBIWA ZINGATIA HUU USHAUE NI WA MUHIMU KWA SHIDA YOYOTE ILE.

HII K2A WENYE SHIDA YOYOTE ILE FUATA HUO UTARATIBU. WALE WANAOTAKA UTAJIRI, MAJINI YA MALI MIMI SITOU HIZO HUDUMA UNA SHUGHULI YA KUFANYA KAZI BIAHSRA KILIMO NK FIKA OFISN UTASHUGHULIKIWA KUNA PETE ZA BAHATI NK UTAFIKIA MALENGO YAKO. PESA ZA MAJINI UTAHIRI SITOI NASISITIZA.

Una tatzo lolote la kimapenzi nyita uzazi majini nguvu za kiume uzazi kukuza dhakar bawasiri nk 

+255621442936

Jwa mnaotuma ujumbe jitahd kuweka maelezo yanayoeleweka jumbe fypi sitazijib heshimu muda wa mtu.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI