ASILI ZA MAJINI MAHABA WANAVYOINGIA MADHARA NA TIBA
TUPO KWENYE MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI ZA MAJINI. LEO TUTAMZUNGUMZIA ASILI YA JINI MAHABA NI NANI ANATOKA WAPI KOO LAKE NI LIPI MADHARA KINGA NA NAMNA YA KUMTOA ANAYEKULETEA DARAWA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ HII NI ORIJINO KABLA HAIJAKOPIWA PAHALA PENGINE NA MAHARAMIA WANAOJINASIBISHA NA TIBA ASILI.
Kiuhalisia hakuna jini anayeitwa Mahaba kwa kuumbwa. Mungu hakuumba jini anayeitwa Jini Mahaba, hivyo katika matembezi yako kwa wataalam ukiambiwa una jini mahaba yatakiwa upatiwe maelezo yakutosha. Hapa jitahd kusoma kwa makini wengi hamson mnakimbilia kuchukua namba na kuanza kuulizna maswali ambayo kwenye makala yanakuwa yamechambuliwa tena waziwazi.
KWANINI AITWE JINI MAHABA
Huyu ni jini kama walivyomajini wengine. Huwa miongoni mwa Majini waovu wenye sifa ya Kishetani majini wanaotumia uwezo wao vibaya majini waliokimbizwa ama kufukuzwa kwenye sehem zao halisi baada ya kufanya makosa fulani. Huwa ni mashetana wanaomuingia mtu kwa lengo la kumtumia kimapenz ndipo limezaliwa jina la jini mahaba.
Hivyo anaweza akawa jini yoyote huyo Shamrus Maimuna Petro Joseph ila anakujia kwa lengo la kukutumia kimapenzi. Ndipo anapewa sifa ya jini Mahaba, hivyo mahaba ni sifa ya huyo jini ila sip jina lake hapa ndipo wengi wanahanganika na madawa ya kumtoa wakati hawajui asili ya huyo jini wanashughulikia na sifa yake ya kimahaba.
ASILI NA TABIA ZA JINI MAHABA
Kama nilivyoeleza hapo juu wanakuwa na sili zao ila wakishakuingia kwa lengo la mapenzi ndipo anapewa sifa ya kuwa jini mahaba. Mfano halisi mcheza mpira anakuwa na jina lake kabila lake ila kwa kuwa kazi yake ni kucheza mpira anakiwa na sifa ya kuitwa Mwanasoka au mchezaji. Hivyo hawa Majini wakishajiingiza kwenye kumtumia mtu huitwa jini Mahaba.
Dalili za jini huyu ndoto za kufanya jimai mara kwa mara bimaana kuota unafanya mapenz aidha na watu weupe wazungu waarabu nk. kuchukia tendo la ndoa kuoa au
kuolewa na hata kumchukia mwenza wako akiwa karibu nawe na hujihisi kumpenda sana akiwa mbali, ndoto za kuota unazaa kunyonyesha au kulea mtoto, mwanamama kuvurugikiwa siku za hedhi, maumivu makali chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa au hedhi hili husababishwa pia na vitu mbali mbali kama mgoro na baadhi ya bakteria wanao shambulia viungo vya uzazi, kutosikia hamu ya tendo la ndoa bila sababu za kidaktari,
ujauzito kutoweka baadhi ya nyakati na mjamzito kuhisi km hana kabisa ujauzito, mipango kuharibika bila sababu za msingi, kutokuwa na nguvu za kijinsia bila sababu za kidaktari, kujihisi umeonewa hadi unafika kulia bila sababu, moyo kwenda mbio bila sababu za kidaktari, kifua kuwa kizito km umebeba mzigo au kichwa, kuota ndoto za kweli wakati sio mchamungu, ndoto za kukimbizwa na wanyama, wakali km simba nyoka chui na wengine, kupiga kelele bila sababu na unashindwa kujizuia, hizi ni baadhi tu.
NAMNA ANAVYOWEZA KUKUINGIA
Njia ya kwanza hukuingia kwa kukupenda mwenyewe, hasa wale wanaopenda kujipamba sana manukato yenye harufu nzur zaidi kujiangalia kwenye vioo ukiwa uchi kupenda kulala uchi kujisaidia hovyo mitaroni. Njia ya pili ni wale wanaotupiwa, huitwa jini muasi mwenye koo yoyote kisha hukabidhiwa majukumu ya kukutesa kmwili kukuingilia kila siku au umuingilie kila siku kisha kuondoka na manii au uchafu wako wa ukeni kwenda kutumika kwenyes hughuli zao.
Wapo wanaokuja kwa kuwaona kabisa hawa sasa wanakuwa wamekomaa na wanaweza kukuoa mpaka mali na hawa ukienda nao vzur hawakutes wanaweza euhusu kuoa au kuolewa ila kwa makubaliano maalumu.
MALI NA MADHARA YAKE
wapo watakaoukiza anatajirisha kwakuwa wao huamini kila. Jini anatoa mali. Kama umenielewa hapo juu kwanza kila jini Mahaba anakuwa na asili yake ukiacha sifa ya kuwa jini mahaba. Sasa ile asili yake ndiyo inatoa jibu kama anatoa mali au hatoi mali ila si kwa wale wakutuma wala si wale wasioonekana bimaana unaoona kwenye ndoto hiwa hakuna mali usijichoshe usitapeliwe.
Madhara yake kutiwa nuksi za kinyota nuksi za kimapenz kuuliwa nguvu za kiume. Kufunga uzazi kuishi kwa dhiki kuchukiwa na watu wenye jinsia tifauti na wewe. Jini wenye sifa hii hawana pete hawatibii wala hawana mavailzi usidanganyike.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
NIMEELEZA MAHABA NI SIFA YA HUYU SHEYTWAN MUASI. HIVYO KWENYE KUTOLEWA YAPASA MTAALAM ASHUGHULIKE NA ASILI YAKE KWANZA NDIPO AJE AMALIZE SIFA YAKE. WATAALAM WWNGI WANAMTULIZA KWA KUSHUGHULIKIA SIFA YAKE NA SI KUMTOA KWA KUZINGATIA ASILI YAKE.
IKIWA YUWAOTA SANA WAINGILIWA JITAHD KUJIFUNGA MVUJE USIKU PIA PAKAA MAFUTA YA NAZI AU ZIATUN YATIE UNGA WA HALTITI AMA KAMA UTAPATA MAFUTA YA KE PAKAA WAKAT WA KULALA ILA JITAHD KUTAFUTA SULULUHU YA KUMTOA.
MAJINI WANAOKUJA KWA KUWAONA KWA NIA YA KUKUINGILIA AMA KUFUNGA NDOA BASI ZINGATIA MAAGANO NA MAELEWANO WALE MNAOTAKA MAJINI AMA MALI ZA MAJINI UTAJIR MIMI SITOI UTAJIRI WALA SIMILIKISHI MAJINI.
+255621442936
una shida yoyote ya kimapenz biahsra kazi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar marafhi ya watoto palalaiz nk fanya mawasiliano ikiwa unatuma ujumbe weka maelezo yanayojitosheleza
Comments
Post a Comment