MAMBO MATANO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WANAUME WENYE UKOSEF WA NGUVU ZA KIUME USITUMIE MIKONGO UTAJIUA KABISA


NIMEWAHI KUANDIKA KUHUSIANA NA MADHARA YA MATUMIZI YA DAWA ZINAZOITWA NI MIKONGO AU VUMBI LA KIKONGO. KWENYE MAKALA YALE NILIELEZA NAMNA ZINAVYOHADAA JINSI ZINAVYOFANYA KAZI NA MADHARA GANI UNAWEZA KUPATA. NIKAWEKA NA USHAUR NINI CHAKUFANYA MAKALA IPO REJEA POST ZILIZOPITA UTAFAHAMU MENGI. UCHAMBUZI HUU UNALETWA KWAKO NA MTABIBU ASILI TZ UTAANZA KUSOMA HAPA KABLA HAZIJATOLEWA KOPI NA KUPESTIWA.

MAKALA haya yatazungumzia kuhusiana na nini ufanye nini ysifanye kwa mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume. Siku hizi wauza dawa wamekuwa mengi sana na kila mtu dawa zake ni za nguvu za kiume na kukuza maumbile. Hii yote inatokana na vijana wengi kukumbwa na kadhia hii na watu ndipo wnapoamua kuchuku fursa ya kufanya mambo yao. 


Unapokuwa na na tatizo la nguvu za kiume jitahidi usikurupuke kutafuta madawa ya nguvu. Muhimu jambo la kwanza kujua shida yako imetokana na nini hivyo muhimu kutibu chanzo cha tatizo kwa madawa sahihi na urejeshe nguvu pia kwa madawa sahihi. Hapa nitaweka mambo matano muhimu kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.

 1. HAKIKISHA UNAJUA CHANZO CHA TATIZO 

kwenye upungufu wa nguvu za kiume kuna mambo mengi yanasababisha ntaweka vichache. Upigaji wa punyeto kwa muda mrefu, kuangalia sana muvi za ngono, kuugua muda mref magonjwa kama sukari TB presha kuumwa muda mref maradhi yanayoshusha kinga ya mwili. Ulevi kupita kiasi, kula vyakula visivyokuwa vya asili kama mayai ya kukuwa kisasa chips sizizokauka.  Kuna malimbwata yaan kufungwa na mwanamke wako, pia kuna matego kuchukua wanawake za watu.

2. USITUMIE VITU HIVI UKIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

wengi hawatabii tatizo wanakimbilia kula viagra, vumbi la kongo energy. Kuna wengine siku hizi wanapaka dawa za kuzibia pancha za baiskeli yote haya na mengine kama vilev kuchanganya kumeza madawa. Hapa unakiwa unaongeza tatizo hupunguzi tatizo unachosha misuli ya uume kwa kuifisha na ganzi hivyo inachoka haraka na madhara yake unaweza kuhanithika kabisa ukaua hiyo mishipa mikubwa inayokufanya uume kusimama ngangari.

3. TOA SUMU MWILINI MARA KWA MARA KUIMARISHA MWILI WAKO.

Wanaume wengi siku hizi hawana tabia ya kufanya mazoez walau mara moja kwa wiki kuiruhusu mishipa ya moyo kufunguka na mwili kuwa freshi. Wengi wanaobeba vyuma ndio wanakuwa na tatizo la nguvu za nguvu za kiume sababu unauchosha mwili kwa kuubebesha vitu mwili haupumui. Unatakiwa kutafuta walau siku mbili kwa wiki kukimbia au kuendesha baiskel mpaka usikie kifua kama kinajaa hivyo tafuta pahala penye upepo kaa pumzika utahisi tu mishipa inakaa sawa. Kunywa tangawizi kavu bila sukar walau mara tatu kwa wiki itakuwa inakutoa sumu za vyakula unavyokula mara kwa mara.

4. TUMIA VITU ASILI KUIMARISHA UUME WAKO

unakuta mtu ana shida ya nguvu za kiume bado anaendelea kutafuta makemikali kujibust. Hiyo sio sawa unaweza kuwa unaongeza shida baada kuitatua. Mwanaume unatakiwa upende sana kula vyakula asili usivae sana nguo za kubana uupe uume hewa na kuningingia vizur. Vinywaji vyenye kemikali sio vizur sana kabla ya tendo humkomoi mtu bali yuwajikomoa mwenyewe siku za baadae.

5. IMARISHA TENDO LA NDOA

Kwanza tibia tatizo lako kuu ulilonalo kisha ndipo uimarishe tendo la ndoa. Mfano mtu mwenye ngiri atibiwe kwanza ngiri mwenye kinga ya mwili iloshuka ashughulikiwe kwanza kupandisha kinga ikiwa shida yoyote nilotaja. Hii hata kwa wale waliotegwa au kufungwa na wake zao kwanza uteguliwe mitego ndipo ushughulikie nguvu za kiume. Vinginenvyo utamiliza vilinge na madawa utayaisha utaharibu figo zako kwa kula sana madawa yasiyo na faida miwlini mwako.

Penda kupata walau maziwa fresh mara moja kwa wiki. Uweke tende kungu manga habbat souda karafuu dalasin kuyat na alkasus. Tumia hyo hata nusu saa kbala tendo kunuwa nenda kashughulike.

   MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

USITYMUMIE MKONGO VIAGRA TUBE ZA KUZIBIA PANCHA BAISKELI VISK ZA MAFUA NA VITU VINGINE SI SALAMA KWA AFYA YA UUME NA AFYA YA UZAZI. UJANA UNAWEZA KUKUSABABISHIA MAJUTO HUKO MBELE UTAHITAJI KUOA KUZAA KUSHIRIKU TENDO KIKAMILIFU ILA HUTAWEZA NA WAKATI UTAKUWA UMESHAKUACHA NA UMESHAATHIRIKA ZAIDI.

KILA MARADHI SHIDA AU TATIZO LINASHUGHULIKIWA KWA CHANZO CHAKE. HIVYO MJITAHIDI KWENYE SHIDA ZENU MIWE MNAANGALIA CHANZO UKIMUENDEA MTAALAM HAKIKISHA ANAKUAMBIA CHANZO NA KUKITIBIA. IWE MAPENZI KAZI BISHARA NYOTA KUUZA KITU NK.

VITU NILIVYOTAJA VINAPATIKANA MADUKA YA DAWA ASILI UNA SHIDA ANDIKA SHIDA YAKO HISTORIA YAKE NAWEZA KUKUSHAURI PAKUANZIA HAPI KWWNYE COMENT.

WALE WANAOHITAJI DAWA YA NGUVU ZA KIUME KUKUZA DHAKAR JITAHIDI KUWEKA MAELEZO YANAYOJITOSHELEZA KUHUSU SHIDA YAKO HISTORIA YA SHIDA ILIPOANZIA UTASIKILIZWA NA KUAMBIWA CHANZO NA NAMNA YA KUKITIBA IKIWENO MADAWA NA GHARAMA.

una shida yoyotw ya uzazi nguvu za kiume biahsta mapenzi bawasir pete za bahati mvuto kinga nk

+255621442936

Jitahd kuweka maelezo yanayoeleweka.
Lolote kuhusu mada maswali maoni pongez weka kwemye koment


Umepitwa na madhara ya vumbi la kongo
Bonyeza hapa chini

https://tabibuasili.blogspot.com/2020/11/kuhusu-vumbi-la-kongo-kasongo-mundende.html

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI