NAMNA JINI ANAVYOINGIA MWILIN, KUTUMWA KUKUMBA NA ATHARI ZAKE
HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI NA TABIA ZA MAJINI. LEO NITAONGELEA NAMNA JINI ANAVYOINGIA MWILINI MWAKO NA KUKUATHIRI DALILI NA ISHARA ZAKE NA NAMNA YA KUSHUGHULIKA NAE ANAYEKULETEA DARASA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAJA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU 9 KWANZA tufahamu hakuna jini anayeweza kuingia mwilini mwa mtu kwa lengo la kutesa mwili. Jini hupanda kwa kiti wake panapotokea ahitajika kutoa msaada wa kitiba au dharura ya haraka. Mwemye uwezo wa kukaa kwenye mwili wa mtu au mnyama au mti ni Jini aliyeasi ambaye ana sifa za shetanai ndio utasikia una jini mchafu mwilini au jini mbaya. Maudhui ya leo yatazungumzia kwa jinsi gani unaweza kuingiwa na Jini Mchafu mwilini dalili zake ni zipi njozi zake ni zipi na hatua gani za kukabiliana nae. Kuna njia nyingi za JiniChafu anaweza kuingia mwilini na kukuletea madhara, lakini pia kuna misukure ambayo nayo ina uwezo wa kutoonekana hivyo anaweza kukuletea vitimbi ukae