MIBONO SHAHIDI, WALINZI WA KABURI FAIDA NA MATUMIZI YAKE KATIKA MAISHA YA MWANADAMU
. MTI huu huwenda usifahamu kwa jina la mbono ila angalia picha ili twende sawa. Mti huu huitwa mashahidi au walinzi wa kaburi kwa sababu mazishi ya waislamu mara nyingi huweka miti kila engo ya kaburi kama alama ila kiitikadi huitwa maahahidi. Miongoni mwa miti mengine ni pamoja na mihogo au miarobaini na miti mengine yoyote iliyopo karibu na eneo la kuzikia. Sasa leo nitazungumzia kuhusiana na mti wa mbono angalia vzuri picha chini. Kwa wenye matatzo ya jino kuuma kutoboka fidhi kutoka damu chukua utomvu wake weka kwenye jino linalouma litapona papo hapo. Wanasema dawa ya jino kuling'oa hawajui kinachosababsha jino kuuma ni wadudu ukilitoa jino bovu wadudu huamia jino kengine utajikuta unamaliza meno dawa ni kuua wadudu. Utomvu wake pia waweza ponesha kidonda kwa haraka zaid pakaa eneo lenye keraha hata ukiumia ukiwa unatoka damu nyingi twanga majani ya mti huu weka ulipoumia damu itakata haraka sana na haitachelewa kupona. Kwa wale wanaofanya shughuli za kuingiliwa