SHUGHULI ZA NAZI ZA MDONDO NA MAAJABU


KARIBU sana kwenye mfululizo wa darasa zangu. Leo nitazungumzia nazi na kazi zake katika ulimwengu wa tiba asili. Halifanyiki kafara lolote biala nazi, hafunguliwi mtu vifungo bila ya nazi tena itaoendeza zaid kama itakuwa ya mdondo.


Kama mambo yako hayaendi sawa kila unachokifanya hakiwi ahadi nyingi nenda sokoni na pesa ambayo hautarudushiwa chenji kanunue nazi rud nayo nyumban kwako ikwangue chukua makapen andika jina lako baba na mama ipasue kwa kupiga chini piga picha kisha nitumia hiyo picha nitakudadavulia.

Kuna utofaut kati ya nazi na nazi mdondo 

Nazi ya mdondo ni nazi inayoanguka yenyewe pasina kuangushwa na mkwezi 

Sasa nazi mdondo kifuu chake dume kinaweza kutuliza ugomvi nyumbani hili nimeshalizungumza sana chukua kifuu dume kile chenye ncha achana na chenye macho matatu kile chenye ncha chukua chumvi ya mawe weka jikoni nuia unachokitana yaan kifuu ndio kiwe kama sufuria yako acha viwake vyote mpaka ibaki majivu.

Ukichukua nazi mdondo ukaikuna vzuri uakchukua maua ya mti wa mvuma nyuki ukachanganya na karafuu ukatumia kujisuggua kama mwali wanavyisuguliwa huweza kuleta nuru mwilini soma kwa urefu kwwnye makala ya mvuma nyuki nmefafanua na vtu vingine vya kutumia

Kwa mtu asiyesikia hamu ya tendo la ndoa au manii machache achukue nazi mdondo apate tui lake aweke na asali na unga wa kungu manga tumia kwa muda wa ck tatu kila ck tengeneza mpya utapata majibu.

Mafuta yake hutumika kulainisha ngozi kwa watoto na matatizo ya kupasuka vichwa unayachukua mafuta unapakaa utosini kwa mtoto mwenye tatizo.


Pia hutumika kuleta mvuto wa mwili

Yatakiwa ikunwe na kupikwa na mtoto mdogo kabla ya balekhe au bibi aliyekoma hedh. Ukishayapata mafuta yake utachanganya na mwita mliliwa mpendwapendwa muharaka na kalilalila.

Kutokana na tukio hilo nazi za mdondo kudondoka yenyewe hutumika kutuliza na kurejesha wapenzi. Huchukuliwa nazi ya mdondo nzur uwe umeokota mwenyewe inafanyiwa dawq zake za kitaalam na kuandikwa manno maalumu ya kitaweez hupewa mtu mwenye tatzo kwa mfano

Unataka kumrejesha mume au mke utaipasua kwa maneno maalum yaan kama ile nazi ilianguka yenyewe kutoka juu bilabkuanguliwa na mkwez basi fulan mzaliwa wa fulan arud mwenyewe bila mm kumfuata na hapa sipasui nazi napasua moyo wa fulani utapasua

Km ni kumtuliza utaifukia kizingitini au eneo ambalo apenda kupita nmesema ni dawa za kitaalam sina maelezo nazo fika kwa wataalam karbu nawe au njoo ofcn darasa zake ntaztoa whatsap group kwa uchache.


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI