FAHAMU KUHUSIANA NA MPATAKUVA MZUNGWA TIBA KWA WATOTO NA WATU WAZIMA



MTI huu una majina mengi sana kila kabila hapa nchini huliita wajuavyo wao kikubwa angalia picha hapo chini twende pamoja.

Mti huu ni miongoni mwa miti yenye sifa kubwa katika tiba kuna kipind niliongelea mziwaziwa, mgagani na jani la uzazi. Yoye haya yanatumika katika afya hasa ya mama na mtoto makala ijayo nitaongela mzalia nyuma.

Kama una maumivu wakati wa hedhi au hedhi yako haipo sawa unazdsha au kupunguza siku tafuta mti huu chemsha kisha kunywa mara tatu kwa siku wakat ukiwa ukiwa period kunywa sku tatu mfululizo.

Kama una tatizo la kuharibu mimba miez mitatu miwil na ukaambiwa tumbo lako linaunguza mimba tumia mti huu chemsha tumia kuchambia na kunywa kwa siku tatu mara tatu kwa siku.

Mtoto mwenye mchango mchemshie mpe kidogo anywe itatulia.

Mtoto mtundu sana muogeshee nayo changanya na maji yake ya kuoga.

Tumbo linauma tu bila sbabu kunywa litapoa, mtu aliyekumba jini huduma ya kwanza mcheshieni hiyo anywe kisha changanyenk na mvumbasi akaoge atapoa huku mkijiandia kwa tiba kamili.

Hushiki mimba waweza chemsha kipindi unableed ukanywa siku tatu mara mbili kwa siku

Ila kama una jini mahaba jini pakuzi kifungo cha mimba hili halitakusaidia tibu kwanza tatzo

Kuhusu tiba zaidi

Majani yake ukiyaweka sehemu isiyokuwa na kivuli wala kupigwa na mwez kwa siku saba kisha ukatwanga au kusaga ukapata unga wake inaitwa sembe usembe wa mahaba

Pili ukichukua mizizi ya mti huu ukaikausha bardn kisHa ukachukua chungu kikavu ukaatumia kuikaanga hyo miziz mpaka ikabaki unga mweusi huu unaitwa uvumba 

Ukaangaji wake hautumii mafuta weka moto mkali bandika chungu weka mizizi yako kaz yako kugeuza tu mpaka utapata unga.

Sasa balaa lake nitalizungumza kwa urefu kwenye group la whatsp kwa sababu siwez kuweka vtu vya hatari hadharani umri na vigezo na mashart

Mzungwa mpatakuva wapatikana majumba mnayoishi

Unahtaji namba angalia juu kabisa 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI