UA LA NYOTA YA JERUSALEM LIFAHAMU FAIDA NA MATUMIZI YAKE

UA

BAADA ya kuongea kuhusiana na mzungwa leo mazungumzo yetu yatahusiana na nyota ya jerusalem kikubwa endelea kufuatilia vyanzo vyetu. Kwa wale wanaohitaji group la whatsap andika namba zako inbox yetu utapewa maelezo ila jambo la muhimu group sio bure.


Maua haya yapo katika mifumo miwili kuna maua ya pink na meupe. Maua ya pink ni kwa ajili ya wanawake na meupe kwa ajili ya wanaume. Iwapo ntaandika kitu kuhusu mwanaume basi angalia rangi niliyoitaja ndo utumie.

Mti huu ni dawa kuanzia majani maua mpaka mizizi. Leo ntaongelea faida kuu tano katika tiba za asili.

Maumivu ya jino 

Chukua majani yake tafuna kisha weka kwenye jino linalouma maumivu yatapoa na hutaugua tena kwa uwezo wa allah

Ugonjwa wa sukar

Nenda kang'oe mti wote na mzizi wake uoshe vzur kisha chemsha tumia kunywa maji yake mara tatu kwa siku ndan ya ck 14 kisha kapime
Kila ck tengeneza mpya au hfadh kwenye friji

Tumbo la kuhara

Chemsha majani tu kisha kunywa na tumia kuchamba tumbo litakata na kuhara kutaisha

Vidonda vya tumbo

Chukua majani na maua yake chemsha kwenye mahi lita moja na nusu kisha iache ichemke ibaki lita moja chuja weka kwenye chombo safi tumia kunywa mara mbili kwa siku ndan ya sku saba kama una friji ihifadhi kwenye friji kama hauna chemsha kila ck mpya

chango la watoto
Chukua mizizi ya mti huo ioshe cjemsha vizuri mpe mtoto vijiko viwli vya chakula kutwa mara mbili mchango utapoa hakikisha kila jinsia ina ua lake

Nyongeza chukua maua ya mti huu kausha kisha twanga upate unga changanya na mafuta ya nazi yawe ndo mafuta yako ya kupaka utapata nuru ya uso mara dufu na utapendwa kila utakayekutana nae.

Kwa kunywa mti huu inaweza kushusha presha kumaliza uti maumivu ya hedhi maumivu ya tumbo kusafisha kibofu cha mkojo

Muhimu haya maua yanapatikana maeneo mnayoishi hata mashuleni makaburi ya wakristo hupandwa sana  nenda kachume 

Comments

  1. Maua ya punki kwa ajili ya wanawake, maua meupe kwa ajili ya wanaume. Unamaanisha katika tiba mwanaume asitumie maua ya pinki au?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI