MIBONO SHAHIDI, WALINZI WA KABURI FAIDA NA MATUMIZI YAKE KATIKA MAISHA YA MWANADAMU

.

MTI huu huwenda usifahamu kwa jina la mbono ila angalia picha ili twende sawa. Mti huu huitwa mashahidi au walinzi wa kaburi kwa sababu mazishi ya waislamu mara nyingi huweka miti kila engo ya kaburi kama alama ila kiitikadi huitwa maahahidi. Miongoni mwa miti mengine ni pamoja na mihogo au miarobaini na miti mengine yoyote iliyopo karibu na eneo la kuzikia.

Sasa leo nitazungumzia kuhusiana na mti wa mbono angalia vzuri picha chini. Kwa wenye matatzo ya jino kuuma kutoboka fidhi kutoka damu 


chukua utomvu wake weka kwenye jino linalouma litapona papo hapo. Wanasema dawa ya jino kuling'oa hawajui kinachosababsha jino kuuma ni wadudu ukilitoa jino bovu wadudu huamia jino kengine utajikuta unamaliza meno dawa ni kuua wadudu.

Utomvu wake pia waweza ponesha kidonda kwa haraka zaid pakaa eneo lenye keraha hata ukiumia ukiwa unatoka damu nyingi twanga majani ya mti huu weka ulipoumia damu itakata haraka sana na haitachelewa kupona.

Kwa wale wanaofanya shughuli za kuingiliwa kinyume na maumbile sasa wakaamua kuacha huo mchezo na wanataka kurejesha lile eneo lirud katika hali yake ya kawaida sambamba kuua vijidudu vinavyotekenya huko chini utachukua majani ya mti huu utayachemsha kama nyungu usifunue mpaka ichemke haswa utaacha ipoe kidogo iwe vuguvugu utafusha ilo eneo hakikisha mpaka mvuke uingie ndan uhisi maumivu kabisa pia utachukua maji yake utatumia kuchamba eneo husika tumia kwa muda mrefu ili upate matokeo mazur na ni mara mbili kwa cku

Mabwana na mabibi hii inatumika eneo la mjango wa nyuma haiathiri mlango wa mbele japo haitumiki kukaza eneo la mbele kama una matatizo eneo la mbele uke soma makala zilizopita zinazoongelea uke mkubwa na kutoa maji kwenye ukurasa wangu.

Hii inafanyika kwa wanaotaka kuacha tu ila ukirudia utapata madhara makubwa sana sitegemei kuulizwa madhara gani najua ni watu wazima.

Kwa maumivu ya bawasiri pia waweza tumua kutuliza kwa kujifusha kama nilivyoeleza hapo juu ila hii ni dawa ya kutuliza maumivu kama unataka kumaliza tatzo soma makala zilizopita au kwa dawa niachie ujumbe inbox.

Mizizi ya mti huu kama unavyojua kuwa hupatikana juu ya kaburi na maiti haiweza kuinuka wala kutembe wala kuzungumza basimizizi yake hutumika kuua kesi, kutuliza wapenzi. Kurejesha mahusiano kutuliza mabosi nk haya ni mambo ya kitaalama vtu vinavyoelezeka nitaeleza kwenyw group la whatsp hapa sina maelezo navyo.

Muhimu mti huu unapatikana maeneo mnayoish kama nilivyoeleza hapo juu ila sifundishi lugha nafundisha dawa maana watakuja watu kuuliza huo mti kwa kikwere sijui kihaya unaitwaje angalia picha nafundisha dawa sifundsh lugha.
Ruksa kushea iwapo umelipenda darassa langu usikopi

Facebook page mtabibu asili tz
Whatsap namba angalia mwanzo wa makala haya

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI