MAUMIVU YA SIKIO NA KUTOKA USAHA SAMBAMBA NA MARADHI MENGINE 'MTI WA MFAGIO AMA FAGIA UWANJA


KAMA una changamoto za ugonjww wa sikio kuuma ama kutoa usaha hii dawa hapo chini ni mujjarabu kabisa.

Unaitwa mfagio wengine huita fagia njia na majina mengine mengi. Kwa ufupi mm si mtaalam wa lugha za makabila ni mtaalam wa dawa hvyo jitahidi kuangalia picha kwanza majina ya dawa kimakabila sifahamu.

Utachuma majani ya mti huu utachanganya na punje kadhaa za kitunguu samu twanga ilainike kisha nyunyizia matone kadhaa sikion dumu ndan ya ck tatu mpaka saba utapata majibu.

Iwapo utakosa mti huu tumia mpatakuva picha angalia makala zilizopta nishauzungumzia utachukua majani yake itawanga pia tumia kunyuzia masikion


Ukikosa yote haya tumia vtunguu samu menya twanga kisha nyunyuzia matone kadhaa masikion pia tumia maganda yake kufusha masikion yaan choma maganda ule moshi wake elekezea masikion.

Mti huu wa ufagio hapo pichani pia ni tiba mujarabu ya mdudu wa kidole chukua majani yake yapashe moto kidogo kisha weka kwenye kidole chenye mdudu kam n mchanga atapotea kama kakomaa ataiva haraka na kutumbuka.

Majani ukitumia kunywa uzuia kuarisha  chukua majani ponda chemsha kunywa 

mizizi yake chemsha tiba kunywa tiba ya uchawi unaweza kuongeza mizizi ya mbaazi mtulatula kunywa ck tatu.

MiziziHutibu Tatizo la kulegea kwa  uke kutepweta/&kubana uke chemsha kisha nawa kwa bibi pia humaliza maji ukeni

Mti huu hutumika kutengenezeq fagio lankienyeji sasa kwa watoto waliochelewa kutembea mfagie asubuhi mtoe nje mfagie miguun na mti huu ambao tayar ulishatumika kama ufagio usichume ili umfagie mtoto tumia ambao tayar ushatumika kama ufagio.

Mti huu una matumizi mengi sana katika mapenzi kukidhi haja bimaana kama unahtaj kitu kwa mtu ila utayarishaji wake ni wakitaalam kidogo nitaeleza kwenye group la whatsap lei usiku hili. Ila iwapo una tatzo katika haya niachie ujumbe nitakupatia dawabiliyotayar narejea tena iwapo una tatzo kati ya haya nioiyoyataja nuachie ujumbe kwa dawa sina maelezo ya hili au fuata taratbu nilzoziainisha.

Mti huu ipo ya aina mbili kuna yenye majani mapana na mengine yana majani membamba yote inatumika ila mizur zaid ni ile yenye majan membamba kama unavyoona pichani ila kama utakosa tumia huo majan mapana

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI