JINSI 'NJIA' YA KUJUA KUNDI LAKO LA NYOTA KUOITIA HERUFI YA JINA LAKO KWA WSIOJUA TAREHE ZAO ZA KUZALIWA



MFUMO WA KUJUA NYOTA YAKO KUPITIA YA KUZALIWA KUPITIA HERUF YA KWANZA YA JINA LAKO

Hii kwa wale wasiojua tarehe zao za kuzaliwa, kwa sababu mfumo wa Nyota huletwa na tarehe yako ya uzawa yaani siku ulioyzaliwa, saa na siku. Katika mfumo wa Nyota kila siku kuna SAYARI, MALAIKA na MAJINI wanaotawala hizo siku.

Siku utakayizaliwa itabebwa na hvyo vtu ndivyo vutakuwa vinakupa muongozo wa nini ufanye nini usifanye maisha yako yatakuawaje na hata watu wakushirikiana nao kibishara na kindoa. Sasa wale wasiojua tarhe angalia njia hapo chini ili kujua herufi ya jina lako ipo lwemye kundi gani na vipi tunayapata na kuyachambua hayo majina.

Hata wewe unayefahamu tarhe kunaambo nitakuja kuyazungumza mbele kwahyo nakili hili darasa weka kwenye kumbukumbu zako kwa sababu nikija kutoa maelezo siku nyengine nitaanzia nilipoishia na si kutoa njia hizi tena. Tafuta kalamu na karatasi au 'note book' kitunza kumbukumbu uhakikishe unanakiri hizi heruf sababu itakufaa mwenyewe somo litakapopita.

TUFAHAMU NAMNA KUPATA NYOTA YAKO

Nyota zipo kumi na mbili katika na kila nyota ina namba yake katika uchambuzi. Nyota hizi zipo kinamba kuanzia moja mpaka kumi na mbili. Chukua karatasi yako andika namba moja mpaka 12 iwe kwa wima au ulalo hakikisha umeandika kwa mtiririko unaofaa, yaani 1,2,3,4 mpaka kumi na mbili. Alaf kwenye hizo namba mbele yake andika heruf hzi za kialfabet yaan A mpaka Z. Namba moja mbele yake utaweka A namba mbili utaweka B tatu C nne D mpaka namba 12 kwa mfumo huo kisha utareje tena namba moja utaangalia heruf uliyoishia pale namba kumi na mbiliambayo itakuwa ni L kwa hyo kwenye moja utaamza tena na M namba N hvyo hvyo mpaka mwisho namba kumi na mbili.

Ambapo 12 itakuwa heruf X kisha utarud namba moja chini yake utaendelea na Y mpaka Z. Hakikisha unaenda katika mfumo au mtiririko unaendana mfano namba anza moja mpaka kumi na mbili. Kialfabet anza A mpaka Z itategemea na mfumo uliogumia kuandika namba zako ikiwa ni wima hakikisha unaandika mbele ya namba ikiwa ni ulalo hakikisha unaandika chini ya namba.

Angalia vizuri mfano wa picha niliouweka hapa chini kila namba ina heruf kulingana na mfululizo na mtiririko unaendana. Kama ulifel muandiko na hesab shule angalia kwa unakini mfano wa picha hapa chini kisha chora ya kwako uilinganishe na hii hapa chini.

mpangilio wa nyota kupitia herufi wa mwanzo wa jina lako. Angalia namba  ya kundi la heruf ya jina lako kisha angalia jedwali la pili.

UKISHAFAHAMU HERUFI YAKO IPO NAMBA NGAPI FUATA MAELEKEZO HAPA CHINI

Mfano namba 1 ina heruf A,M,Y namba mbili ina heruf B,N,Z na kuendelea. Tendo linalofauta unaangalia namba zako unazirudisha katika mfumo wa namba halisi za Nyota mfano hiyo namba Moja ni A,M,Y ukija kinyota namba moja ni Nyota ya PUNDA hivyo watu wanaoanziwa na heruf A,M,Y nyota yao ni PUNDA. mfano Asha, Aaaliyah, Alice, Mohammed, Maria, Yoseph, Yusra na majina mengi Nyota yao ni PUNDA.

Ukija namba 2 kuna heruf B,N,Z ukija kwenye namba halisi za Nyota namba mbili ni NG'OMBE hivyo heruf hizo wenye majina yao wote wanakuwa kundi la Ng'ombe. Utaendelea namba tatu utaangalia heruf ambazo ni C,O ukirud kwenye namba za Nyota namba tatu ni MAPACHA endelea kuangalia herufi zilizboakia angalia hapa chini nimeweka namba za NYOTA uhalisi wake.

1.PUNDA                      7.MIZAN
2.NG'OMBE                  8.NG'E
3.MAPACHA                9.MSHALE
4.KAA                         10.MBUZI
5.SIMBA                     11.NDOO
6.MASHUKE               12.SAMAK

HAPO KILA NAMBA INA HERUF ZAKE NA NYOTA ZAKE KAMA NILIVYOELEZA HAPO KATIKA UFAFANUZI HUU. UKISHAJUA HERUF YAKO IPO NYOTA GANI ZINGATIA HILO SABABU NIKIWA NATOA UTABIRI AU MASUALA YA NYOTA KWA HERUF TWENDE SAWA KAMA HUJAELEWA SEHEM ULIZA IKIWA UMEELEWA JITAHD KUTO SHUKRAN ZAKO UKIMYA UNATIA UVIVU WA KUANDAA DARASA ZIJAZO.
Mpangilio wa nyota kwa namba. Unatakiwa unagalie heruf ya jina lako ipo namba ngap kisha angalia jina la namba ikiwa moja ni Punda na kuendelea.

UKISHA JUA NYOTA YAKO KWA HERUF YAKO YA KUZALIWA JUA THAMANI YAKE KATIKA TIBA ZA KINYOTA.

kuna thamani ya jina kiabjedia na thamani ya heruf yako kiutabiri na masuala ya kinyota. Kuhusu albjedia hayo ni mambo ya kitaalam zaid sitayazungumza hapa. Kuhusu thamani ya namba yako ya heruf utafuata utaratibu ufuatao andika alfabet zote kuanzia ampaka z kwa mfumo wa ulalo au wima kisha utaanza kuweka namba chini au mbele ya kila heruf

Mfano A utaipata namba 1 B 2 C 3 utaendelea mpaka Z ambapo itakuwa imesimama namba 26. Hizo namba zinatumika katika tabiri za ushindi mfano wa timu za mipira micheoz ya kubahatisha nk lazima upate mtaalam akupigie hizo hesaba vzur.


Una tatzo lolote la biahsra mapenz nk +255621442936

Comments

  1. Mimi ni namba nane h niambie shekhe maana yake hiyo 8 kinyota

    ReplyDelete
  2. Mm ni namba 5 niambie shekh

    ReplyDelete
  3. mimi naomba kujua herufi ya mwanzo ni L na tarehe ya kuzaliwa ni 1/3 je ipi ni yauhakika na kuifata

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fuata tarehe yako ya kuzaliwa ni nyota ya samaki

      Delete
    2. Hapo kwenye hiyo SoMo la mwisho kwenye utabiri ni vema ungetuwekea Mfano kama huko juu kwenye Nyota hili tufanye mazoezi

      Delete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI