UKWELI KUHUSU KISOMO CHA ALBADIRI 'AHLUL BADRI' MASHART USOMAJI NA MATOKEO YAKE



NIMEPOKEA masuali mengi kuhusiana na hivi visomo vya albadiri. Leo nitautoa ufafanuzi juu ya hivi visomo vya albadiri. Visomo hivi vimegawanywa katika mafungu mengi kulingana na elimu ya mfanyaji na dhumuni la mfanyiwa, vimepewa majina ya kitaalam hapa nitaongea kwa ufupi maana ni mada pana inyohitaji muda elimu na utayar ufafanuzi huu unaletwa kwenu na Mtabibu ASILI TZ.


Kama ulishawah kusikia kuhusiaba na albadiri bayana hii hufanywa kwa kubainusha jambo. Mfano umefanyiwa dhulma kuchukuliwa mke mume au kuibiwa ila hutak kudhuru unataka kumbaini mbaya wako ndio husomwa. Kuna albadiri za kuua kutia watu vichaa, kusafirisha watu kwa wapumbaza akili na kuna za kukinga aidha mwili nyumba eneo la biahsra shamba mali nk.

Huo ni ufupi tu na kila jambo hapo juu lina mafanyo yake na nia zake katika ufanyaji wake. Mahitaji ya visomo hivi hushabihiana hukosana seh ndogo aidha idadi ya vifaa au rangi za wanyama wanaotumika katika kipengele cha kafara. Tufahamu walau kwa uchache mahitaji na maandalizi ya visomo hivi.

MASHART KWA MSOMAJI NA MFANYIWA

Muhuska unayetaka kufanya hii kazi na mtu uliyemuendaa kukufanyia bimana mtu na mtaalam wake mwatakiwa kufunga siku tatu kabla  kuelekekea siku ambayo mtaipanga kuifanya hicho kisomo. Ile siku yenyewe pia muhusika atakiwa awe amefunga muda wa asubuhi maana albadr za kweli huwq zinfanyika asubuhi.

Msomaji atakiwa ajitenge na uongo dhulma zinaa ndio maana wanatakiwa wawe watu wachamungu kufanya kazi si kila mtu aweza fanya. Unaweza ukasoma na matokeo yasiwe au ukajidhuru mwenyewe msomaji. Yatakiwa ujitenge na zinaa siku 14 kuelekea siku ya kisomo isipokuwa jimai iliyo halali nankujitwayarisha kabla ya siku tatu.

Yatakiwa itangazwe kama ni kesi ya wizi muhuika atangaze zisipungue siku saba mpaka nne. Aulize ahli zake anaoishi nao jamaa zake wanaokuja nyumban kwake na kujirhibitishia kuwa wamemjibu hawajaiba kukiwa kuna mushker kwanza afanye uchunguzi unaweza ukawa unadhuru ahli zako.

Siku ya tukio yatakiwa wapatikane na watoto wadogo wa madrassa wanaojua kuitikia hiyo ahlul badri yenyewe na watoto ambao hawajafikia balehe.

Ikiwa umeibiwa mathalan mifugo ukafanya hicho kisomo kisha wale wanyama wakarejea labda walipote tu kwa dharura usiwapokee na wala usiruhusu ahli zako wawachukue utajitafutia madhara. Hata kama kuna ktu cha thama kilipotelea ndan kisha ukakiona wakat ishashoma ushmikichukue wala usikishike kwa mkono wako tafuta kifaa cha kushika nenda kakifukie sehem isiyoish watu ni hatar kama itachukuliwa na mtu.

   MAHITAJI YA KAZI YA KISOMO CHA ALBADIRI

Mahitaji makuu ni chungu kipya chumvi ya mawe ya bahar nusu ama kilo buni zinatakiwa ziwe ujazo sawa na chumvi. Viwembe vipya, sindamo mpya na ndimu zilizokomaa na mnyama wa miguu minne iwe mbuzi ama kondoo. Hapa idadi ya hivi vtu hutofautiana na aina ya kisomo mfano kazi za wizi kuua au kutia kichaa kubainisha ubaya vinatakiwa viwe idadi ya 21 kila kitu nilichotaja.


Masuala ya kinga yatakiwa viwe 14 kila kimoja. Rangi za huyo mnyama zinategemea na hitaji lankisomo chenu kama nilivyoeleza hapo juu pia vinahitajika vitambaa viwili chekundu na cheusi. Itkapofikia siku ya kisomo vitu vyote vyatakiwa viwe sehem moja yaan eneo lenu mlolotenga kulifanyia kazi hiyo.

Watu muwe wasaf kimwili mutie udhu kwa kufuata mashart niliyoeleza hapo juu kisha mtaandaa moto kwenye jiko utabandika hicho chungu mtaweka buni na chumvi ya mawe ikiwa ni kisomo cha kuhuku itasomwa surrat raad mara saba, ikiwa ni visomo vya kinga mtasoma surrat hadeed au surat al nam mara saba.


Kisha itaanza kusomwa kitabu chenyewe cha albadr kila kundi la majini likiisha unachukua ndimu unakata na wembe unakiacha kiwe kwenye ndimu unachoma na sindamo moja utatumbukiza kwwnye chungu kilicho jikoni utafanya hivyo mpaka majina yote yaishe na ndimu zote ziishe kadr zile buni zinzvyoruka ndio ubaya unavyoenda. Ukimaliza utachinja mnyama damu iingie kwenye chungu.Kisha mtakiipua hicho chungu mtavifunga hvyo vitambaa kukifunika hicho chungu.

KUTIA MTU ALIYEKUIBIA KICHAA

Ikiwa ni nia ya kutia kichaa mwizi kitaenda kifukiwa kwenye mti mkubwa uliokufa wenyewe pembezon mwa bahar au mto. Mtaangalia muda mzuri kwa hyo siku mliyoifanya mtaenda kufukia bila kichwa cha mbuzi.

NIA YA KUUA ALIYEKUIBIA AU KUKUDHULMU

Ikiwa ni nia ya kuua itaenda kifanyika kazi zaid kunako kaburi jipya lisilofikisha siku tatu toka lizikwe au kaburi ambalo limefukuliwa leo kwa nia ya kuzika mnawahi ninyi kwanza maelezo yake ni hayar kidogo mtanisamehe nitaishia hapa kuepuka dhulma. Hapa kinatumika na kichwa cha mnayama nitafute kwa namba hapo chini au facebook mtabibu asili tz

KUKIJINGA MWILI AU NYUMBA SHAMBA
Hayo mahitaj niliyoyataja yatakiwa kwanza ajipanguse navyo muhusika. Kisha vifanyike visomo kama nilivyoeleza chungu kikatupwe baharini wakat maji yanajaa kicha kikafukiwe kabur kongwe kwa kufungwa kitambaa chekundu. Ikiwa ni shamba au nyumba vyote vifukiwe eneo husika.

MAMBO YAKUZINGATIA KILA SIKU INA KAZI ZAKE KAMA NINAVYOELEZA KWENYE UCHAMBUZI WA NYOTA WA KILA SIKU SASA KAZI YENU IINGIE KWENYE SIKU HUSIKA. MFANO KAZI ZA KUROGA KWA WIZI JUMAMOSI NA JUMANNE NI NZUR MNO. PIA YATEGEMEA NA ELIMU NA MTAALAM ULIYEMUENDEA UWE KAZI YENU ISIWE NA MUONGOZO NILIOUTOA KULINGANA NA YEYE ANAVYOFANYA KAZI ZAKE. NMEITOA MAKALA HII BAADA YA KUPOKEA MASUALI MENGI SANA KUHUSINA NA KISOMO CHA ALBADIRI SINA LENGO LA KUHAMASISHA VITENDO VYA KUFANYIANA UBAYA. ILA MTUME ANASOMA DUA YA ALOYEDHULUMIWA MUNGU HUIPOTEA HARAKA ZAID KAMA UMEIBIWA MUME MKE NJOO TUYAJENGE.

AHLUL BADRI asili yake imetokana na vita vya Badri. Vita hii ilikuwa ni baina ya waislam na washirikina wakati wa mtume Muhammad S A W anautangaza uislam. Historia inasema idadi ya wanajeshi waliopigana vita ilikuwa kati 313 na 317 dhidi ya washirikina waliokuwa idadi ya marar tatu yao. Kwa uwezo wa Allah walifanikiwa  Ahlul Badri kushinda. Walinyanyuliwa daraja na mpaka leo watu wanayatumia majina yao kutawasuli shida zao ili huruma ya Allah iwafikie kwa uharaka.

una tatzo lolote la kazi nyota, mapenzi mahusiano, nguvu za kiume, kukuza dhakar, uzazi biahsra, kuuza kitu nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whtsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

  1. Shehe iii ni shirki kubwa unamshirikisha mungu wako waambie ukweli waislam wasije wakiingia iii dhambi

    ReplyDelete
  2. Kwakweli umeonge mambo mazuri tu.sana ila kwengine wabani wanadamu nidhaifu sana shekhe

    ReplyDelete
  3. Hata mungu anapenda mtu anaepgania Haki yake, walqiswaswa haquh

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI