NYOTA ZENYE TABIA 'ASILI' YA UDONGO UHALISIA MAFANIKIO NA USHIRIKIANO WAKE



HII ni makala ya nne na ni ya mwisho katika ile orodha ya Tabia au asili ya Nyota. Tulianza na Nyota zenyewe zipo kumi na mbili nikazichambua moja baada ya nyengine maana yake tabia zake matendo siku za bahat namba za bahat nani ushirikiane nae nyota gani ni mbaya kwako, bishara gani ufanye mapambano gani utumie. Kila rangi ina nguvu yake kinyota kuna rangi ni za mapenzi kuna rangi ni kwa ajili ya fedha kuna rangi kwa ajili ya nyumba au eneo lako la biahsara yote niliyazungumza katika kila Nyota niliyoitaja anayekuletea chambuzi hizi ni Mtabibu ASILI TZ.

Wale mnaotaka uchambuzi kwenye coment mtanishamehe siwez kukuwekea ufafanuz uliopita  wote kwenye coment makala zipo zitafute hapa soma ninachoweza kukusaidia hujui nyota yako naweza kukusaidia kukitajia lakini uchambuzi soma post zilizopita maana ni maneno maref ila ukiona kazi kusomasoma post zilizopita tutafanyiana private utanilpa nitakupatia uchambuzi inbox.


Tulishazungumza tabia za MOTO, UPEPO na MAJI leo tutamaliza na UDONGO. katika kila makala nilitolea ufafanuzi kwamba ni nan anafaa kuoa au kushirikiana na je ukikosea ukampata mwingine mambo yanakuwaje yote hayo niliyazungumza chakifanya ni kupitia tu hizo makala ukazisoma ikiwa hukuwa kuziona au kukutana nazo.

Kundi la tabia au asili ya  UDONGO linaundwa na Nyota ya Mbuzi, Ng'ombe na Mashuke. Kila Nyota ina tabia zake Sayara yake Malaika wake na Jini wake vyote nishavifafanua. Pia katika kazi kuna mafusho yake amabayo ukiwa na shida utayatumia kuchanganya na dawa zako unazotumia kwq shida husika. Tufahamu kundi hili linafaa kushirikiana na kundi gani na nini kitatokea ikiwa utashirikiana na kundi jengine.

TABIA ZA NYOTA AMBAZO HAZIENDAN NA TABIA YA UDONGO


Katika kila makala huwa naeleza hesabu za kinyoya kindoa zinapigwa kitaalam ili kupata jibu sahj ambalo kama hujaoa itakupa majibu kama mwaendana na lini ni sahh kifunga ndoa bimaana tarhe saa wakat mwingine mpaka mapambo kulingana na Nyota zenu. Ikwa mlishaona na hamkuangalia na mambo hayawi itaangaliwa ikiwa kuna hitilfa basitaalam atajua mfanye jambo gan ili mambo yakae sawiya. Halikadhalika kabla ya kuoa ikiwa haziendan utaambiwa nn mfanye ila si kuachana zinatibika kitaalam.

UDONGO akishirikiana na UDONGO mwenzie kwanza shughuli za watu wa udongo ni za ujenzi ukulima, ufugaji ukandaras Uongozi na kama biahsra bas iwe ya vifaa vya ujenzi vyakula vya nafaka vyakula vya mifugo nk. Kibiashara mtafanya na mambo yatakaa sawa ila kutakuwa na changamoto ya kuzorota yaan haitakuwa mstar ulionyooka itakuwa unauza baadae vitu vinaharibika maana yake udongo ukikutana udongo ukikauka kunakuwa kama lijiwe tu lisilokuwa na maana hivyo yatakiwa matengenezo ya kitaalam kabla ya kufungua jambo lenu. Pia kama ni pesa ya kukopa mtashindwa kurejesha.


Kimapenzi haitakiwi kukaa pahala pamoja muwe mwakutana mara moja moja sababu mkikaa pamoja muda mref mambo yatazorota penzi mwanzo litakuwa na mashamsham lakini mwishowe litatia uvivu au kuzorota. Uzazi unaweza kuwa wa tabu au mkapata watoto waliopoa sana wakimya wanaonewa na wenzao. Ikiwa mtafika kwa wataalam wa wanaweza kuangalia na kuwapa njia za kutatua kinyota wao watajua kulingana na tatzo na utaalam yaweza kuwa talaka dawa au kubadili majina nk. Panapotokea hitilaf basi mmoja ajishushe ili mambo yakae sawa watu wa UDONGO ni Nyota ya Ngombe, Mbuzi na Mashuke.

Ikiwa UDONGO atashikirikiana na MOTO kuna uafadhali kidogo japokuwa haziendan ila anayetoa mtaji mwingi yatakiwa awe udongo ili biashara ifanye. Mkiweka nusu kwa nusu mambo yatakuwa mabaya bishara zitafifia kwa wastan mtarjesha msingi tu na faida kidogo si kama mlivyotarajia. Ikiwa mlikopa basi mtapata rejesho tu pango na fedha za bidhaa zitawashindwa mkitaka mpate fedha zaid basi mfanye shughuli za uginyanzi vyungu au matofari yakuchoma. Mkifika kwa wataalam watajua nn wawafanyie ili biahsra iende na mmbo yawe mazur kwa biahsra yoyote mtakayoifanya

Kwenye Mapenz mwanamke ndiye natakiwa awe UDONGO aje kuibeba MOTO ndio kidogo afadhali matokeo yataonekana. Ila hapa mafanikio ni machache sana kuliko matatizo ambayo mtayapitia. Nguvu nyingi itatumika kutatua matatzo kuliko kuyafikia mafanikio. Uzazi unaweza ukasumbua au mkipata watoto wasieleweke unaweza ukamtuma sukar akaleta kiberiti huwa hawatulii kiakili. Ikiwa mtafika kwa wataalam watajua warekebishe nn ili mambo yakae sawa katika mstari mnaoutaka. Watu wa MOTO ni Nyota za Simba, Punda na Mshale.

Ikiwa UDONGO atashirikiana na mtu wa UPEPO mafanikio yapo ila si sana na anatakiwa UDONGO awe na kauli kama fedha yeye ndo atoe nyingi UPEPO uwe kama mtendaji siyo mmiliki wa biahsra hata malipo atakiwa UDONGO ndo awalipe wote wafanyakaz nawe ukiwemo pia. Mnatakiwa mpate ushauri wa kinyota kabla ya kufungua ili kila mmoja awe na pawa na miliki iliyosawa. Biahsra itaenda kwa mvumo kwa kipindi itakaa sawa na ikija kudoda itadoda haswaa. Pia kutakuwa na maelewano machche maana kila mmoja atataka usawa.

Kwenye mapenzi  UDONGO na UPEPO wanaweza kukaa ila UPEPO uwe mpole usiwe na kauli hata kosa liwe lako we ndo uombe radhi ili maisha yaende. Hapa awali kwenye mahusiano UPEPO atakuwa mtu wa kuomba msaada sana kwa UDONGO. hata mali atakiwa ashiriki zaid UDONGO kuzitafuta mshirikiane. Kindoa yatakiwa kila mmoja akae kwake mkutane mara moja moja msikae sehem moja muda mref. Uzazi upo lakini mtoto atakayezaliwa ni mtembez sana hatulii nyumbam na hatakuwa msaf, ukimtuma sokon anaweza akapitia mpiran au kwenye shughul kwanza atakuwa mtu wa safar zisizoeleweka. Watu wa UPEPO ni Nyota ya Mapacha, Mizani, Ndoo.

TABIA YA UDONGO INAENDANA NA TABIA YA MAJI KILA KITU KITAKUWA NA MAFANIKIO KIBIAHSRA NA MAPENZI WATOTO MTAPATA WALIOWEMA KABISA IKITOKEA MITIHAN SULUHU KUPATIKANA NI RAHSI. MAMBO YA KUZINGATIA MAHESABU YA KINDOA NIMEYATOLEA UFAFANUZI HAPO JUU. KAMA UMEYASAHU NI KWAMBA YANAPIGWA NA WATAALAM WA NUJUMU.  MAKUNDI YA TABIA ANGALIA HAPO CHINI

1.MOTO Punda, Simba, Mshale
2.MAJI   Samaki, Kaa,Nge
3.UPEPO  Mapacha, Mizani,Ndoo
4.UDONGO Mbuzi, Ngombe, Mashuke

Una tatzo lolote kinyota biahsra mapenzi kuibiwa kesi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar biashara jini mahaba nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI