NATUMIA MADAWA LAKINI SIPATI MATOKEO FAHAMU UNAPOKOSEA NJIA ZA KUMALIZA MATATIZO SUGU


LEO nmeona nitolee ufafanuzi hili suala baada ya kupokea maswali mengi kuhusiana na maelezo ya dawa hasa yanayotolewa mitandaon. Maswali mengi yanauliza kuhusu madawa yanaoelezwa kisha watu kuyatafuta kwenda kutumia lakini kile kilichoelezwa na matarajio huwa ni tofauti. Makala haya uyasome kwa umakini ujue unapokosea ni wapi ili urekebishe na hii hata kwa matabibu pia inawafaa, ufafanuzi huu unaletws kwako na Mtabibu ASILI TZ.


Nitaweka makundi kadhaa kwa uchache ili upate kufumbua macho. Kwenye tiba asili ama Uganga kuna vtu viwili kwanza kuna maradhi ya kawaida na maradhi ya kichawi. Maradhi ya kawaida ni kama kuumwa kichwa ngiri chango degedege, malaria, tyfoid pumu nk. Nmetaja maradhi machache ili kuepua muda. Maradhi kama haya huwa yanatibika kirahisi hata nikikuambia kachume mti wa mvuje chemsha kwa ufupi kama zile makala ninazozitoa za miti na maradhi kwa watoto.

Hizi haziihtaji utaalam unaweza ukasoma kitu ukaenda kitafuta ukafanya na ukapona muhimu kufuata maelezo na uujue mti wenyewe kama umeambiwa kuchuma uende na kitu fulan basi jitahidi upate hicho kitu au muda maalumu ulioelezwa. Hapa hakuna mushker ukitumia dawa kama maelezo yalivyo utapata jawabu tu.

Kundi la pili ni maradhi ya kichawi haya yanahitaji utaalam katika kuagua. Na kikubwa ni kutibia chanzo cha tatizo. Hapa wengi ndipo wanaposema wanatumia dawa hawapat majibu mfano mtu aliyepigwa uchawi ukawa unatesa miguu yake au sehemu ya mwili ukasoma pahala au kupewa dawa ya kutuliza maumivu ya mwili hapa unakiwa unatuliza maumivu ila hujatibu tatzo.

Kuna mmoja alinitumia ujumbe kuwa anasumbuliwa na miguu kumuuma kuna mafuta kapewa achue. Katika maelezo anasema asipopaka miguu humuwaka moto zaid sasa je maisha yangu yatakuwa yakupaka mafuta kila siku. Jibu ndio kama nilivyoeleza inatakiwa litibiwa tatzo kwanza kisha ndio umalize maumivu ya miguu.

Kwenye nuksi hapa pia wengi wanasoma maalezo ya kung'arisha nyota kisha wakishatumia wasipoona majibu au kuona majibu kwa muda alaf tatzo linaendelea vilevile. Jambo hili nilishalizungumzs na kuweka sababu zinazoleta nuksi. Chamuhimu ni kushughulika na chanzo kwanza ukaktibia alaf ndio ufuate kupandisha nyota. Ni sawa na kupaka rangi kwenye ukuta wa matobo bila ya kuyaziba. Na si kila nuski dawa ni kuoga tu.

Upande wa utoaji majini pia una taratbu zake. Kila jini ana aina yake ya ukoo wake na matambiko yake hata kwenye kutoka ni hvyo hivyo wanatakiwa watizamwe kwanza kitaalam. Mtaalam yeye atajua atolewe vipi mfano jini aloyetumwa kuja kukufunga kizazi na ridhki huko alipotoka kahaidiwa kafara la mnyama huyu hata kutoka kwake yatakiwa kafara pia litumike ili umlipe arudi alipotoka na ubaya wake. Hata majini mahaba wapo wakutumwa wapo wakukumba katika utokaji wake pia kuna utofauti kulingana na mtaalam anavyoona mwenyewe.

Masuala ya dawa za mapenzi kuna kurejesha na kuvuta. Ikiwa watu walikuwa wapenzi wakagombana wakahitilafiana basi kwanza uangaliwe sababu kwanza kama kuna uadui husda mafungano yoyote yatolewe kwwnza ndipo zifanyike dawa za kurejesha. Kama ni dawa za kuvuta kuna masuala ya mizania ya nyota kuna wengine miili yao ni mizito wengine ni mepesi kulingana na makundi ya nyota zao pia na uhangaikaji wao kujilinda si kila dawa infanya kazi kwa kila mtu.

Jambo la mwisho kwa watu wenye nuksi unaweza hata ukachukua dawa kwa ajili ya kumtibia mtoto bado ikadunda na ugonjwa wa kawaida. Kuna nuksi zingine unatumiwa jini upepo kila unachofanya kinapeperuka hata upate laki asubuh mpaka saa saba ishakwisha halaf hakuna chamaana ulichofanya.

UGANGA AU TIBA NI KARAMA NA SI KILA MTU ANAWEZA KUAGUA UNA TATZO AU UMEONA KUMEANDIKWA PAHALA KTU KIMKUVUTIA AU KIMEKUGUSA MUULIZE VZUR ALIYEANDIKA ILI USITUMIE KITU UKIWA NA MUSHKERI NACHO. PIA WAKAT MWINGINE MADAWA YANAYOUZWA MADUKAN KUNA MENGINE SIO PIA KUNA WENGINE UKIWAULZA UNA KITU FULAN HAWEZ SEMA SINA ATAKUPA KITU TOFAUT ILI APATE HELA ILA SIO WOTE WANA TABIA HIZO. NMEJITAHIDI KUTOA HAYA MAELEZO ILI KUPUNGUZA MASWALI LAKINI PIA KUKUJENGA KIAKILI KWA LILE JAMBO UNALOTAKA KULIENDEA.

una tatzo lolote la nyota, mapenzi, kazi, biahsra, nguvu za kiume kukuza dhakar jini mahaba bawasiri presha sukar nk niachie ujumbe inbox

+2555621442936

Whtso group ni la malpo


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI