NYOTA ZENYE TABIA YA MOTO UHALISIA, MAFANIKIO NA USHIRIKIANO WAKE


TUPO kwenye muendelezo wa darasa zinazohusu masuala ya Nyota na taratibu zake. Masomo ya awali nilishazungumzia kuhusiana na kuitambua Nyota yako kwa tarahe uliyozaliwa pia nikatoa ufafanuz kuhusiana na Majina kwa wale wasiojua tarhe zao. Nakumbuka nishaongelea ufafanuz wa kila nyota tabia zao siku zao za bahat watu wakushirikiana nao siku za kufunga ndoa. 


Makala ya jana nilizungumzia tabiabza Nyota ambazo zipo katika makundi manne niliyataja sasa tunaanza kuyacuambua kundi moja moja ikiwa umepitwa na maelezo niliyoyatoa hapo juu tafadha soma post zilizipita nishazifafanua ukihitaji uchambuzi private utachangaia gharama. Njia rahs na bura soma post zilizopita kumbuka chambuzi hizi zinaletwa kwako kupitia page ya Mtabibu ASILI TZ.

Makundi niliyoyazungumza jana ni MOTO, MAJI UDONGO NA UPEPO. na nikaorodhesha kila kundi na nyota zake. Leo tutaanza na kundi la moto kadri siku zinavyozid kwenda tutazidi kuzichambua mpaka tuyamalize usisahau kila asubuh pitia gage yangu mtabibu Asili tz kwa utabiri wa siku nzima. Tunaanza na kundi la MOTO.

Kundi hili Nyota zake ni Punda, Simba na Mshale. Kwenye ile makala nilieleza kwamba watu wa moto wanaoana au kuendana na wtu wa UPEPO ambapo nyota zake ni Mpacha, Mizani na Ndoo. Nyota za kundi la MOTO zinashirikiana na nyota yoyote kwenye kundi la UPEPO na mambo ya kibiahsra au kimichezo yakaenda sawiya. Kuna mistake ukiifanya unaweza kuyumba kiuchumi au kupata hitilaf la madhoruba soma kwa makini maelezo hapo chini.

TABIA ZA NYOTA AMBAZO HAZIENDAN NA TABIA YA MOTO

Kwanza yatakiwa tufahamu kwenye ndoa kuna mahesabu maalumu hutumika kwa sababu si jambo la kufanya biahsra useme ikiwa hovyo kila mtu achukue mtaji wake. Yatakiwa uangalizi wa hali ya juu kitaalam. Nilieleza zikipigwa hesab utapata majibu kuwa kama unaendana utaleta mpaka saa ya kufunga ndoa rangi za siku hyo tarhe nk. Ila hizi ni hesabu za kitaalam anayetaka kupigiwa afike kwa wataalam karbu nae au anichek binafs ila si bure upigaji wa hzo hesab tuwekane wazi.

Ikitokea mtu wa moto kaoa motot mwenzie na hakuna marekebisho yoyote yaliyofanywa na wataalam yatakukuta yafuatayo. Kwanza ikiwa mnafanya biashara inayohusu moto kama upishi uchomaji ikiwa ni mashirikiano mtafanya kazi sana yaan mtapata faida ila majanga hayataenda mbal kipato mtakachokipata nusu na robo itatibia majanga yenu. Mtakuwa watu wa kupata sana faida lakini majanaga hayataenda mbali.

Kimapenz hamtaelewa ikiwa mtakaa karbu labda kila mtu awe na shughuli zake kukutana ni mara moja moja. Iwapo mtakaa pamoja ugomvi hautaisha na mwisho wasuluhishaji watawachoka. Uzazi mnaweza mkapata ila watoto watakuwa hasakii 'watukutu' watawasumbua. Mkishagundua wote ni kundi moja mwatakiwa mmoja ajishushe hata kama ni kosa lako kuwa mpolr ili maisha yaende. Ikiwa mtafika kwa wataalam wa Nujmu wanaweza kurekebisha kwa kuwapa mashart aidha muachane halafu muoane tena 'talaka dawa'. Mmoja abadiliahwe jina wao watajua zaid nn kifanyike. Watu wa Moto ni Nyota ya Simba, Punda na Mshale.

Ikiwa tabia ya Moto itakuwa pamoja na tabia ya maji biahara hazitaenda mtaweka mtaji mkubwa mtakachouza hakitarejea hata mtaji wenyewe. Kwaida ya Maji huzima moto hivyo kimaendeleo hufifia. Ikiwa ni lazma kufanya mashirikiano ya bishara basi mkifika kwa wataalam wa nujumu wataoanisha majina na namba za nyota ili kuapata jina moja litakalokuwa na maana kinyota ambalo pia lotakuwa na namba usione mjini majina ya maduka limeandikwa Muzne 02 au jina na namba linakuwa na maana.

Upande wa mapenz hakutakuwa na kipato sababi mmoja atakuwa anatafuta mwingine atafifisha. Hata kwenye uzazi utakuwa na mushker mimba zinaweza kuingia na kuharibika au kuzaa wwtoto waliopooza sana. Hii hata mkikaa pamoja au mbali mambo yatakuwa hvyohvyo. Mkifika kwa wataalam wa nujumu wao watajua watumie njia gan kama nilivyoeleza hapo juu.

Moto pamoja na Udongo kiushirikiano kuna uafadhali kidogo japokuwa haziendan ila anaotoa mtaji mwingi yatakiwa awe udongo ili biashara ifanye. Mkiweka nusu kwa nusu mambo yatakuwa mabaya bishara zitafifia kwa wastan mtarjesha msingi tu na faida kidogo si kama mlivyotarajia.

Kwenye Mapenz mwanamke ndiye natakiwa awe UDONGO aje kuibeba moto ndio kidogo afadhali matokeo yataonekana. Ila hapa mafanikio ni machache sana kuliko matatizo ambayo mtayapitia. Nguvu nyingi itatumika kutatua matatzo kuliko kuyafikia mafanikio.

TABIA YA MOTO INAENDANA NA TABIA YA UPEPO KILA KITU KIFAKUWA NA MAFANIKIO KIBIAHSRA NA MAPENZI WATOTO MTAPATA WALIOWEMA KABISA IKITOKEA MITIHAN SULUHU KUPATIKANA NI RAHSI. MAMBO YA KUZINGATIA MAHESABU YA KINDOA NIMEYATOLEA UFAFANUZI HAPO JUU. KAMA UMEYASAHUMAU YAKE MAKUNDI YA TABIA ANGALIA HAPO CHINI

1.MOTO Punda, Simba, Mshale
2.MAJI   Samaki, Kaa,Nge
3.UPEPO  Mapacha, Mizani,Ndoo
4.UDONGO Mbuzi, Ngombe, Mashuke

Una tatzo lolote kinyota biahsra mapenzi kuibiwa kesi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar biashara jini mahaba nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI