NYOTA ZENYE TABIA 'ASILI' YA MAJI UHALISIA MAFANIKIO NA USHIRIKIANO WAKE


TUPO kwenye muendelezo wa darasa zinazohusu masuala ya Nyota na taratibu zake. Masomo ya awali nilishazungumzia kuhusiana na kuitambua Nyota yako kwa tarahe uliyozaliwa pia nikatoa ufafanuz kuhusiana na Majina kwa wale wasiojua tarhe zao. Nakumbuka nishaongelea ufafanuz wa kila nyota tabia zao siku zao za bahat watu wakushirikiana nao siku za kufunga ndoa. Tabia z mbili za Nyota tayar nishazizungumzia MOTO na UPEPO na leo nitaongelea tabia ya MAJI kama ulipitwa na makala zilizpota kwenye ukurasa wangu Mtabibu ASILI TZ


Nyota zipo kumi na mbili katika mdumo wake na zimebebwa katika tabia au asili nne bazo ni MOTO, MAJI UDONGO NA UPEPO. Makundi haya ndiyo yanayoleta muongozo nani ushirikiane nae na nani usishirikiane nae. Kuna ushirikiano wa kibiahsra kuna mahusiano ya kimapenzi. Hivi ni vitu viwili tofaut unavyopaswa kuvifahamu kiundan. Mashirikiano ya kikawaida hayafungamani na mashirkiano ya kimahaba mapenzi hivyo ukitaka kuangalia kuhusiana na muunganiko wa mapenzi watakiwa uangalie kiundan zaid nanmahesb yake yanahtaji utaalam.

Kundi letu la leo tunalolichambua ni MAJI na Nyota zake ni Samaki, Kaa na Ng'e. Ukumbusho wa kundi la MOTO wao wanashirkiana na kundi la UPEPO. Kuzijua nyota zao soma mpaka mwisho makala haya. Kuupata ufafanuzi zaid soma post ya MOTO na ufafanuzi wa UPEPO. Watu wa kundi la MAJI wanashirikiana na mambo huenda sawiya na kundi UDONGO hawa wakishirkiana mambo yatakaa sawa kibiahsra na kindoa soma ufafanuzi wa makundi mengine.

TABIA ZA NYOTA AMBAZO HAZIENDAN NA TABIA YA MOTO


Kama nilivyoeleza hapo juu mahesabu ya kindoa yanapigwa kitaalam zaid hivyo maswali kuhusiana na kuendana au kutoendana siwez kuyajibu kwa mdomo pasina kupata maelezo zaid ya vtu vinavyotakiwa. Pia waweza fika kwa wataalam wa nujumu nyota walio karbu nawe wtakufafanulia vizuri zaid. Nilieleza zikipigwa hesab utapata majibu kuwa kama unaendana utaleta mpaka saa ya kufunga ndoa rangi za siku hyo tarhe nk. Ila hizi ni hesabu za kitaalam anayetaka kupigiwa afike kwa wataalam karbu nae au anichek binafs ila si bure upigaji wa hzo hesab tuwekane wazi.

MAJI wakishirikiana na MAJI mwenzie na hakuna marekebisho yoyote yaliyofanywa na wataalam yatakukuta yafuatayo. Kwanza ikiwa mnafanya biashara inayohusu moto kama upishi uchomaji ikiwa ni mashirikiano biahsra inaweza ikafa kwa sababu maji huwa haendan na shughuli ya moto hivyo shughuli mnazotakiwa kuzifanya ili zilete maendelea kama mtaanzisha uuzaji vinywaji, uchimbaji visima, juisi vileo ujezni yaani matope nk, unaweza kufanya kazi hizo au biahsra zinazohusiana na vtu mfano ujenz unaweza fungu duka la cement nk. Watu hawa wakiungana biahsra itafanyika ila hasara ya vto kupotea maana kuna vtu vitaenda na maji ndio maana ya kupotea.

Kimapenz hamtaelewa ikiwa mtakaa karbu labda kila mtu akae pahali pake mkutane siku moja moja. Kuna mambo yakuuza vitu yatakuwa yakiwaandama mkikosa pesa kidogo mtauza vtu tena kwa bei ya hasara kuliko iwe mliyonunulia. Uzazi unaweza ukawasumbua au kuapata watoto wasikae yaani tunaita kupita unazaa mtoro haishi ndio maana ya vitu kwenda na maji. Mkishagundua wote ni kundi moja mwatakiwa mufatilie maelezo vizuro ili maisha yaende. Ikiwa mtafika kwa wataalam wa Nujmu wanaweza kurekebisha kwa kuwapa mashart aidha muachane halafu muoane tena 'talaka dawa'. Mmoja abadiliahwe jina wao watajua zaid nn kifanyike. Watu wa Moto ni Nyota ya Simba, Punda na Mshale.

Ikiwa tabia ya MAJI  itakuwa pamoja na tabia ya MOTO biahara hazitaenda mtaweka mtaji mkubwa mtakachouza hakitarejea hata mtaji wenyewe. Kwaida ya Maji huzima moto hivyo kimaendeleo hufifia. Ikiwa ni lazma kufanya mashirikiano ya bishara basi mkifika kwa wataalam wa nujumu wataoanisha majina na namba za nyota ili kuapata jina moja litakalokuwa na maana kinyota ambalo pia lotakuwa na namba usione mjini majina ya maduka limeandikwa Muzne 02 au jina na namba linakuwa na maana.

Upande wa mapenz hakutakuwa na kipato sababu mmoja atakuwa anatafuta mwingine atafifisha. Hata kwenye uzazi utakuwa na mushker mimba zinaweza kuingia na kuharibika au kuzaa wwtoto waliopooza sana. Hii hata mkikaa pamoja au mbali mambo yatakuwa hvyohvyo. Mkifika kwa wataalam wa nujumu wao watajua watumie njia gan kama nilivyoeleza hapo juu. Watajua warekebishe wapi ili mambo yaende sawiya.

MAJI akishirikiana na UPEPO  mambo hayataenda sawa kitakuwa mambo shagala bagala bishara zitadorora Mtaji hata akitoa mmoja au mkishirikiana itakuwa haielewek ipi faida ipi msingi. Kimsingi tabia ya MAJI na UPEPO haziendani kabisa mtakuwa mnanyasika kibiasha nk. Ushaur ukijigundua ni watu wa makundi haya kisha mnataka kushirikiana yatakiwa ufike kwa wataalam wa nyota walio karbu nawe waangalie milango ya nyoya zenu watawapa njia ya kufanikisha jambo lenu na kuwaupa muongozo unaofaa.

Kimapenzi hamuez mkaelewana kila mmoja atakuwa na maamuzi yake amabyo hayataenda sawa na mwenzie. Uzazi utawasumbua mkizaa mtoto hatakuwa na ueelewa mzur atakuwa yupo yupo tu. Yatakiwa ifanyikea mahesab ya kuballanc hizo nyota ili matatzo makubwa yasiwakute kuna mambo mengi unaweza kukumbana nayo kiriddhk masuala ya utafutaj yanaweza kuzimwa kwasabab si nyota zinazoendanahata kidogo.

TABIA YA MAJI INAENDANA NA TABIA YA UDONGO  KILA KITU KITAKUWA NA MAFANIKIO KIBIAHSRA NA MAPENZI WATOTO MTAPATA WALIOWEMA KABISA IKITOKEA MITIHAN SULUHU KUPATIKANA NI RAHSI. MAMBO YA KUZINGATIA MAHESABU YA KINDOA NIMEYATOLEA UFAFANUZI HAPO JUU. KAMA UMEYASAHUMAU YAKE MAKUNDI YA TABIA ANGALIA HAPO CHINI

1.MOTO Punda, Simba, Mshale
2.MAJI   Samaki, Kaa,Nge
3.UPEPO  Mapacha, Mizani,Ndoo
4.UDONGO Mbuzi, Ngombe, Mashuke

Una tatzo lolote kinyota biahsra mapenzi kuibiwa kesi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar biashara jini mahaba nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

  1. Mmmh hapo mimi ni Nyota ya kaa asili ya maji na mwenzangu mizani asili ya upepo. Lakini mm nilislimu hivyo saiz ni herufi A na mwanzo nilikuwa herufi hapo je tut
    aendana???????

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI