FAIDA NA MATUMIZI YA MAJI YA MVUA NA MPERA



Hivi vtu viwili vna faida kubwa katika maisha ya mwanadamu. Vina faida kiafya, kazi, biashara, mvuto. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuongelea mti wa Mpera niagusia faida zake nyingi kuanzia majani bakora yake matumda  na mizizi katika ulimwengu wa tiba za asili ikiwa ilikupita jitahdi kurejea post za nyuma kuna vitu vingi nmezungumza ambavyo vina faida kwako.


Leo tutaangalia mvuto wa nyumba chumba na sehemu ya biashara kwa kutumia majani ya mpera na maji ya mvua. Maji ninayoyazungumzia hapa ni yale yanaytoka direct yaan weka chombo sehem ya waz sio maji yanayopitia kwenye bati au kitu chochote.

Tafuta maji ya mvua yakuja direct ujazo wa lita moja. majani ya mpera machanga 21 hakikisha yawe ya mpera ule wa asili sio ile mipera ya kizungu ya madawa 

Matayarisho yake Chukua hayo maji yagawe nusu Lita mara mbl. Twanga majani yawe laini kisha utaweka hayo nusu ya kwanza kwenye majani yachanganyane kisha uchuje maji na majani. Kisha utaongeza ile nusu lota ya pili kwenye hayo maji ambapo itarud lita moja ileile 

  Matumizi
Nyunyuzia sehemu ya biashara ck tatu kabla ya hujafungua. Kama n nyumba ck tatu kabla hujahamia, Utapata utulivu na mvuto. Ikiwa tayari ushafungua biahsra na tayarumi una chumba vitaongezeka vtu majani ya mkunazi na tarasimu ya mvuto ambapo itayeyushwa kisha 

Km n chumba nyunyuzia ndani kwako km frem unayo nyunyuzia ck Saba. Zoez lotafaa zaid kwa mtu asiyekuwa na mazonge ya nuksi wala husda.

VITU VYA KUZINGATIA MIPERW IPO MNAMOISH MAJI MADUKA YA MADAWA ASILI AYANAUZWA IKIWA UTAKOSA ULIPO. MKUNAZI UNAPATIKANA MAJUMBAN TARASIM NDIO UNITAFUTE TUMIA NJIA YA KWANZA NILIYOITOA

Una tatizo la mahusiano kazi, ndoa, biashara, nguvu, uzazi Nk 0621442936

km umependa somo share na wenzio wapate maarifa whatsp group ni la kulpia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI