UFAFANUZI WA NYOTA YAKO YA UZAWA, NYOTA ZINAZOENDANA KIMUUNGANO BIASHARA NA MAPENZI

.

MARA kadhaa nmekuwa nikieleza kuwa kuna makundi 12 ya nyota kulingana na miezi inayounda mwaka. Nyota hizi hutokana na tarehe ya uzawa ya muhusika. Wakat unazaliwa pale ndipo inapotengenezwa siri ya mafanikio yako kimaisha. Siku uliyozaliwa kuna Sayari inayomiliki hiyo siku tarahe yako kuna nyota inayomilik pia na saa. Kwa watu wenye elimu ya haya mambo hata jina wanakupa kupitia heruf zinazolete faida kwa kuoana vtu nilivyotaja hapo juu.


Siku hizi watu wanawapa watoto wao majina ya wasanii kwenye sizon. Katika wiki kuna siku saba kila siku kuna sayar inayochomoza jua ndio tunazozitumia kutoa tabiri ya kila siku. ili upate unachotaka kwa wanaocheza michezo ya kubahatisha au kitu chochote lazma ujue nyota yako cku yako ya bahat saa yako ya bahat ndan ya ck hiyo na namba zako za bahati ukitumia kama ilivyo utapata utakacho. 

Leo siongelei namba za bahati wala rangi nilishaongelea sana na kutoa formula yake. Bandiko litakufanya ujue nyota yako kikamilifu tafadhali kuwa makini katika usomaji wako. Jedwali hili hapo chini linafafanua tarehe za uzawa na makundi yenu ya nyota.

Tafadhali kuwa makini kusoma tarahe sitajibu swali ambalo tarehe yake ipo hapa chini.

1.PUNDA-ARIES(MARCH 21-APR 20).

2.NGOMBE-TAURUS(APR 21-MAY 20).

3.MAPACHA-GEMINI(MAY 21-JUNE 20).

4.KAA-CANCER(JUNE 21-JULY 22).

5.SIMBA-LEO (JULY 23-AUG 22).

6.MASHUKE-VIRGO(AUG 22-SEPT 23).

7.MIZANI-LIBRA(SEPT 23 -OCT 22).

8.N'GE-SCOR PION(OCT 23-NOV 22).

9.MSHALE-SAGITTARIUS(NOV 23-DEC 20).

10.MBUZI-CAPRICORN(DEC 21-JAN 19).

11.NDOO-AQUARIUS(JAN 20-FEB 19).

12.SAMAKI-PISCES(FEB 19-MARCH 20).

HIZI ni nyota za uzawa sasa utaangalia tarehe yako ya kuzaliwa na mwez utalinganisha na hilo jedwali hapo juu. Ufafanuzi wake nikisema kuanzia mwezi mach 21 hadi April 20 hapa wote walio zaliwa kuanzia Mwez wa Tutu tatehe 21, 22,23,24,25,26, mpaka 31 na kuanzia tarehe 1mwez wa nne 2,3,4,5,6,7 mpaka 20. Elewa hivyo siwez kuandika kila tarehe nmeweka kwwnye makundi angalia tarahe yako na mwez angalia kundi lako.


Mfano umezaliwa tarhe 1 mwez Mach bimana mwez wa tatu angalia tarahe yako na mwez ipo katikati ya kundi gani hilo ndio kundi lako.

sasa kuna tabia za nyota ambazo hizi mara nyingi ndo znalinganishwa kibiashara mahusiano na mapenzi zisipoendana bas watu mlioungana aidha kibishara au kimahusiano hamtaweza kudumu wala kupata faida.

NA tabia hizo ama sifa za nyota ndizo zinazokuongoza ufanye kazi gani ili kupata kipato cha haraka hata wanaopenda pesa pia kuna vto vya pete za bahat ambazo znaendana na nyota. Nitazitoa kwa kuziunganisha ili uwe unafaham walau kwa uchache.

1. MOTO nyota zake ni Punda, Simba, Mshale
2. MAJI   nyota zake Nge, Samaki, Kaa
3. UPEPO ni Mapacha, Mizani, Ndoo
4. UDONGO nyota Ng'ombe, Mashuke, Mbuzi

hapa makundi yanayooana ni yenyewe kwa yenyewe, yaan maji anaweza kuoa maji mwenzio na kuoa mtu wa udongo. Moto anaweza kuoa moto mwenzie ila ugomvi utazidi nyumban pia anaweza oa mtu wa upepo kifupi moto anaendana na upepo na maji anaendana na udongo.

Wasiojua tarahe zao za kuzaliwa angalia vizur hapo chini herufi ya jina lako

1. PUNDA    A,M,Y.          7.MIZANI   G,S
2. NGOMBE   B,N,Z         8.NG'E      H,T
3. MAPACHA   C,O          9.MSHALE  I,U
4. KAA     D.P                  10.MBUZI  J,V
5. SIMBA    E,Q               11.NDOO   K,W
6. MASHUKE   F,R          12. SAMAKI   L,X

Angalia kundi angalia heruf hzo mbele yake kama jina lako angalia heruf ya kwanza ya jina lako.

Nimehitahd kufupisha ili upate walau kufumbua macho kama utanishukuru kwa kidogo hata kikubwa hutashukuru. Una swali uliza hapo chini.

Una shida binafs mapenzi nyota biahsra kazi kuolewa jini mahaba nguvu za kiume uzazi kukuza dhakar nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group ni la malpo

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI