MIZIZI YA MKUNAZI KATIKA TIBA ASILIA ZA UCHAWI NA KINGA YA NYUMBA NA MWILI


MIONGONI mwa miti inayoheshimiwa na wwchawi basi mkunazi pia umo. Panapopandwa mkunazi mwanga hupitia mbali eneo hilo. Moja kati ya maajabu yake mtu mwenye roho mbaya ama husda hawez panda mti huu na ukamuotea. Leo tuangalie mzizi wake huko nyuma nishaongelea magome na majani pekua post zilizopita ikiwa ulipitwa, anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.


Mizizi ya mti huu ni mizuri hasa kwa maradahi yanayotokana na sihiri yaan uchawi uwe wakulishwa au wakukanyaga au wakukumba mti huu unaweza kukusaidia. Kwa mtu ambaye amekumba vtu vibaya mwili hauelew au mtu kaja ghafla haongei povu linamtoka achemshiwe mzizi wa mti huu pamoja na miziz ya mzaituni kisha achemshiwe majani ya mkunazi yachanganywe na mvumbasi na majani ya muingajini au wengine huuita mkundekunde au mkunde por ni mti mmoja kasoro majina.

Mchemsho wa majani kamagonjwa anaweza kutembea mwenyewe akaoge au mumwagie kama kapoteza faham kisha mumpe mchemsho wa mizizi anywe atapata fahamu baada ya hapo muendelee na zoez labkuchunguza tatzo kama kumfikisha kwa wataalam kwa maaguz zaid kama ana jini litolewe km kuna shida nyengine pia itatuliwe.

Kwa mtu mwenye kuota mara kwa mara unalishwa vtu usingizin na ukawa na maradhi ya tumbo mara kwa mara zoez la kwanza kinga mwili wako na kinga zinapatikana kwa wataalam kisha chukua mzizi wa mkunazi upate na mzizi wa muinua vizito na mizizi ya msaka uchawi chemsha kwa pamoja kisha kunywa utaona vtu vinavyotoka tumbon kwa kuharisha au kutapika.

Baada ya hapo utatumia unga wa mkunazi miziz au magome, unga wa magome ya mkuyu unga wa muinga jini unga mvumbasi au mwinula kwa jina jengine utavichanganya utakuwa unatumia kwenye uji kwa muda wa siku saba asubuhi na jioni utakuwa ushalitibia tumbo lako vizuri.

Magome ya mkunaz ukachanganya na magome ya mkuyu na magome ya mzaituni upunguza ukachemsha ukaoga au kupaka au kujifusha nyungu inapunguza maumivu ya mwili shambulio la jini au mtu aliyeanza kupata kiharusi. Au pia mtu anayetibiwa ukichaa akitumia nyungu hyo inaweza mponesha haraka zaid. Ila kila hitaj lina miti mengine yakuongezea.

Kwa uchache faida za majani yake ukichukua ndimu saba ukazikata ukaweka na majani ya mkunaz mabich kiasi cha kilo moja ukachemsha pamoja kwenye maji lita tatu kisha ukichuja yale maji yake ukitumia kwa kunywa faida zake inaimarisha kinga ya mwili inamaliza maradhi ya kifua sugu na mafua. Inaimarisha muonekano wa ngozi ya mwili.

Ukichukua unga wa magome wa mti huu ukichanganya na unga wa sanamaki na uwatu ujazo sawa gm 50 kissha ukatumia kijiko kikubwa ukachemsha ukatumia kunywa kikombe kidogo cha chai mara tatu kwa siku faida zake inapandisha cd 4 kwa waathirika wa ukimwi. Inashusha presha inashusha sukar pia inatoa taka mwili mwilini utaharisha sana wakati unakula. Maelezo zaid ya mti huu soma makala zilizopita nilishafafanua au jiunge na group la whtsp kwa mwebye kutaka huwa yanarudiwa kila wakat.

MAMBO YA KUZINGATI MTI HUU UNAPATIKANA UKANDA WA PWAN HASA ZANZIBAR, TANGA, BAGAMOYO PAMOJA NA BAADHI YA MAENEO MENGINE. MADUKA YA DAWA ASILI HUWEZ KUTA MIZIZI WALA MAJANI HIVYO KAMA UNA JAMAA ANAISH UKANDA WA PWAN UNAWEZA MUAGIZA KAMA UTAHITAJI WENYE SHIDA BINAFS NIACHIE UJUMBE INBOX.

una tatzo lolote la nyota, kazi biashara mapenzi kuuza kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whstsp group ni la kulipia


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI