NYOTA ZENYE TABIA YA UPEPO UHALISIA, MAFANIKIO NA USHIRIKIANO WAKE


TUNAENDELEA na uchambuzi wa tabia za za Nyota leo tupo kundi la UPEPO. Nishafafanua kuhusiana na MOTO, nishaeleza makundi yote ya Nyota kwa tarehe na Majina kwa wale wasiojua tarhe zao. Kama umepitwa soma post zilizopita.

Ikumbukwe kwamba makundi ya Tabia za Nyota yapo manne nayo ni MOTO, UPEPO, MAJI NA UDONGO. Makundi haya ndiyo yanayoleta taswira nani ushirikiane nae nani uoe. Kuna vtu ukivikosea inakuwa kama ujenzi wa nyumba unapokosea msingi basi nyumba nzima haitakaa sawa. Msingo wa maisha wa mwanaadamu inabebwa na Nyota yake ya kuzaliwa. Na nyota ni ile siku ulipozaliwa siku saa na tarhe. Mfano siku ya leo ni Jumanne Sayar yake ni Mirikh watoto watakaozaliwa leo mfumo wa maisha yao yataendana na Sayar hyo kupitia tarhe yake ambayo itanuongoza kinyota.


Kundi la UPEPO linabebwa na Nyota za Mapacha, Mizani na Ndoo. Watu wa Kundi hili wanaendana na kundi la MOTO mashirikiano kibiashara ilibupate faida. Kuna wakati unaweza shirikiana na kundi la UPEPO lenyewe ila kuna baadhi ya mambo hayataa sawa wala kwenda vile ulovyotaka kutokana na tabia kubebana au kuharibiana.

Watu wa UPEPO shughuli zao ni zile zinazohusiana na Upepo zaid utamgazaji redio ma tv, urubain, ufudni wa hvyo vtu kama matair televishen radio ufundiaboti nk. Wanafuga hasa ndege kama kuku bata na wengine utapata faida zaid.

TABIA ZA NYOTA AMBAZO HAZIENDANI NA UPEPO


Mtu wa Upepo akishirikiana na Upepo mwenzie mambo yatakuwa kama ifuatavyo biashata itavuma mno au mtakuwa maarufu sana lakinitaandamwa na majanaga ya kuvamiwa na kuporwa mali, Utapata umaarufu mno lakini hautakuwa na faida kipesa. Mnaweza kuweka mtaji mkubwa lakini usirud mtapewa sana ila mikopo itakuwa mingo nanyi pia mtaandamwa na sifa. Matengenezo yake ni kufikwa kwa wataalam wa Nyota watajua warekebishe nn aidha kuweka jina linalokuondoen kwenye Upepo na mamb mengine yakitaalam zaid.

Mtu wa Upepo akioana na Upepo mwenzie penzi lao litakuwa maarufu zaid kila wanapopita watazungumzwa wao. Wataandamwa na sifa watakuwa wanafanya vitu vya kuonekana mfano mavazi urembo ila si maendeleo. Kizazi kitakuwa mbali ukitafuye sana mkipata mtoto atawasumbua atakua anatoroka sana nyumban mjitahidi kumfunga na kumtuliza tangu akiwa mtoto. Kipato kitapatikana ila hakitakuwa na faida mtaishia kufanya mambo ya kuonekana hata mambo ya maana mkiyafanya hayatadumu. 

Mtu wa Upepo akishirikiana na mtu wa MAJI biashara hazitaenda zitadorora, kutakuwa na uzito mkubwa kila sku mtaanza moja hakuna maendeleo mtakayoyapata. Kikubwa ni kufika kwa wataalam wa Nyota kwanza kabla hamjafungua bishara yenu au ushirikiano wenu mkilazimisha hakuna jambo lifakalokamila. Kwanza hata kwenye uandaaji wa biashata utaona kila siku ahad za kukitana zinakuwa nyingi hamtimiziambo kwa wakati.

Mtu wa UPEPO na MAJI wakioana kwanza katika mahusiano tu kuna vtu mtakuwa mnakwazana kuna ahad zitakuwa nyingi mtaona mambo yanaingiliana hakuna kitu kitakachonyooka sawasawa. Mkilazimisha kuoana kabla ya kurekebisha mafanikio yatakuwa ya shida sana mtaandamwa na mitihan ya kifedha na maradhi, uzazi hautakuwa karibu yatakiwa utafute kwa madawa na ukimpata mtoto atakuwa haelewek si mtu aliyetulia mtu wa kushikashika tu vtu mara hk mara kile hatulii pahala pamoja.

Mtu wa UPEPO akishirikikana na mtu wa UDONGO mafanikio yapo ila si sana na anatakiwa UDONGO awe na kauli kama fedha yeye ndo atoe nyingi UPEPO uwe kama mtendaji siyo mmiliki wa biahsra hata malipo atakiwa UDONGO ndo awalipe wote wafanyakaz nawe ukiwemo pia. Mnatakiwa mpate ushauri wa kinyota kabla ya kufungua ili kila mmoja awe na pawa na miliki iliyosawa. 

Kwenye mapenzi UPEPO na UDONGO wanaweza kukaa ila UPEPO uwe mpole usiwe na kauli hata kosa liwe lako we ndo uombe radhi ilo maisha yaende. Hapa awali kwenye mahusiano UPEPO atakuwa mtu wa kuomba msaada sana kwa UPEPO. hata mali atakiwa ashiriki zaid UDONGO kuzitafuta mshirikiane. Kindoa yatakiwa kila mmoja akae kwake mkutane mara moja moja msikae sehem moja muda mref. Uzazi upo lakini mtoto atakayezaliwa ni mtembez sana hatulii nyumbam na hatakuwa msaf.

UPEPO ANAOANA NA KUSHIRIKIANA NA MTU WA MOTO HUAONA NA KUSHIRIKIANA NA MAMBO YATAKAA SAWA BIASHARA FAIDA ITAONEKANA, UZAZI KINDOA MTAPATA NA MENDELEO YATAPIKANA. SOMA MAKUNDI YA NYOTA HAPO CHINI. MAHESABU YA KINDOA HUWA YANAPIGWA KITAALAM ZAID ILI KUJUA KAMA ZINAENDANA AU LA HVUO LAZMA UPATE WATAALAM WA NYOTA PAHALA ULIPO AU NIACHIE UJUMBE INBOX ILA KUNA MALIPO YA KUNGALIA MIWE MUAWZ KUPUNGUZA USUMBUF

MOTO    Punda, Simba, Mshale
MAJI      Samaki, Kaa, Ng'e
UPEPO    Mapacha, Mizani, Ndoo
UDONGO Ngombe, Mbuzi, Mashuke

Kuhusu nyota nishazungumza ka hujui nyota yako angalia post zilizopita. Watu wa MAJI NA UDONGO SUBRN SOMO LIKIWEKWA MASWALI YAKE SITAYAJIB

Una tatzo lolote la uzazi, mahusiano, ndoa, biahsra, nyote, nguvu za kiume kukuza dhakar chango jini mahaba nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group ni la malpo kwa wahitaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI