KUHUSU VUMBI LA KONGO KASONGO MUNDENDE UHALISIA NA MATOKEO YAKE


NIMEONA nilizungumzie hili swala baada ya kupata jumbe nyingi zikiulizia kuhusiana na hasa na dawa zinazopewa jina la vumbi la kongo chakupaka kasongo mundende na majinaengine. Wapo waliowahi kuzungumzia madhara ya madawa haya hasa baada ya matumizi ya muda mref. Mimi nitagusia kitaalam zaid si biashara, nakumbuka niliwah kuzungumzia kuhusiana na SHABU faida n madhara yake pamoja na vipipi hasa kwa wanawake peruz post zilizopita kama umepitwa na darasa hzo. Chambuzi hizi zinaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ.


Utandawaz umeleta urahisi wa mambo mtu unaweza kutafuta kitu kwa mtandao na ukakipata. Ukiitumia vizur inaweza kukuleta faida kama unavyosoma darasa zangu ingelikuwa hakuna njia za mawasiliano na mitandao ingekupasa uje ofisin ili kupata ufafanuzi pia nisingeweza kumudu kufafanua kwa watu wote nyinyi endpo mngekuja mmoja mmoja.

Watu wengi wamekumbwa na upepo wa vitu vinavyovuma. Vipo vitu vyenye faida na vipo vyenye madhara sio vyote ni vibaya. Tufahamu uhalisia wake faida na matumizi pamoja na madhara utakayopata. Kila ktu kina faida na madhara ila tunaangalia kikubwa ni kipi.

  UHALISIA WA DAWA YENYEWE KIMATUMIZ

Kuna utofaut kati ya dawa za nguvu za kiume na hizi vumbi la kongo. Uhalisia wake ni kweli hutumia miti ya asili ila kuna kemikali zinawekwa za kutia ganzi. Ni dawa ambazo hutumika kwa ganzi mfano watu wa Oparashen au zile za kuhifadhia maiti.

Lengo ni kuutia ganzi uume ili udumu zaid kwenye tendo la ndoa 'jimai' kupita zile dakika zako za asili unazotumia. Ukishapaka utakaa kwq nusu saa mpaka iingie kwenye mishipa ndip ushiriki jimai. Zipo zenye asili ya Unga na nyengine ni za mafuta yaweza kuwa maji au mgando ila matumizi makubwa ni kupaka kwenye kichwa cha uume.

Matokeo yake ni kweli utachelewa kumaliza lile tendo la jimai. Na lengo lako la kuchelewa litatimia, na hiyo ndiyo faida kubwa utakayoipata. Kumbuka kuwa ulivyomaliza kupaka ile dawa ilikauka ila kama ulimuingilia mwanamke pasina kinga maana yake ile dawa imeyayukia kwenye uke wa mwanamke. Pili kama huna nguvu za kiume pale ulipomaliza utakuwa umechoka sana na hutaweza kurudia tena siku nzima.

MADHARA YA MATUMIZI YA MADAWA HAYA

Faida ya dawa hizo na nyengine zenye mlengo huo ni kuchelewa kumaliza tendo la ndoa round ya kwanza. Kama unatumia hayo madawa maana yake utakuwa unautia uume ganzi hasa kwenye mishipa ambayo ndiyo inayopeleka taarifa kwenye ubongo mpaka kifikia hatua ya kumwagaanii. Wapo wanaotumia panadol wanaotumia vinywaji kuchanganya sitavitaja lakini vyote hivyo ni kuutia ganzi uume.

Dawa hizi zikikomaa basi uume huufa ganzi kabisa. Kuna mambo mawili yatakukuta, jambo la kwanza unaweza usiweze kabisa kumudu tendo la ndoa mpaka upate hivyo vitu vya kubust. Yaan uume hautaweza kusimama imara mpaka upate tena hizo dawa ulizozoea kutumia, ushiriki wako wa tendo unaweza kuwa kiwango kidogo zaid na hutaweza kumudu mizunguko miwil ukimaliza mmoja utakuwa chali.

Uume unaweza usisimame kabisa ikiww ganzi itakolea kwenye mishipa. Mfano mtu anayepiga nyeto muda mref uume husinyaa sehem ya katikakati mishipa hulegea hivyo hata uume ukisimama unakuwa legelege hauwi imara, hata ukikojoa kurejea tendo inakuwa ngumu. Misuli ikiwa ganzi hupotea hisia la tendo la ndoa kabisa kusimama itaklchukua muda na unaweza usisimame hata mtu akikualie mkao gani.

Kiufup madhara ya ganzi ni kama unavyoona kiharusi au mtu aliyepalalaiz. Kwahyo uume unaweza ukafa kabisa ukabaki na kazi ya kukojoa mkojo tu ila teno la jimai usilimudu tena. Wengi wameanza madhara madogo madogo kwamba ukifanya moha huwex kurejea, uume kukosa ile hali yake ya uhalisia mwanaume unatakiwa hata ukisika saut ya mwanamke nyororo uume usimame ndio urijali.

Pia huweza kusababisha fangas kwa wanawake na kupoteza hamu ya tendo kupoteza hisia. Maana yake pale unapopaka kisha ikakauka ukamuingia mwanamke bila kinga ule ute wake huweza kuyeyusha ile dawa na kuingia kwwenye mwili wake. Madhara yake na yeye pia atapotza hisia. Ikikomaa huzaa fangasi ambayo itamletea uke kunuka kujaa maji uchafu mwingi nk.

NINI UFANYE ILI KUIMARISHA JIMAI

Kwanza acha matumizi ya busta kama una tatzo la nguvu za kiume tafuta madawa asili yasiyo na mdhara. Njia sahh ni kufika kwa wataalam hakikisha ni mtaalam siyo mfanya biahsra wa dawa za nguvu za kiume. Kuna matangazo mengi ya madawa mitandaon hakikisha unampata mtaalam, hakikisha ni mtu anayejua dawa nyingi ndio maana ya mtaalam mtu anayeuza dawa za nguvu za kiume tu ni mfanya bishara na atakuwa anadili na biahsra yake.

Kama umefungwa kimapenz hakikisha unafunguliwa nguvu zitarud, unapresha suka maradhi ya muda mref tibia kwanza maradhi. Kisha ndio urutubishe nguvu za kiume. Fanya mazoez kula vyakula vya asili kunywa maji mengi acha kutizama video za ngono. Acha kupiga Punyeto. Ondoa stress mmbo yatakaa sawa. Kunywa sana tangawizi ndio iwe chai yako

MAMBO YA KUZINGATIA UKIWA NA TATZO HAKIKISHA UNAPATA MTU SAHIHI WA KUDILI NA TATZO LAKO UNAWEZA KUULIZA HATA JAMAA ZAKO KUHUSU MATATZO YAKO WANAWEZA KUSAIDIA KIUSHAUR USIKURUPUKE KUTUMIA VTU AMBAVYO VITAKUPA MADHARA MAKUBWA BAADAE.

una tatzo la uzazi, kukuza dhakar, bawasiri, biashara mapenz, jini mahaba, chango, kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group ni la malpo

Comments

  1. Sikufahamu madhara ya kutumia vumbi la congo, kwa sasa sina nguvu najilazimisha sana na kutumia mikono ili nifike kileleni, nitafanyaje kurudia hali ya zamani, nilikuwa na sukari sasahivi ipo vizuri

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI