FAHAMU KUHUSU TIBA YA MARADHI YA DEGEDEGE KWA WATOTO

MARADHI ya degege huwasumbua sana watoto kuanzia umri wa miaka 15 mpaka mwez mmoja. Marafhi haya hutofautiana kulingana na umri wa mtoto. Watu wazma wenye watoto zaid ya mmoja au waliowahi kuishi eneo lenye watoto wengi watakuwa wanaufahamu huu ugonjwa.

Leo nitaongelea dawa ya kutuliza na kutibua tatzo ili lisijirejee tena. Kuna watoto wakikumbwa na tatzo hili kwa haraka mfushe kwanza na kumuogesha mti wa muinga jini mkunde pori mti ndio huo huo mmoja. Kwa tiba fuata maelezo hayo chini.

Chukua  mvuje, mavi  ya Tembo, Majani ya vitunguu saumu yaliyomenywa na watu wengi ukipata ya shughulini ni vizuri zaidi.
Mfushe kwa siku tatu mfululizo mara mbili kwa siku mtoto atakaa sawa

Mtoto anayelia usiku au anastuka akiwa usingizin unamfukiza kabla ya kulala.

 na pia ukiwa unamaumivu ya kichwa au kipandauso kinakusumbua unajifukiza au unanusa ule moshi.
Pia fusho hilo huweza kukata damu puani.

Mtu aliyekumbwa na upepo ubaya umeenda safar ghafla umefuka hujielewi. Au unaona hali tofauti na vile ilivyokuwa mawnzoni fuata utaratibu ufuatao. Hii hata umefika mpya ukitoa uchomvu na kujichangamsha unaweza kuifanya.

Upate majani ya mvumbasi na majani ya muingajini uchemshe uchanganye na maji yako ya kuoga kisha oga. Ukimaliza chukua mavi ya tembo. Mavi ya Punda, Karafuu maiti na mafuta ya myonyo twanga hizo dawa zingine kishs nyungiza mafuta ya nyonyo kidogo  kisha tumia kujifusha mara mbili kwa siku kwa siku tatu.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA HIZO DAWA ZINAPATIKANA MADUKA YA DAWA ASILI PILI NAPENDA KUTOA UFAFNUZI MNAOULIZA DAWA ZA KUTOA MAJINI. JINI HATOLEW KWA MADAWA HAYA TUNAYOYAZUNGUMZA JINI INATEGEMEA NA AINA YA JINI UKONGWE WAKE KUNA MAJINI YANATOLEWA KWA MAKAFARA KUNA MAJINI YANATOLEWA KWA MAKOMBE NK. CHA MSINGI FIKA KWA MATIBABU WAANGALIE KWWNZA KISHA WATAKUPA MUONGOZO WA KUMTOA HAYA MASWALI NAULIZWA SANA NMEONA NITOLEE UFAFANUZ.

una tatzo lolote la uzazi, nguvu za kiume, kukuza dhakar uzazi, biashara, mapenzi kuuza kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whatsp group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI