FAHAMU KUHUSIANA NA PETE ZA BAHATI ZINAVYOLETA MVUTO


VITU AMBAVYO HUTAKIWI KUVICHUKULIA POA ILI KUFANIKISHA MALENGO YAKO

KILA asubuhi huwa naweka post inayohsiana na utabiri wa Nyota yako wa kutwa nzima. Kuna vipengele vingine vianaonesha hali itakavyokuwa wiki nzima. Katika ufafanuzi huo kunakuwa na ushauri ndani yake wa kinyota. Ikiwa kile kinachoandikwa kinafanana kabisa au ni chakweli kwako katika Nyota yako jitahd kufuata ule ushaur. Nmegundua wengi mnasoma nakuacha kisha likikukuta ndo unaanza kutafuta pakutokea napokea sana jumbe za namna hiyo ninachowashauri jitahdini kufuatilia kwa kina maelezo ya nyota zenu. Uchambuzi huu unaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ.


Hutakiwi kuchukulia poa Ndoto zako, ikiwa unafulululiza ndoto zenye ishara fulan jitahf kufuata ushaur unaopewa kitaalam. Siku za usoni inaweza kuwa hatari zaid. Mfano umeelezwa kuwa ni ishara ya vifungo mkwamo wa jambo na si mara moja, ishara ya uchawi wa kulishwa au kutolewa, ishara ya jini mahaba, ishara ya mizimu au majini wabaya na ndoto nyengine ambazo kwa ujumla wake hazitafsiri heri bali ni shari yenye kudhuru jitahd kulingana na ushaur uliopewa na aliyekutafsiria.

Huo ulikuws utangulizi wa ninachotaka kukizungumza leo. Watu wengi wamekuwa wakiamanika na matangazo ya mtandaoni hasa kwenye pesa za majini na utajiri usiokuwa na shughuli maalumu. Yaan we ukae tu pesa ziwe zinaingia bila kazi maalumu unayoifanya. Nmekuwa nikipokea jumbe jingi watu wakiutaka utajiri huo lakini msimamo wangu ni uleule sifanyi shughuli za kutoa pesa zisizo na kazi.

Kwanza hivi vitu nishavitolea ufafanuzi kwenye makala kadhaa zilizopita. Kuna madhara makubwa utayapata katika huo utajiri uisoonekana. Kwanza siku unaweza kutapeliwa pesa zako na hata huo utajri wenyewe usioune. Na wengi washapigwa sana kwa namna tofaut tofaut. Pili madhara makubwa utakayoipata ni lazma utatoa kafara watu wako wa karibu unaowapenda huwa hakuna mwisho mwema. Na si mtu mmoja maana kila unapopanda kifedha na kafara linaongezeka. Mfano uliambiwa kafara ni mbuzi kila mwaka basi litapanda ngombe kisha litafika kwa mtu kisha itaanza idadi sasa mara wawil mara watatu nk.

VITU VYA KUZINGATIA ILI UENDELEE

KIBIASHARA nmefafanua sana masuala ya nyota kama ulikuwa hufuatilii tatzo linaanzia hapo. Lazima ufanye shughuli zinazohusiana na Nyota yako kutokana na ule uchambuzi wa kila Nyota. Hata kama unashirikiana na mtu kibiashara basi jitahdi kufuata zile taratibu nilizoeleza. Nilchambua rangi za kuweka kwenye frem yako mafusho ya kufusha.

KIMAPENZI pia niliongelea nani ushirikiane nae kimapenzi ili upate mafanikio, ilini siku nzuri ya kufunga ndoa. Jitahdi kuzisoma kwa makini post zinazohusiana na nyota yako au kundi la tabia ya nyota yako.

UFANYE NINI ILI UPATE MALI NA KUENDELEA KIMAISHA

Katika kila nyota kuna pete za bahati ambazo nmefafanua kwa aina ya pete na kito cha kutumia ili kiwe na mvuto kwako. Sasa vito hivi vina uchambuzi wake. Kuna vto vya kuvuta bahati na mali, kuna vito vya kibiahsra na mapenzo ya kawaida.

Vito vya mali na bahat vinatumika na biahsra yaan ukiwa unafanya biashara utakuwa na pete hiyo ambayo itakuwa ikijupa wepesi katika mambo yako kukuvutia wateaja watu wakija wasiwe wanasitasita. Hizi hutumika hata na madalali wakubwa wasanii na watu wanaohusika na mikusanyiko ili ya watu.

Ukimuona mtu kavaa pete zaid ya moja vito tofaut hvyo vyote vina maana yake. Siku hz watu wameendelea sababu kinachotumika ni ktu mtu aweza vaa pete moja mfano akaweka mvuto wa kuvuta watu hasa wasanii kisha kito cha fedha akakiweka kwenye heren ndio maana unaona wanaume weng wasann huvaa heren nyingi zinakuwa na maana zao.

Wengine wanaweka hata kwenye cheni sababu kama nilivyoeleza ni vito. Pete za bahat zina makabidhiano na matayarisho yake ikishatengenezwa lazima ikae kwenye maziwa fresh ya Ngombe Mbuzi au Ngamia kabla ya kuivaa. Kuna process nyingine zinapitia ili kukamilika. Pete hizo unaweza pata kwa wataalam wa Nyota karibu nanyi ambao wanaweza kuziandaa.

Huwenda biahsra au mapenzi hayaend sawa kwanza jitahd kutafuta chanzo cha tatzo na ukitibie ikiwa ni uadui, nuksi, husda, vifungo masuala ya jini yatibiwe kwwnza ndio ufuate masuala ya pete. Hakikisha unafuata ushauri wa Kinyota kila siku.

MAMBO YA KUZINGATIA MAKALA HAYA NMEYATOA KUPUNGUZA MASAWLI INBOX YANGU KWELI M N MTAALAM SANA WA HAYA MAMBO ILA SIKUSHAURI KUUTAFUTA HUO UTAJIRI PILI NAWEKA WAZ MM SIFANYI HIZO KAZI IWE KAFARA, NDAGU, MAJINI NK SITOI UTAJRI UNA TATZO JINGINE NJOO NITAKUSIKILIZA.

kwa ufumbuzi wa matatzo ya kinyota, mapenzi, bishara, kuibiwa, mapenzi, kesi jini mahaba nguvu za kiume kukuza dhakar nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whtso group ni la malpo kwa wahtaji

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI