Posts

MITEGO YA KICHAWI JINSI UNAVYOWEZA KUNASWA, KUKUDHURU NA KUIEPUKA.

Image
 JANA niliongelea kuhusiana na uchawi nikagusia pia unavyoweza kutegwa na jinsi gani unavyoweza kujikinga kwa njia nyepesi. Ila sikushaur suala la kuwaona wachawi japo wengi walinuliza tunawezaje kuwaona wachawi jibu langu bado lipo palepale suala la kuwaona hiwa sishaur ikiwa huna kinga.  Usije ukadanganywa na mtu pasipo kukupa kitu cha kukinga mwili wako. Hili darasa ni refu sana kuna mambo mengi mno yanayofanyika ambayo kwa macho yakawaida huwez kuyaona. Leo nitaongelea mtego mmoja wa kichawi ambao unahusiana na nyoka tafadhari soma vzur kwa umakini wa hali ya juu. Kwanza tufahamu uchawi wa kurithi, jana niliongea namna kadhaa za kuweza kuingizwa kwenye chama cha wachawi, naomba nifafanue uchawi wa kurithishwa. Hii kama ukoo wako una histor za kichawi kama Babu, Baba, Bibi, Mama, Shangaz nk alikuwa mchawi basi una tabia ya kurithishana kwa vizazi ili jukumu liendelee kufanyika. Kama unavyoona systeam za Serikali watu wanavyopokezana vijiti ndivyo uchawi pia ulivyo mtu ak

UCHAMBUZI WA NYOTA, RANGI, SIKU, PETE ZA BAHAT, MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA MSHALE'

Image
HUU ni mfululizo wa cuambuzi za nyota kuhusiana na siku rangi za bahati ushirikiano katulika biashara na mapenzi pamoja na pete za bahati. Leo tunazungumzia nyota ya mshale ikiwa ni nyota ya tisa katika idadi ya nyota 12 za uzawa. Anayeekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa Novemba 23 mpaka 20 Disemba. Ufafanuzi ni wote waluozaliwa kuanzia tarhe 23,24,25 mpaka mwisho wa mwez Novemba na kuanzia tarahe 1,2,3,4 mpaka tarahe 20 mwezi Disemba. Wale wasiojua tarahe zao za kuzaliwa basi wale wenye majina yanayoanziwa na heruf I na U     ASILI, SIKU, RANGI NA VITO VYA BAHATI Asili yao ni moto, jinsia yake ni dume Siku yao ya Bahati ni Alkhamisi. Siku mbaya ni Jumatatu na Jumanne Namba yao ya Bahati ni 5 au 7, Sayari yao ni Mushtara. Malaika wake anaitwa  Israfeel na Jini anayetawala alkhamisi anaitwa Shamhuurush Kadhi . Rangi zao ni Bluu na Bluu iliyokolea.  Wenye nyota hii wanatakiwa wapake nyumba zao au vyumba vyao au sehemu zao za biashar

KUHUSU UCHAWI KUJUA KAMA UMEROGWA, JINSI, YA KUWAONA NA KUJIKINGA

Image
KWENYE kundi la wanga basi asilimia kubwa ya waumini wao ni wanawake. Ukikuta kikundi cha watu kumi basi sita mpaka saba ni wanawake na idadi chache iliyobaki ni wanaume. Hii inatokana na wanawake kupenda zaid kujaribu kila kitu wanachokisia, pili wanawake ni watu wepesi kimwili hivyo hata hatua zake za kuingizwa huwa rahisi zaidi kuliko wanaume. Kuna hatua kadhaa za kuongizwa uchawini kuna siku ntatoa darasa linalohusu hizi hatua tu na lakini kwa uchache nitazitaja pasina uchambuzi wake au wawezajiunga kwenye group ukapata mafafanuo zaidi. Kuna mtu anaingia kwenye chama kwa kutaka mwenyewe tena hufikia hatua za kutoa rushwa ili aingizwe. Kuna watu huingia kwenye chama kwa kurisihwa. Kuna watu huingizwa kwenye chama na marafiki zao wanaokuww nao muda mwingi hapa ndio kundi kubwa la wanawake hujikuta humo. Kuna watu huingizwa kwa makubaliano maalumu. Sasa uchambuzi wa kina kama nilivyoeleza. Kuna mtu aliyewangiwa bimaana amepigwa sihiri. Kuna mtu anayetaka kuingi

UCHAMUBUZI WA NYOTA SIKU, RANGI NA PETE ZA BAHAT, MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA NG'E'

Image
KaRIBU tena katika muendelezo wa makala za uchambuzi wa nyota zenu, ikowa nyota yako tayar tushaizungumzia kuwa  na subira tumalizane na nyota za wenzio. Ikiwa nyota yako imeshapita nahukuiona angalia makala zilizopita kwenye ukurasa huu. Leo tunaendelea na makala ya nane ya uchambuzi wa nyota tukizuungumzia nyota ya Ng'e katika mafanikio, mapenzi, namba za bahati siku za bahati na pete zao aanayekuleata darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Hii ni nyota ya 8 katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 23 Oktoba na 22 Novemba. Ufafanuzi hapa nawajumuisha wote waliozliwa kuanzia tarahe 22,23,24,25 na kuendelea mpaka mwisho wa mwez Octoba na kuanzia tarehe 1,2,3,4 mpaka tarahe 22 mwez Novemba. Ikiwa huijui tarahe yako wenye majina yaliyoanza na herufi H na T wote ni watu wa Nyota ya Nge. Ikiwa unaijua tarahe yako angalia nyota inayoendana na tarahe yako hujui ndio uangalie jina.    ASILI, SIKU, RANGI NA PETE ZA BAHAT Asili ya nyota hii ni Maji

UCHAMBUZI WA NYOTA PETE, SIKU ZA BAHATI MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA MIZANI'

Image
HII ni makala ya saba katika zile nyota 12 ambazo nimepanga kuzizungumzia siku ya leo. Mashuke ni Nyota ya saba watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia tarahe 23 Septemba mpaka 22 Octoba. Ufafanuzi namaanisha wote waliizaliwa kuanzia tareh 22,23,24,25 nakuendelea mpaka mwisho wa mwez wa Septemba  na kuanzia tarehe 1,2,3,4 mpaka tarhe 22 octoba. Km hujui tarahe yako ya kuzaliwa wale majina yao yalioanziwa na heruf G na S hawa pia ni nyota ya mizani. Kama unaijua tarahe yako ya kuzaliwa usishughulike na jiana fuata tarahe yako ikiwa huijui ndio ushughulike na jina. Nyota halisi ni tarahe yako ya uzawa.      ASILI, RANGI, PETE NA SIKU ZA BAHAT Asili ya nyota hii ni Upepo, Sayari yake ni Zuhura. Jinilsia yake ni dume hali yake ni thabiti uimaara. Jini wa nyota hii anaitwa Zawbat, malaika wa nyota hii Anyail. Siku yao ya bahati ni Ijumaa namba zao za bahati ni 6 na 9. Manukato yao ni yenye asili ya uaridi, Rangi za bahati kwa wenye nyota hii ni Kijani isiyoiva. Blue pamoja

UCHAMBUZI WA NYOTA RANGI, SIKU, PETE ZA BAHATI, MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA MASHUKE'

Image
KARIBU tena katika muendelezo wa darasa zangu zinazohusiana na nyota, ndoto, miti shamba na dawa asili kwa ujumla. Leo tutazungumza kuhusiana na nyota ya Mashuke uchambuzi siku ya bahati rangi gani nzuri kwao namba zao za bahat na mambo mengine anaykuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Nyota hii ni ya sita katia ya zile nyota 12 za uzawa. Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kati ya tarahe 22 Agost hadi 22 Septembea. Ufafanuzi hapa namaanisha wote waliozaliwa kuanzia tarahe 22, 23,24,25, nakuendelea mpaka mwisho wa mwezi na wale waliozaliwa kuanzia tarhe 1,2,3,4,5 mpaka tarhe 22 mwez Septemba wote nyota yao ni Mashuke. Kama hujui tarahe yako wale majina yao yanayoanziwa na heruf P,T na R.     ASILI RANGI NAMBA SIKU NA PETE ZA BAHAT Asili ya nyota hii ni Udongo, Sayari yao ni Uttwarid. Malaika wao ni Mikyail jini wao anaitea Barkaan. Siku yake ya bahati ni Jumatano namba yai ya bahati ni 5. Rangi za o za bahati ni Udongo, Njano na rangi ya Machungwa. Kama ukipata bahat y

NYOTA SIKU, NAMBA, RANGI ZA BAHATI MAFANIKIO NA MAPENI 'NYOTA YA SIMBA'

Image
UHALI gani mpenzi mfuatiliaji wa darasa zangu zinazohusiana na maradhi mbalimbali, uchambuzi wa nyota na mambo mengine yakidunia. Leo tunaendelea na uchambuzi wa nyota katika mafanikio ya kimaisha na mapenzi na leo tunazungumzia nyota ya Simba anayekuletea darassa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. unaweza pata darasa hizi kupitia page yangu hii au group la dawa za kisunna na tiba asili hapa facebook au group la whatsap kwa kulipia. Nyota ya Simba ni nyota ya tano katika zile nyota 12 na watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa kuanzia tarehe 23 Julai hadi tarahe 22 Agosti. Ufafanuzi wake ni wale wote waliozaliwa kuanzia tarehe 23,24,25,26 mpaka mwisho wa mwez Julai na wale waliozaliwa kuanzia tarahe 1,2,3,4,5 nakuendelea mpaka tarahe 22 Mwez Agost hawa wote nyota yao ni Simba.  Na wale ambao hawazijui tarehe zao za kuzaliwa basi kama jina lako linaanzia na heruf E,Q,S n T wote hao nyota yao ni Simba. Ikiwa unaijua tarhe yako ya kuzaliwa achana na na kufuatilia jina lako maana nyota ha

BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI

Image
UHUSIANO WA BUNDI KATIKA UTAJIRI, NUKSI NA UKARAIBU WAO NA WACHAWI KUNA taarifa ziliwahi kusambaa kwamba mayai ya bundi na rupia huleta utajiri na wengi waliaosikiahivyo na wakaanza kutafuta mayai hayo na wengine kuingia msituni kwenda kutafuta rupia. Leo ntagusa kwa uchahe kuhusu hili ipo siku yake ntalizungumzia kwa undani. Kwwnza si pesa za kutumia ukatesa, zinakuwa na mashart ambayo hizo pesa huwez tumia na mwanamke yoyote wa nje yaan kuhonga, huwez saidia mtu anapopatwa na matatizo kutumia hizo hela kuna kuwa na mashart mengine siwez kuyaweka wazi. Na hata uchukuaji wake wa yai yatakiwa asiliaone mwanamke yoyote toja linatagwa mpaka linatengenezewa hyo kazi. Shughuli kubwa ni kuipata hiyo rupia imetosha tuendelee na mada yetu   SIFA HALISI NA UHUSIANO WAKE NA WACHAWI Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo. Anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi ana uwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama

KUHUSU NYOTA MAFANIKIO, MAPENZI SIKU NA SAA ZA BAHATI ' NYOTA YA KAA'

Image
MUENDELEZO wa maandiko yanayohusiana na uchambuzi wq nyota, na hiimakala ya nne katika mfulizo wa makala 12 za nyota ambazo nimepanga kuzizungumzia hapa na leo tutazungumzia nyota ya KAA. Tutagusia mafanikio siku za bahati namba za bahat na tabia zake katika mapenzi anayekuletea darasa hizi ni Mtabibi ASILI TZ. Hii ni nyota ya nne kwa uzawa katika nyota 12 watu wa nyota hii ni wale waliozalia kuanzia tarahe 21 Juni mpaka 22  Julai. Hapa namaanishia waliozaliwa kunazia tarahe 21,22,23,24 mpaka mwezi jui unapoishia na tarhe 1,2,3,4 mpaka kufikia tarahe 22 mwez julai wote nyota yao ni KAA. Ikiwa hujui tarahe yako ya kuzaliwa  kama una jina linaanzia heruf D na H wote nyota yao ni moja. Ikiwa unajua tarahe yako achana na kushughulika na jina tarahe ya uzawa ndio nyota yenyewe ikiwa hufahamu ndo angalia herufi ya jina lako. Narejea tena nyota ni tarahe ya kuzaliwa ukiwa hufahamu tarehe ndio uangalie heruf ya jina lako.        ASILI RANGI SIKU NA SAA ZA BAHATI ZA KAA Asili ya nyo

NYOTA NA TABIA ZAKE KATIKA MAISHA NA MAPENZI 'NYOTA YA MAPACHA'

Image
HII ni makala ya tatu katika mfulizo wa makala 12 za nyota ambazo nimepanga kuzizungumzia hapa na leo tutazungumzia nyota ya mapacha. Tutagusia mafanikio siku za bahati namba za bahat na tabia zake katika mapenzi anayekuletea darasa hizi ni Mtabibi ASILI TZ. Hii ni nyota ya tatu kwa uzawa katika nyota 12 watu wa nyota hii ni wale waliozalia kuanzia tarahe 21 Mei mpaka 20 Juni. Hapa namaanishia waliozaliwa kunazia tarahe 21,22,23,24 mpaka mwezi mei unapoishia na tarhe 1,2,3,4 mpaka kufikia tarahe 20 mwez juni wote nyota yao ni mapacha. Ikiwa hujui tarahe yako ya kuzaliwa  kama una jina linaanzia heruf C,O,K na G pia nyota yao ni mapacha.        ASILI RANGI NA SIKU ZA BAHAT Asili ya nyota hii ni Upepo, jinsia yake ni yakike sayar yake ni Uttwarid, siku ya bahat ni Jumatano namba ya bahat ni 6. Rangi za bahat ni bluu, njano na rangi ya chungwa. Rangi zinazowavutia kimapenz ni rangi ya samawati. Kifedha ni rangi ya fedha na kijivu. Vito na pete za bahat kwa mwanaume upate pete

WATU WENYE MIDOMO AU KUFUATILIA SHUGHULI ZA WATU JINSI YA KUWAZIBA MIDOMO 'MAWIFI, WAKWE, OFISINI NK

Image
SOMO hili ni kwa ajili ya kuziba watu midomo hasa wale wanaofuatilia mambo yako na kukukosesha raha. Ikiwa waishi nyumba na watu wenye kuongea sana mawifi wakwe ofisini fuatalia hili darasa mpanga mwisho.     MASHARTI KWA MFANYAJI Yatakiwa kweli iwe umeonewa na wasemwa kwa ubaya ikiwa wewe ndiye mbaya unataka kuwafanyia wenzio kwa kuwaonea itakurudia na kukudhuru. Mahitaji ya shughuli hii yatakiwa upate kitu alichotema kwa mdomo wake mfano mswaki punje za ubuyu machungwa au mchanga aliotemea mate. Ikiwa wataka umfunge na mwendo asiweze kutembea kupeleka habar zak utachukua na unyayo wake wa mguu wa kuume. Mchanga alipokanyagia mguu wa kulia ukiwa bila viatu bimaana peku. Utatafuta kitambaa cheusi kirefu ganda la konokono aliyekufa usimuue umkute aliyekufa akiwa wa baharini ni vzur zaid, upate unga wa muinamo, poza . Kazi yako utaifanya siku ya jumatatu saa tano asubuhi au jumanne saa moja asubuhi. Utawkea vifaa vyako sehemu moja utachukua utaweka kitu kilichotoka mdomoni mw

UCHAMBUZI WA NYOTA NA TABIA ZAKE KATIKA MAFANIKIO YA KIMAISHA NA MAPENZIYA 'NYOTA NG'OMBE'

Image
MUENDELEZO wa darassa zinazohusiana na nyota zenu hasa katika maisha ya mwadamu utafutaji ridhk mapenzi na mambo mengine ya siri. Leo tutaongelea nyota ya ng'ombe ikiwa ni sehemu ya pili baada ya jana kuongelea nyota ya punda anaykuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Hii ni nyota ya pili katika ule mzunguko wa nyota 12 na watu wa nyota hii ni wale waliozalia kuanzia tarhe 20 April hadi May 20. Au watu wenye majina yanayoanziwa na heruf B,V na U na nyota hii ina jinsia ya kike. Kama umezaliwa kuanzia tarehe 20 April namaanisha 20,21,22,23 mpaka unapoishia mwez huo na ukaanza tena mwez April tarhe 1,2,3,4 mpaka 20 April ndio watu wa nyota hii pia kama huijui tareh yako ya kuzaliwa ila jina lako limeanziwa na heruf nilizozitaja pia na wewe ni miongoni mwa nyota hio.    ASILI SIKU NAMBA NA RANGI ZA BAHAT Asili  ya nyota hii ni Udongo sayari yake ni Zuhura siku yake ya bahat ni ijumaa namba yake ya bahati ni sita rangi ya bahat ni ya kijani.      Kama unahtaji