FAHAMU KUHUSIANA NA MMEA WA MZALIA NYUMA TIBA KWA UZAZI NA MATATIZO YA HEDHI
MMEA huu ni mdogo kiumbo lakini una mambo mengi sana katika tiba za asili. Niliwahi kuugusia siku za nyuma leo ufahamu kwa upana. Mmea huu huoatikana kwa wingi kwenye vipor vidogo hasa maeneo wanayoishi watu . Wanaoishi ukanda wa Pwani mti huu si mgeni. Angalia vzur picha ili uufahamu maana nitaulizwa unaitwaje kwa kizigua sijui nitajia jina lake kwa kihaya sijui kikwere mimi sifundishi lugha natoa darasa za dawa kwa mti na mimea sasa jitahd kuangalia picha vzuri. Ukichemsha majani ya mti huu ukanywa glas mbili kwa siku ndani ya siku saba inaweza kukutibu malaria sugu na homa ya matumbo iliyokomaa tyfoid. Kushusha homa kali chemsha majani ya mti huu tumia kwa kunywa kikombe cha kahawa inashusha mapema sana homa ila ina asili ya uchungu watoto wadogo na wajawazito hawaruhusitiki kutumia hii. Wanaosikia maumivu wakati wa jimai na husikii raha ni maumivu tu twanga mti wote mizizi na majani yake tumia kunywa subr kipindi cha hedhi ukimaliza acha kunywa mara mbili kw