Posts

NAMNA YA KUTOA MAJINI WANAOSUMBUWA WANAADAMU

Image
FAHAMU KUHUSU UTOAJI WA MAJINI NA KUWATULIZA MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO  WIKI iliyopita nikizungumzia kuhusiana na falme zinazomiliki siku. Nilifafanua kuhusu Sayari inayobeba siku, Jini mwenye nguvu wa siku na Malaika msaidizi. Nikaweka masaa na kazi zake uradi wa siku na makafara yanayohusiana na siku husika. Sasa naanza kujibu baadhi ya maswali niliyoulizwa sana. Ila kabla sijaenda mbele napenda kutoa muongozo ukiona nimeweka darasa hapa una swali uliza chini ya makala husika namba nimeweka kwa wenye shida hivyo mnanipa wakati mgumu kunijazia jumbe za maswali hivyo mpaka wengine wanaohitaji ushaur ama dawa naahindwa kuziona jumbe zao.  Katika zile makala niliongelea kuhusu masaa na siku za kushughuika na mambo ya majini kama ulipitwa makala zipo kama uliiona ukaipuuzia basi isome utapata ufahamu mkubwa. Wengi nimegundua wanasumbuliwa na majini kulingana na maswali halaf idadi kubwa ni majini mahaba na majini mait

SIKU NA MILKI ZAKE, FAHAMU KUHUSU MALAIKA, JINI NA SAYARI ZINAZOBEBA SIKU

Image
MAKALA HAYA YANAONGELEA MILKI ZA SIKU. YAANI JINI MALAIKA NA SAYARI ZINAZOMILIKI SIKU. NITAFAFANUA SAYARI NA NYOTA ZENYE UWEZO WA KUWA NA NGUVU KWA SIKU HUSIKA PIA NA MATUKIO MUHIMU UNAYOWEZA KUYAFANYA. Katika tiba kuna siku na saa maalumu ambazo kuna kazi zikifanyika huwa na mjibu mujarabu. Yaan kuna kazi zikifanyika siku fulani muda fulan basi majibu yake huwa ni mazuri na hafaka zaidi kuliko zikifanyika siku zingine za kawaida. ww.tabibuasili.blogspot.com Hapa chini nitaongela siku na yanayohusiana na siku hiyo hivyo jitahidi kuwa makini sana katika kusoma. Kila siku zinakuwa na masaa ya kazi ila kuna siku maalumi kwa kazi maalum hivyo umakini wahitajika ukiwa wasoma. Nitafafanua kuhusu masaa buhuri dua na makafara.                   SIKU YA JUMATATU   Siku ya Jumatatu inatawaliwa na SAYARI ya QAMAR au KAMAR 'Moon'. Sayari hii ipo mbingu ya kwanza, Malaika wake  ni JIBRIL na jini wake ni MURRATUL ABYADH. Jini huyu na malaika wake hutawala siku ya leo mchana na Al

SIFA ZA NYOTA KATIKA MAPENZI

Image
MAMBO MUHIMU YA TABIA, SIFA ZA NYOTA KATIKA MAMBO YA MAPENZI MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO MUHIMU KUHUSU NYOTA Kama ni mfuatiliaji mzuri wa ukirasa huu utakuwa umekutana na makala nyingi kuhusiana na nyota. Nimeshafafanua nyota zote kila kinachowahusu. Na huu ni muendelezo wa sifa na tabia za kimapenz katika kila nyota. Wapo wanaopenda kunyenyekewa wao tu wapo wanaopenda kuhongwa wapo kiasili wao ni wahuni sana jitahd kusoma kwa umakini kisha weka coment yako mwisho wa makala haya. Nyota ambazo hupenda sana kuanzisha mahusiano na mtu mwenye fedha ama mwenye wadhfa fulani na ukifulia wanakuacha ama kukutesa. Ni nyota ya SAMAKI, MAPACHA, NDOO, SIMBA, MBUZI na nyota ya  MIZANI. Nyota za watu wanaojua kubembeleza kwenye mapenzi na wanajua kupenda. Ni watu wa nyota za NG'OMBE,MAPACHA, NG'E na watu wa nyota ya KAA Nyota ambazo ni ving'ang'anizi na wanajua sana kubembeleza wanapohitaji jambo lao la

NDOTO ZINAZOHUSIANA NA FUNZA KUOZA TAFSIRI NA HATUA ZA KUCHUKUA

Image
KABLA ya kuanza darasa hili napenda kutoa muongozo nimekuwa nikiuweka mara kwa mara hapa. Maswalu yote ya ndoto nayajibu hapa bure kabisa ukiona umesoma post ikaandikwa maswali ya ndoto uliza hapa chini, basi ukiuliza utajibiwa. Wanaohitaji kutafsiriwa private inbox aidha kwa kuona haya kuuliza hapa ama yuwaona mambo yako ni ya siri nmeweka pia utaratibu utalipia utatsfiriwa hivyo huwa sijib mesej za ndoto ila kwa wanaolipia maana nmetoa fursa hapa. Pia kama umempatia mtu namba yangu ana shida za kindoto basi mtosheleze kwanza kuhusu utaratibu au muelekeze aje hapa aulize ni bure. Darasa la leo litahusiana na kuwaona funza ama vitu vilivyooza kwwnye ndoto. Ili kitu kitoe funza lazima kiwe kimeoza na ili kioze lazima kiwe kimekufa hivyo vitu vinavyotawaliwa na funza mara nyingi huwa vimekufa na kuoza. Hivyo kwa asilimia kubwa funza ndotonk huashiria kufa kwa kitu, ama maradhi yaweza kuwa kuondoka ama kuingia. Pia huashiria mashambulizi ya nafsi inayohusiana na mambo ya sihir

TIBA YA HEDHI ISIYOKATA. HEDHI ISIYOKOMA SABABU NA TIBA YAKE

Image
SHIDA, MARADHI YA HEDHI ISIYOKOMA 'ISIYOKATA' KILA mwanamke aliyefikua baleghe yampasa kumpaka hedhi mara moja kwa kwa mwezi. Ndio wajibu na ndio mfumo wa afya ya uzazi ulivyo. Wapo wanenda mara mbili ndnai ya mwez mmoja ila unachotakiwa ni kuzijua siku zako za kwenda hedhi wakati mwingine huo mwez utakuta na mkubwa bimaana unas iku nyingi kuliko mzunguko wako wa hedhi. Wapo mizunguko yao siku 25 wapo wengine 23 wapo wengine 27 nk. Mfano huyu mwenye mzunguko wa siku 23 halaf ikwa hedhi yake anakwenda siku tatu tu anakata. Ikitoke kaanza kupata hedhi tarehe moja mwezi kimahesab atamaliza tarehe tatu ya mwez ukijumlisha mzunguko wake ambao ni siku 23 basi unapata siku 26 huyu ana weza akaenda hhedhi mara mbili ndanu ya mwez ila mzunguko wake upo vile vile haujaharibika ni wala si tatizo. Hii huwatokea sana waliotoka kuzaa halaf hawaon hedhi labda miez saba nane mwaka wengine mpaka mtoto atembee wakija kuanza kupata hedhi huwasumbua na ratiba hubadilika huwa si ile ya awali. Huo n

ASILI, TABIA NA MZUNGUKO WA MAPENZI KINYOTA

Image
NIKIZUNGUMZIA NYOTA ZINAZOENDANA HIVI KARIBUNI. NIMEGUNGUA WENGI WENU HAMPENDI KUSOMA WALA MKISOMA MNAYAACHA HAPOHAPO UNAMKUTA MTU KILA SIKU AULIZA SWALI LILE LILE AMBALO USHALIJIBU. KWA KUKUONGOZEA MAARIFA KILA NYOTA INA ASILI YAKE KATIKA MAPENZI YAANI INA MTU AMBAYE AENDANA NAE. KUNA KUNDI LINALOENDANA HALAFU KUNA MTU AMBAYE AENDANA NAE YAAN KUNA NYITA ZIKIKUTANA HASAA NDIO MAFANIKIO HUWA MAKUBWA ZAIDI. KATIKA ILE MAKALA NIMEELZA KILA MTU ANA MTU WAKE WA NYOTA INAYOENDANA MTAFUTE HUYO IKIWA UNA MTU WA KUNDI LINALOENDANA BASI ITAKUWA NAFUU ILA MAFANIKIO YALE MAKUBWA HUTAYAFIKIA. HIVYO KAMA UNA MTU HAUENDANI NAE YAHITAJIKA MAMBO YA KITAALAM KUFANYIKA NA SI LAZIMA MM NDIO NISHUGHULIKIE MAANA KILA MTU ANA IMANI YAKE HIVYO WAWEZA FIKA KWA WATAALAM WA NYOTA WALIO KARIBU NAWE WAKASHUGHULIKIA UKIHITAJI MSAADA WANGU NAMBA ZIPO MWISHO WA MAKALA. MAELZO HAPA CHINI YANAHUSIANA NA TABIA ASILI ZA KILA NYOTA NA NINI CHA KUFANYA.             WATU WA NYOTA YA PUNDA Wana sifa y

DAWA ASILI ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI

Image
BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.   Wapo watu wanatumia gharama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.     Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo. Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko   1.MTINDI.  Kwa wenye Madoa usoni tafuta.                           mtindi safi fanyia masaji kwa.                               dakika 15 hadi nusu SAA kisha.                           ukimaliza OSHA na maji vuguvugu                    Fanya hvyo kwa majuma kadhaa.                         utapata mabadiliko. 2.JUISI YA LIMAO  Kwa madoa ya mwilini.                               

MILANGO YA MARADHI YA KILA NYOTA

Image
NIMEWAHI kuzungumza kila nyota mambo yanayowahusu ikiwemo siku za bahati, watu wakushirikiano nao, maisha ya ujana na uzee. Kumiliki mali, pete za bahati nk. Kama ulipitwa soma post zilizopita, makala haya nitaongelea maradhi yanayowasumbua kila nyota na mwishoni nitatoa ushaur hatua za kuchukua soma kwa umakini mpaka mwisho wa makala. Anayekuletea makala haya ni mtabibu Asili tz.            MARADHI YA NYOTA YA PUNDA Wanaandamwa sana na husda za watu wao wa karibu na mara nyingi hurogwa na kukwamishwa mambo yao. Hupata fedha huwa haikai hujitoa sana kusaidia watu wanapokuwa nacho ila kusaidiwa kwao ni ngumu Maradhi yao huambatana na jini khafqaan huyu husumbua sana Moyo na Kichwa, mwili hupata joto pia mwili huchoma kama aliyejikoni. Siku ya kutibiwa maradhi yake sugu ni Jumanne itaangaliwa milango ya saa. Siku kwake ya kurogwa ni Jumapili pia huangakiwa masaa. Asili ya nyota hii ni Moto siku njema ni Jumanne na siku mbaya kwake ni Jumapili.          MARADHI YA NYOTA YA NG&

NDOTO ZINAZOHUSU JENEZA, KABURI NA ISHARA ZAKE

Image
TUPO KWWNYE MUENDELEZO WA NDOTO ZINAZOHUSIANA NA VIFO, MAITI, JANEZA AU SANDUKU NA KABURI. TAYARI NISHAFAFANUA KUHUSU KUWAONA WATU WALIOKUFA NDOTONI. PIA NDOTO ZINAZOHUSIANA NA MAITI KUONA KUZISHIKA NA MAMBO MENGINE. LEO NAONGELEA NDOTO ZA KABURI NA MAJENEZA AU SAMDUKU IKIWA ULIPIYWA NA NDOTO NILIZOELEZA HAPO JUU SOMA POST ZILIZOPITA UNA SWALI LA NDOTO ULIZA HAPO CHINI. Jeneza ama sanduku ni usafiri wa mwisho unaotumika kumpeleka marehem kwenye nyumba yake ya milele. Hivyo Jeneza hushiria huzuni ama mwisho wa jambo ya fulani wakati mwingine huashiria wema ama ubaya yategemea na mazingira ya muotaji yapoje.     NDOTO ZINAZOHUSINA NA JENEZA Ukiota upo ndani ya jeneza fasili yake  utajenga udugu na mtu kwa ajili ya mungu hivyo kuwa makini na aina ya marafiki ulonao. Ikiwa utaona umebebwa kwenye jeneza  Utatawala na kupanda daraja na watu watakufuata kama ulivyowaona ndotoni na pia ni ishara ya kuwashinda maadui zako.  Mazingira ya ndoto hzi zile zinazoishia kwwnye jeneza kisha