Posts

MALI UTAJIRI WA MIZIMU WA UKOO NA MIZIMU YA KUFUNGAMA NAO

Image
KARIBIA WIKI NZIMA NAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MIZIMU NIMETOA ZAIDI YA MAKALA MOJA NIKIONGELEA KUHUSIANA NA MIZIMU. NIMEPATA MASWALI MENGI JUU YA WALE WANAOSIKIA NA KUTAKA HABARI ZA MALI AU UTAJIRI HIVYO JITAHD KUSOMA KWA UMAKINI ANAYEKULETEA DARASA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ. Watu wengi siku hizi wamekuwa na akili ya kutafuta utajiri kwa njia zisizo salama kwao. Kuna wengine hufuata mkumbo kwa kila wanachosikia. Katika mfululizo wa darasa nilizowahi kutoa kuhusu Mizimu nmeelza namna unavyoweza kusaidika kwa mizimu ya ukoo na mizimu ambayo siyo ya ukoo. Maswali mengi yakaja juu ya utajiri je Mizimu inaweza kukupa utajiri hasa ya ukoo. Hapa sitakuwa na maelezo mengi zaidi ya kurejea kile nilichowahi kuzungumza kwenye makala za utajiri. Hapa nitaongezea nyama na kuweka utofaut wake katika kuutafuta huo utajiri gharama na mashart yake. Upo utajiri wa mali bimaana unapata pesa tu na upo utajiri majini wenyewe wa ukoo ambao ni mizimu wanakuchagulia shughuli ya kufanya sasa kupitia hi

FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI TIBA KWA AFYA, JANI LA UZAZI

Image
MAKALA iliyopita nilizungumzia kuhusiana majani mawili adhwimu ambayo ni tiba mujarabu kwa U.T.I, kichocho,macho, kutoa maji ukeni na kubana uke nk. Km ilikupita tembelea ukurasa wetu  Leo naleta kwenu majani mengine mawili. Hii ni mimea midogo kiumbo lakini ni mikubwa kiutendaji, namba moja ni mgagani na mbili ni jani la uzazi. mgagani Mgagani niliuleza kwenye makala iliyopita leo nitawapa faida nyengine tatu.  1. Hutibu kipanda uso Unachukua majani unatwangwa kisha unachanya na alymit kidogo unatafuta kitambaa aidha cha kanga au kaniki au chochote lakini kiweze kuzunguka kichwa chako kama usongo vile. Utaweka katikati huo mchanganyo utaikunja mara mbili ili majani yakae kati ya kitambaa na yasimwagike utajifunga usongo hakikisha dawa iwe kwenye paji lako la uso itakufukuta usiitoe ndo dawa yenyewe kaa nayo kwa nusu saa. 2. hutibu sikio Twanga majani ya mgagani kisha utaweka mafuta ya kitunguu saumu, kisha weka kwenye kitambas kisafi ifunge kisha minya unyunyuzie matone ma

PETE ZA MVUTO WA BIASHARA NA KINGA

Image
PETE ZA BAHATI MVUTO WA BIASHARA KINYOTA ZISIZO NA MASHART NMETOA mfululizo wa makala kadhaa kuhusiana na masuala ya pete za bahati. Niliongelea kuhusiana na pete za bahati utajiri wa majini pete za majini wa asili na pete za majini za kuombe. Haya yalikuwa katika vipengele vya utafutaji wa utajiri wa makafata na ule usio na makafara. Kama umepiwa pitia post za chini mara umalizapo kusoma makala haya. Makala haya bitajikita kufafanua kuhusiana na bishara. Nitaeleza vipi utanufaika kwa pete ya bahati ya nyota yako. Faida utakazopata na vipi utapata hizo pete na namna ya kuzitumia. Msisitizo ni uleule jitahidi kusoma kwa umanini mpaka mwisho yaani namaanisha nukta ya mwisho. Sababu mwishoni mwa hizi makala huwa nafafanua walau kwa ufupi mambo ambayo unaweza usielewa hapa juu pia nadadavua baadhi ya mambo ambayo unaweza ukawa na swali ama kubaki njia panda.       PETE ZA BAHATI NI ZIPI NA FAIDA ZAKE Pete za bahati ni pete maalumu inayotengenezwa kwa ajili ya mvuto, kinga, kuku

UCHAMBUZI WA THAMANI YA HERUFI C KATIKA MAISHA NA MAPENZI

Image
UCHAMBUZI HUU UNALETWA KWAKO NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO MUJJARAB LEO TUNAENDELA DARASA ZA THAMANI NA UCHAMBUZI WA HERUFI ZA MAJINA KATIKA MAZINHATIO YA KIMAISHA. HEEUFI HIZI ZINAHUSIANA NA MASUALA YA UTAFUTAJI NA MAISHA YA KIMAPENZI KATIKA UTAFUTA MAENDELEO. TUMESHAZUNGUMZA HERUFI A,B SASA LEO TUNAINGIA HERUFI C. UTARATIBU NI ULEULE JITAHDI KUSOMA KWA UMAKINI MWANZO MPAKA MWISHO.    MAMBO YANAYOHUSINA NA HERUFI C watu wenye herufi hii wametawaliwa na hisia kali sana na hupenda kukasirika upesi. Ajkili zao hazijatulia ni wafu wanaobadilika badilika wanamaneno mengi. Wana ushawishi mkubwa wa kimaneno. Katika mapenzi, wao wanapenda vitu au mambo tofauti tofauti, wakihisi wamechoshwa basi huwa wa kwanza kuondoka aidha kwa muda au moja kwa moja. Sio watu waaminifu mara zote wanahisi kwamba kuna kitu wanakikosa nje hivyo basi wanatoka sana nje, hata kama wakiwa wana ndoa yenye furaha.Wengi wao wanafikia hatua ya kuishi maisha ya sehemu mbili; mke

UCHAMBUZI WA THAMNI YA HEEUFI B KINYOTA MAISHA MAFANIKIO NA MAPENZI

Image
TUPO KWENYE MUENDELEZO WA KUCHAMBUA HERUFI NA THAMANI ZAKE KATIKA MAISHA YA BINAADAMU NA MAPENZI. TUMESHAMILIZA HEEUFI A SASA TUNAINGIA HERUFI INAYOFUATA AMBAYO NI B. CHAMBUZI HIZI ZINALETWA KWAKO KUPITIA PAGE HII YA MTABIBU ASILI TZ NIPO MBION KUREJESHA GROUP LA WHATSAP ILA LITAKUWA NA MALIPO NA NI ELF KUMI KWA MWEZI KWA WANAOHITAJI TU. NAREJRA TENA GROUP LITAKUWA LA MALIPO NA NI ELF KUMI KWA MWEZ KWA WANOHITAJI TU. Herufi B huwakilishwa watu wenye hisia kali watu wapole wanaofanya mambo yao kwa usiri mkubwa. Ni watu wasiopenda tabu wala shida hawapendi kujiumiza sana linapotokea jambo basi wapo tayar kuacha kitu ili amani ya nafsi zao zipatikane. Hawapend sana kusumbua akili biahsra au jambo likiyumba huona ni heri kuachana nayo. Wanarubuniwa haraka wepesi wa kusahau pia wanaweka visasi.    NINI KITATOKEA HERUFI B IKIKUTANA NA HERUFI NYINGINE B&A mapenz yatakuwepo ila A atajifanya mjuaji zaidi ataishi kwa kutaka kuwa juu. Ndoa ama mahusiano yaweza kuisha bila sababu y

UZITO WA HERUFI YA JINA LAKO KATIKA MAISHA NA MAPENZ 'HERUFI A'

Image
HABARI ZA JION NMEZUNGUMZA SANA KUHUSU NYOTA NA KILA KINACHOWAHUSU SASA NTAWALETEA MFULULIZO WA UZITO WA HERUFI YA JINA LAKO. ANAYEKULETEA MAKALA HIZI HADHWIM NA NGUMU ZENYE MAARIFA NI MTABIBU ASILI TZ. Hapa ntaongelea uzito wa herufi ya mwqnzo wa jina lako. Ukikutana na hwrufi ya jina nyingine nini kitatokea maisha yako yatakuwaje na wapi unaweza kutoka kulingana na matatzo utakayokutana nayo ungana nami mwanzo mpaka mwisho. Leo tutaanza na herufi A mkileta ushirikiano mzuri nitaendelea mpaka herufi Z kukiwa hakuna ulazima basi nitaziandika na kuziweka kwenye blog. Ikiwa utataka ,iwekwe hapa basi usisite kuweka coment yako hapo chini. Watu wenye herufi A huwa wakimya sana hufanya mambo yao kisiri. Na hupenda sana kuwasikiliza wapenzi wao kuliko wazazi na ndugu zao. Watu hawa uzazi kwao upo karibu sana ila huchelewesha ama kukwamishwa na aina ya watu wanaokuwq nao kwwnye mahusiano. Watu hawa husumbuliwa na majini ama maradhi ya kijini na kupona kwako huchukua muda. Watu haw

KUHUSU MALI ZA WAKOLONI 'WAJERUMANI, RUPIA, VITU VYA KALE' FAIDA HASARA NAMNA YA UPATIKANAJI

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHID KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO MUHIMU NILIWAHI kuzungumza kuhusu namna ya kupata madini kwa watu wa wanaofanya shughuli migodini. Nilipata maswali kadhaa kuhusiana na mali za kikoloni na rupia sasa jitahdi kusoma kwa upole makala yote pili nasisitiza maswali yaulizwe chini ya coment.  Mali za kikoloni ziliwekwa ardhini kwa kuficuwa baada ya wakoloni wenyewe kufanya safara ya kurejea kwenye nchi zao. Waliweza kubeba mali zinazobebeka na nyingine kuzizika ardhini. Lengo la kuweka lilikuwa mali chini moja ni sehemu salama kwao kwa kuwa nyakati hizo waaftika wengi walikuwa hawana elimu. Lengo la pili wakifika kwenye nchi zao huwaoa ramani watu wao wa karibu ili kuja kuzichukua na kuondoka nazo  Inasemekana mali hizo ni rupia na viti vingine vya thaman ambazo kama ukifanikiwa kuzipata na kufanikiwa kuuza basi maisha yako yanatononoka kwa kipato utajachokipata. Katika kila kanda basi kuna masalia ua mali za Mjera

NAMNA YA KUTOA MAJINI WANAOSUMBUWA WANAADAMU

Image
FAHAMU KUHUSU UTOAJI WA MAJINI NA KUWATULIZA MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO  WIKI iliyopita nikizungumzia kuhusiana na falme zinazomiliki siku. Nilifafanua kuhusu Sayari inayobeba siku, Jini mwenye nguvu wa siku na Malaika msaidizi. Nikaweka masaa na kazi zake uradi wa siku na makafara yanayohusiana na siku husika. Sasa naanza kujibu baadhi ya maswali niliyoulizwa sana. Ila kabla sijaenda mbele napenda kutoa muongozo ukiona nimeweka darasa hapa una swali uliza chini ya makala husika namba nimeweka kwa wenye shida hivyo mnanipa wakati mgumu kunijazia jumbe za maswali hivyo mpaka wengine wanaohitaji ushaur ama dawa naahindwa kuziona jumbe zao.  Katika zile makala niliongelea kuhusu masaa na siku za kushughuika na mambo ya majini kama ulipitwa makala zipo kama uliiona ukaipuuzia basi isome utapata ufahamu mkubwa. Wengi nimegundua wanasumbuliwa na majini kulingana na maswali halaf idadi kubwa ni majini mahaba na majini mait

SIKU NA MILKI ZAKE, FAHAMU KUHUSU MALAIKA, JINI NA SAYARI ZINAZOBEBA SIKU

Image
MAKALA HAYA YANAONGELEA MILKI ZA SIKU. YAANI JINI MALAIKA NA SAYARI ZINAZOMILIKI SIKU. NITAFAFANUA SAYARI NA NYOTA ZENYE UWEZO WA KUWA NA NGUVU KWA SIKU HUSIKA PIA NA MATUKIO MUHIMU UNAYOWEZA KUYAFANYA. Katika tiba kuna siku na saa maalumu ambazo kuna kazi zikifanyika huwa na mjibu mujarabu. Yaan kuna kazi zikifanyika siku fulani muda fulan basi majibu yake huwa ni mazuri na hafaka zaidi kuliko zikifanyika siku zingine za kawaida. ww.tabibuasili.blogspot.com Hapa chini nitaongela siku na yanayohusiana na siku hiyo hivyo jitahidi kuwa makini sana katika kusoma. Kila siku zinakuwa na masaa ya kazi ila kuna siku maalumi kwa kazi maalum hivyo umakini wahitajika ukiwa wasoma. Nitafafanua kuhusu masaa buhuri dua na makafara.                   SIKU YA JUMATATU   Siku ya Jumatatu inatawaliwa na SAYARI ya QAMAR au KAMAR 'Moon'. Sayari hii ipo mbingu ya kwanza, Malaika wake  ni JIBRIL na jini wake ni MURRATUL ABYADH. Jini huyu na malaika wake hutawala siku ya leo mchana na Al