UCHAMBUZI WA THAMANI YA HERUFI E KATIKA MAISHA NA MAPENZI
HUU ni muendelezo wa chambuzi za thamani ya herufi katika Maisha ya Utafutaji na Muinganiko wa Kimapenzi. Nimeshafafanua herufi A, B, C na D kama umepitwa basi jitahd kusoma post za nyuma herufi hizo tayata nimeshazifafanua. Leo nitazunguma herufi E uchambuzi wake katika maisha masuala ya utafutaji na mambo ya kimapenzi. Jitahd kusoma kwa umakini sana. Pia jitahd kusona maelezo mpaka mwisho kunakuwa na ufafanuzi wa mambo muhimu. TABIA MIENENDO YA WATU WA HERUFI E Watu wa herufi hii wanapenda sana ufahari na kutukuzwa. Hupenda kuonekane wana hali nzuri kimaisha wanapenda sana kuheshimiwa. Ni watu wakarimu lakini wajeuri na wanapenda sana kuonea watu. Wana hisia kali, ni wakali na wanakiburi.Tabia yao ni kujitanua, Ukarimu na ulezi ikichanganyika na ujeuri na kujionyesha, huwaharibu wale wanaowapenda. watu hawa huwa ni wakali sana katika mapenzi na mara nyingi huwa hawadumu kwenye mapenzi kutokana na ukali wao na huwa ni watu wenye ghadhabu za mara kwa mara hasa akikosewa a