Posts

IFAAHAMU NYOTA YAKO SIKU YAKO YA BAHATI NA NAMBA YAKO YA BAHATI

Image
BAADA kuzungumza kuhusiana na ngekewa na ile makala ya pete za bahat, na majini maswaliengi yalikuja hata wengine hawafahamu nyota zao ni zipi. Sasa leo jitahidi kuwa makini kwenye hili somo nitazungumzia nyota na kuichambua vzuri tafadhali angalia tarehe na mwez vzur Soma makala kwa makini usiniulize swali ambalo nimeshatolea ufafanuzi hapa. Jitahidi kuwa makini na kuelewa ninaposema mtu aliyezaliwa kuanzia 21 mwez wa tatu mpaka tarehe 20 mwezi wa nne namaanisha watu waliozaliwa kuanzia tarhe 20, 21, 22 na kundelea mpaka mwezi wa nne kuanzia tarhe moja,2,3........mpaka20 zinaenda hivyo angalia tarhe na mwez wa kuzaliwa kisha angalia upo upande gani utapata majibu hujui mwez wa tarhe ya kuzaliwa nitafute ila utachangia. Yafuatayo ndio machambuzi ya nyota siku yako ya bahati, nani ushirikiane nae rangi gani ya bahati nk NYOTA YA SAMAKI,PIECES,HUWT. Watu waliozaliwa kuanzia 21 februar mpaka 20 Mach Inatawala siku ya alhamisi Tabia yake maji. Namba yake nzur kumi na mbili. Nyo

JINSI YA KUMJUA MPENZI UNAYETAKA KUOANA NAE JE YUAFAA AU HAUFAI NiNI UREKEBISHE MAMBO YAWE SAWIYA

Image
JINSI YA KUJUA KAMA MPENZI WAKO ANAKUFAA AU HAKUFAI NILIWAHI kuandika mambo ya kuzingatia kabla hujaingia kwenye ndoa. Nikazungumzia habar za nyota zinazoendana nikaweka makala nyengine inayozungumzia saa na siku nzuri za kufunga ndoa kulingana na nyota zenu leo tuangalie je anakufaa au hakufai. Pia anaweza akawa hakufai lakini unampenda nini kifanyike. Na je ikiwa umeshaoa na ukagundua hukuwa hakufaia hakutakuwa na mafanikio kwenye ndoa hakutakiwa na watoto wala mali jambo gani lifanyike ili usimuache na mambo yakae sawa fuatilia darassa kwa umakini Leo nitagusia senetes moja tu kwenye kitabu kikubwa cha saaatul habar kitabu kinachozungumzia milango ya saa hesabu na majibu katika maisha ya mwanaadamu sasa unataka kuoa au kuolewa ufanye nini kujua chukua  jinaa la mpenzi wako baba yake na mama yake yaani matatu kisha chukua kila jina heruf moja ya kwanza mfano mpenziwako aitwa Harith baba yake Ubaid Mama yake Maryamu utachukua H+U+M nenda kwenye alfabet  A mpaka Z  kwa kuzi

KUKUZA DHAKARI 'KIBAMIA' NA KUREFUSHA KINEMBE 'KISIMI'

Image
MAKALA haya yameandaliwa na mtaalam wa tiba asili Tanzania Mtabibu Asili TZ kwenye ukurasa wa facebook unaweza tembelea kwa madarassa na dawa zaidi. Leo tutazungumzia kuhusiana na jimai yaani tendo la ndoa. Kuna wanawake wamekuwa wakisumbuka kutokana na vinembe vyao kiwa vidodo au vifupi hivyo kuukosa ule msuguano mzuri wa uume wakati wa jimai. Pia kuna wanawake ambao wameathiriwa na mila za ukeketaji hivyo kukosa kabisa hamu ya tendo lenyewe maana kwenye jimai kinembe ndio chumvi yenyewe. Kuna sababu nyingi za kufanya kinembe kuwa kuwa kifupi au kidogo zipo sababu za kirithi. Zipo sababu za makabila mtindo wa maisha wa ulaji vyakula na uvaaji lakini pia kuna maradho mengine ukiumwa kwa muda mrefu huweza kukisinya kinembe. Kuna dawa nyingi za kunywa. Na kupaka pia hirejesha hamu ya tendo kwa wale wasiohisi raha kama utahitaj kuna namba mwisho wa makala haya. Kwa njia rahs tafuta tura au ndulele iloyokamaa mpaka ikaanza kuiva itobe juu minya ule umajimaji wake tumia kuchua k

KUONGEZA MAPENZI KWENYE NDOA KUMDHIBITI MPENZI

Image
KAMA MUME HAKUJALI HAKUPENDI HAKUTHAMINI LAKN WEWE BADO UNAHITAJI TAFUTA TURA AU TUNGUJA AU NDULELE YOTE NI MOJA KASORO MAJINA tafuta mboga yoyote ya majani uipikike pamoja na hyo ndulele kwa manuizi ukitakacho juu yake kisha mpe ale mnaweza mkala watu mia lakn humpata aliyekusudiwa. Ndulele angalia kwenye picha km huijui. Ukimaliza kupika ichome jiko la kuni Au nzur km utapka mlenda ukatakata ili iliwe Km yupo mbal angalia maelrzo yanayofuata au fanya mawasiliano kwa msaada zaid Nb ndulele tura tunguja si sumu tna inatibu vtu vingi nmeamua kuirejea hii makala na nito e ufafanuz si sumu PILI TAFUTA KITU KINAITWA MTIRIRI HII inapatikana maporini ama baadhi ya maduka ya dawa ni dawa yakuchoma ipo kwwnye mtindo wa unga ukihitaji iliyopo tayari nitaarifu inbox au kwa namba zangu choma hiyo mtiriri sema wewe mtiriri mtiririshe huyu fulan bin fulan au fulan binti fulan awe chini yangu kama unavyotiririsha maji kutoka juu kwenda chini Hakika atatulia Una swal shida pga cm 06214429

FAHAMU KUHUSU MTURA NDULELE KATIKA KUMALIZA MATATIZO TOFAUTI

Image
SEHEMU YA PILI MAKALA ya kwanza niliongelea kwa urefu kwa kutibu baadhi ya maradhi kwa kina mama na watoto. Kama ilikupita soma kwenye ukurasa wangu mtabibu asili tz. Leo naendelea na maradhi mengine Maradhi ya kuumwa meno Km jino limetoboka chukua mzizi wa mti wa mtura mkavu chemsha na chumvi kisha nyunyuzia kwenye shimo Km halijatoboka sukutua Mara tatu kwa siku. Kwa watoto wadogo wa kiume wenye ugonjwa wa ngiri kende kusinyaa. Chukua mizizi ya mti huu na mzizi wa mpapai dume itimie saba Chemsha mpe anywe kutwa Mara mbl kwa ck saba Kwa wakubwa Hii inatuliza tu maumivu kutokana mdudu kukomaa ukhtaj dawa nione. Maumivu ya hedhi Chukua unga wa tunda zake kijiko kimoja weka kwenye glass ya maziwa ni dawa mujarabu kwa kunywa. Tumia mpaka maumivu yakate. Kwa matatizo ya uzazi Hutumika mizizi ya mti huu mti wa mzalia nyuma mti wa mkunde pori na miti mingine mitatu hutengenezwa kwa mfumo wa unga na maji Faida ya dawa hii huweza kusafisha mjia wa uzazi kwa wale wenye matatizo ya u

DAWA ASILI YA KUMALIZA MAUMIVU YA MWILI NA VIUNGO KWA UJUMLA

Image
Mara nyingi kutokana na shughuli za mwanadamu kutumia nguvu nyingi kukaa chini kwa muda mrefu Baadae hupata tatizo la viungo kuuma au misuli kuchanika kwa ndani Kuanzia uti wa mgongo, miguu, kiuno misuli pamoja na maeneo mengine ya mwili. Hapa tunatofautisha Yale maumivu yanayotokana na hernia na chango hayo yanatiba zake maalumu. Ukiwa na maumivu hayo tafuta dawa inaitwa alymit. Mafuta ya karafuu na Mafuta ya kitunguu saumu na mafuta ya ndimu. Vyote vinapatikana maduka ya asili  Sasa utachanganya vtu nlvyovtaja na utakuwa ukichua eneo linalouma kwa dakika tano mpaka dawa iingie ndani kwenye misuli na mifupa Hii hata kwa wenye ganzi ile inayoanza unaweza kutumia Hii alymit ina maajabu mengi sana katika tiba za asili. Kwanza inaweza kukata mafua Mara moja utaichanganya na mafuta ya zaituni utapaka kidogo mwanzon mwa tundu za pua inafungua haraka hata kuziba pua  Ina faida nyingi km ulipitwa soma masomo kwenye wall yangu. Pili ni mujarabu kwa kutuliza wapenzi wasiotulia masom

FAHAMU KUHUSU MTI WA MCHACHAA KATIKA TIBA ZA MAPENZI KUMVUTA MPENZI NA KUMREJESHA MPENZI NDAN YA SIKU TATU

Image
UCHAWI WA ZAMANI SEHEMU YA 3 HAPA NAFAFANUA MATUMIZI YA MZIZI WA MCHAACHAA KATIKA KUTIA WATU KICHAA CHA MAPENZI ANAYEFANYIWA HIVI HAKIKA ANAPATA KICHAA LAKIN CO CHA KUOKOTA MAKOPO NI CHA MAPENZI MAHITAJI MZIZI WA MCHAACHAA MZIZI WA PILIPILI KICHAA PESA YA SARAFU AU NOTI YA NYEUPE AU SILVA MFANO ELF MOJA AU TANO YA TZ CHUKUA HYO PESA  CHUKUA MIZIZI YOTE HIYO MIWILI UWE UNAISUGUA HIYO SARAFU KWA JUU NA CHINI HUKU UKISEMA MANENO YAFUTAYO ewe fulani bin fulan nataka upate kichaa na uwashwe kama uliyekula pilipili kichaa, upate ukichaa co wakuokota makopo bali ukichaa wa mapenzi kila unionapo uwashe nikiwa mbali uwashwe unipende mimi mengine utaongezea mwenyewe UKIMALIZA MPE MUHUSIKA HAKIKISHA ANANUNUA KITU CHA KUKILA KWA HYO PESA HAKIKA AKILA TU UTAPATA majibu ndan ya ck 3 au mnunulie wewe kitu cha kukila. Kama huwez kuonana nae utachukua vitu vyote kasoro sarafu kisha utatafuta karatasi nyeupe itaandikwa majina ya wahusika na bibi na bwana majina matatu  kisha utaenda kuifukia

FAIDA ZA MCHAIMCHAI KWA AFYA NA MAPENZI

Image
Ukitaka kuwafukuza Mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria nyumbani kwako panda Mmea wa Mchaichai au weka huo Mmea ndani ya nyumba yako kama pambo basi Mbu hawata sogea nyumbani kwako. FAIDA YA KUTUMIA MCHAICHAI KAMA TIBA NA CHAKULA Faida za mchachai zipo nyingi sana wengi wetu hudhani mchaichai ni kuongo cha kuweka kwenye chai pekee,au ni dawa kwa ajili ya kuua mbu pekee,ila mchaichai huwa na faida lukuki zaidi ya hizo tu. Naomba uweze kusoma makala haya ili uone faida nyinginezo za mchaichai. faida za mchaichai kiafya. 1. Mchaichai ni kinga dhidi ya saratani. Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenye kila gram 100 ya mchaichai, kuna viondosha sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili dhidi ya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006, timu ya watafiti kutoka Chuo kikuu cha Gurion, Israel waligundua mchaichai una uwezo wa kuua seli zinaweza kusababisha saratani. 2. Hutibu magonjwa ya kuhara. Husaidia umeng’enyaji wa chakula Chai ya mchaichai hurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula n

MCHAICHAI MMEA NA MAFUTA YAKE TIBA KWA MARADHI YA UREMBO ASILI.

Image
NILIWAHI kuongelea kuhusu mchaichai kwa urefu jinisi inavyotibu maradhi mbalimbali na kuhusu masuala ya mapenzi kama ilikupita itafute kupitia page yangu ya mtabibu asili tz. Leonitaongelea faida za mafuta pamoja na mchaichai wenyewe. Asili ya mchaichai ni bara la Asia hasa nchi za falme za kiarabu. Mafuta yake asili hutokea huko Asia kwan ndiyo wenye ujuzi wa kuyandaa vzur. Mafuta ya mchaichai yana faida nyingi sana kwa maradhi ya ngozi na urembo wa wanawake. Ukichukua mafuta ya mchaichai ukachanganya na mafuta ya zaituni 'oliv oil' ukipaka kwwnye nywele utazifanya kuwa nyeusi kuondoa mba kujaza nywele. Huondoa mabaka kichwan kwa watoto hhondoa mapunye sugu. Huondoa utangotango matumizi ni kupaka sehemu iliyoathirika. Ukichukua mafuta ya mchaichai ukachanganya na mafuta ya nazi ni dawa nzur ya maumivu ya kufanyia massage mwili mzima. Ni mafuta mazur kwa watoto wadogo. Kwa maumivu ya miguu kuwaka moto kufa ganzi chukua mafuta ya mchaichai changanya na mafuta nyonyo

FAHAMU KUHUSU KINYWAJI ASILI CHA KUONGEZA NGUVU NA KUKUPA AFYA

Image
Habari za muda huu Kwa wale wanaohitaji kinywaji cha kuongeza afya mwilini na kutoa sumu fuata maelekezo. Kinywaji hiki kinaweza kukupa nguvu baada ya kutumia energy drink. Kwa wale waliokuwa wanatumia dawa zozote kwa muda mrefu kinaweza kukuondolea sumu Pia kwa wale watu wa diet inawahusu pia      MAHITAJI carrot ginger Limao Beets Tengeneza juisi yako na unaweza kukitumia muda wowote na pia unaweza kutembea nacho kwa nyinyi mnaoenda maofini UNAWEZA UKAONGEZA PILIPILI MANGA NA HABBATSOUDA KUKUPA NGUVU ZAIDI Beetroots zinapatikana masokon km upo dar fika kariakoo Maswali kuhusu somo uliza hapa chini +255621442936

FAHAMU NJIA ASILI ZA KUPUNGUZA MAZIWA KUSIMAMISHA DEDE

Image
LEO NAFUNGUA mwaka kuwapa zawadi wale wanaosumbuliwa na na maziwa makubwa au yaliolala ndala Ofa yetu ya kutoa dawa inaishia kesho kama unahtaji dawa yoyote kwa bei punguzo fanya mawasiliano sasa  NINI KINASABABISHA MAZIWA KUWA MAKUBWA AU KULALA kuna sababu nyingi zinazosababisha mwanamke kuwa na maziwa makubwa au ndala sababu zenyewe ni kama ifuatavyo *kunyonyesha muda mrefu *kushikwa na kuvutwa *mwili kuchoka *maumbile nk VIPI UNAWEZA KUYARUDISHA MAZIWA YAKO YAWE KWENYE MUONEKANO MZURI                  KUFANYA DIET Diet yenye viwango maalum itakufanya kupungua baadhi ya vitu kwenye mwili wako ikiwemo uzito na minyama uzembe na muscles kukaza. Ili kupunguza ukubwa na unene wa maziwa unatakiwa wakati unafanya diet unatakiawa ule vyakula vyenye madini, vitamin na calcium pia isipe siku hujala nyanya au carrot pamoja na cabichi EPUKA SIGARA NA POMBE                KUOGELEA Penda kuogelea walau mara mbili kwa wiki na wakat unaogelea hakikisha huvai vtu

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE KWA KUTUMIA TANGAWIZI NA LIMAO

Image
Baada ya kufanya vizuri kwenye makala mbili zilizopita ambazo zilikuwa zinazungumzia 1. Juu ya kupunguza unene na tumbo 2. Jinsi ya kuulinda uke usiwe mkubwa na kutoa maji na kupata mrejesho mzuri sasa tuongelee jinsi ya kupunguza maziwa tumbo na mikono.   Kama ulipitwa na masomo tajwa hapo juu tafadhali tembelea kwwnye ukuta wa akaunti hii utawwza kuyaona masomo hayo na mengine mengi.    Kwa kawaida wanawake na wanaume mmekuwa mkisumbuliwa na unene. Na gharama za kupunguza unene zimekuwa kubwa watu wanauza dawa mpka 120000 hazina matokeo mazuri.   Kama muhanga wa tatizo hill fuata taratibu zifuatazo vzuri kabisa. Kuwa makini wakati unasoma usije ukauliza swali wakati majibu yapo Juu. Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo na mikono iliyoning'inia manyama uzembe mahitaji tangawizi mbichi limao au ndimu. Zoezi hili ni vyema ukalifanya ukiwa huna SHUGHULI ny