FAHAMU KUHUSU MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE
FAHAMU KUHUSIANA NA MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE AFYA ZA WATOTO KWANZA tufahamu jambo moja mtoto kulia ni hali ya kawaida sababu haweza kuzungumza anaweza kulia akisikia njaa, kajisaidia haja, pahala panamuuma au pia ukiwa umemlaza mda mref pia hulia kwa kuchoka mgongo hivyo si kila kilia mtoto ni tatzo. Pia mtoto asipolia kabisa nalo pia ni shida maana hospital ukijifungua huweza kabidhiwa mtoto ikiwa halii lazima watamchunguza kwanza. Sasa kuna kulia kupitiliza mtoto hataki nyonyo akilia analia mpaka mtaa mzima wanajua sasa hilo ndio tatzo ninalolizungumzia leo. Yawezekana akawa analia usiku tena sana na kuna wengine wao muda wowote wanalia. Ukiachana na sabab nilizotaja hapo juu zipo sbabu nyingine zinazomfanya mtoto kulia kupitiliza mfano mtoto kama akiwa hana kinga anaweza kufuatwa na wachawi usiku si kwa lengo la kumdhuru wanamtisha kwa sura zao na tupu zao hivyo mtoto hulia muda wote kwa woga hata ukimpa nyoyo anaweza kulikataa. Pia ka