NGUVU YA MIZIMU YA UKOO FAHAMU ASILI, TABIA NA UNDANI WAKE KATIKA MAFANIKIO
UHALI gani mpenz mfuatuliaji wa darasa zangu za tiba asili miti nyota ndoto na mambo mengine kadhaa kupitia ukurasa wangu huu wa Mtabibu ASILI TZ. Niwaoe shukran kwa ushurikiano wenu popote mlipo mnatuma jumbe za shukran na wengine kuomba ufafanuzi juu masuala kadhaa wa kadhaa nawapa kutoka Kenya, Uganga, Congo, Oman na sehem nyengine mbalili ikiwemo ardhi mama ya Tanzania. Baafa ya shukran leo nitaeleza kuhusiana na mizimu nini asili yake na vipi unaweza kunufaika nayo na vipi unaweza kupata hasara soma kwa umakini sana huwenda maelezo haya usiyapate pengine popote zaidi ya hapa. Mizimu ni mkusanyiko wa Majini ama kikundi cha majini chenye asilia tabia na tamaduni zinazofanana. Yaana kwa lugja nyepes kama unavyoona mashabiki wa Simba kuna vtu watakuwa wanafanana ambao huwatifautisha mashabiki wa Yanga. Watu wa kusini Wamakonde kuna vtu hawafanani sawa na watu wa Ukanda wa Pwani. Basi ndivyo ilivyo hata kwa majini wale wanaoendana tabia na mila ndio hukaa na kutembea pamoj