Posts

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO KUFANIKIWA AMA KUTOFANIKIWA SABABU NA UNDANI WAKE SEHEMU YA PILI

Image
BANDIKO hili ni makala ya pili katika mfululizo wa makala zinazohusiana na masuala ya mizimu. Makala iliyopita ambayo ni ya kwanza niliongelea kuhusiana na ufafanuzi kwamba mizimu yenyewe ni nini na ili iwe mizimu yatakiwa ifanyike nini. Pia nikaongelea watu ambao wameteuliwa kuichunga ama kuisimamia mizimu dalilu zako na ndoto zao wanazoota. Pia nikagusia wale wanoteswa na mizimu aidha kuna mafungano yalifanywa na wazee wao baadae mashart yakaiukwa hivyo huwatesa waliopo hai kama umepita rejea makala za chini katika ukurasa wangu. Najitahd kukufahamisha kwamba kuna vtu navifafanua kwa nia njema na huwenda usinheweza kuvipata ama kuvijua hivyo jitahd kulike hii page ya Mtabibu ASILI TZ kupata kujifunza mengi zaidi. Darasa lililosiha niliishia kipengele kinachosema kwanini wewe hufanikiwi ukienda kwenye mizimu. Mfabo mnaweza mkaenda watu wawili shida ikawa moja lakini ukshangaa mwenzio akafanikiwa wewe kwako ikawa ngumu na guweza hali ikawa mbaya zaidi. Sasa leo tutaendelea

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO FAHAMU ASILI, TABIA NA UNDANI WAKE KATIKA MAFANIKIO

Image
UHALI gani mpenz mfuatuliaji wa darasa zangu za tiba asili miti nyota ndoto na mambo mengine kadhaa kupitia ukurasa wangu huu wa Mtabibu ASILI TZ. Niwaoe shukran kwa ushurikiano wenu popote mlipo mnatuma jumbe za shukran na wengine kuomba ufafanuzi juu masuala kadhaa wa kadhaa nawapa kutoka Kenya, Uganga, Congo, Oman na sehem nyengine mbalili ikiwemo ardhi mama ya Tanzania. Baafa ya shukran leo nitaeleza kuhusiana na mizimu nini asili yake na vipi unaweza kunufaika nayo na vipi unaweza kupata hasara soma kwa umakini sana huwenda maelezo haya usiyapate pengine popote zaidi ya hapa.  Mizimu ni mkusanyiko wa Majini ama kikundi cha majini chenye asilia tabia na tamaduni zinazofanana. Yaana kwa lugja nyepes kama unavyoona mashabiki wa Simba kuna vtu watakuwa wanafanana ambao huwatifautisha mashabiki wa Yanga. Watu wa kusini Wamakonde kuna vtu hawafanani sawa na watu wa Ukanda wa Pwani. Basi ndivyo ilivyo hata kwa majini wale wanaoendana tabia na mila ndio hukaa na kutembea pamoj

MASHARTI, SHERIA ZA SADAKA KATIKA KUIMARISHA AMA KUJIEPUSHA UPEPO MBAYA KINYOTA

Image
NMEKUWA nikizungumzia kuhusiana na utabiri wa nyota kila asubuhi kupitia ukurasa wangu huu. Katika chambuzi hizo kuna mambo muhimu huwa nayazungumza na ni muhimu kuyafuatilia kuhusiana na nyota yako. Wengi wakisoma hudharau baadae yakiwatokea mazito ndipo wanapoanza kuhangaika kutafuta fumbuzi ama suluhu la jambo fulani. Leo nitazungumzia kuhusiana na sadaka, ikiwa umesoma utabiri nikasema leo jitajd utoe sadaka basi haya ndio maelezo yake ya hyo sadaka kwnza yatakiwa utoe nn na nani afaa kupewa ndio darasa langu la leo anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Kuna tofaut kati ya sadaka na zaka (fungu la kumi). Hii zaka ama fungu la kumi hutolewa kwa mwaka na ina mashart yake kitaalam huitwa ni kafara. Zaka ni sehem ya kukinga mali kuongeza kipato kuvuta wateja nk nikioata wasaa nitaizungumzia. Ila kwa leo tufahamu kuhusiana na sadaka za kinyota ambazo huwa nazizungumzia mara kadhaa kwenye tabiri. Katika mzunguko wa Sayari kuna siku Nyota hukumbwa na hali mbaya sana inaweza ikapit

FAHAMU KUHUSU MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE

Image
FAHAMU KUHUSIANA NA MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE AFYA ZA WATOTO KWANZA tufahamu jambo moja mtoto kulia ni hali ya kawaida sababu haweza kuzungumza anaweza kulia akisikia njaa, kajisaidia haja, pahala panamuuma au pia ukiwa umemlaza mda mref pia hulia kwa kuchoka mgongo hivyo si kila kilia mtoto ni tatzo. Pia mtoto asipolia kabisa nalo pia ni shida maana hospital ukijifungua huweza kabidhiwa mtoto ikiwa halii lazima watamchunguza kwanza. Sasa kuna kulia kupitiliza mtoto hataki nyonyo akilia analia mpaka mtaa mzima wanajua sasa hilo ndio tatzo ninalolizungumzia leo. Yawezekana akawa analia usiku tena sana na kuna wengine wao muda wowote wanalia. Ukiachana na sabab nilizotaja hapo juu zipo sbabu nyingine zinazomfanya mtoto kulia kupitiliza mfano mtoto kama akiwa hana kinga anaweza kufuatwa na wachawi usiku si kwa lengo la kumdhuru wanamtisha kwa sura zao na tupu zao hivyo mtoto hulia muda wote kwa woga hata ukimpa nyoyo anaweza kulikataa.  Pia ka

UCHAWI WA CHUMA ULETE UNAVYOWEZA KUKUATHIRI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO

Image
CHUMA ULETE ni vitendo vya kuibiwa fedha kwa kiini macho yaana u akuwa na fedha half ghafla huoni. Yaweza kuwa ilikuwa mfukoni mwako ama eneo lako la bishara. Leo tutadadvua walau kwa hchache kuhusiana na kadhia hii ya kuibiwa fedha kwa njia za kichawi. Kikawaida mchawi akiingia ndan mwako hana uwezo wakuiba fedha hata uwe na mamilion ndan ataingia atakuchezea mwili atakavyo lakini haweza kutoka na kitu chako kisichopo kwenye mwili wako hawwz kuiba vyonbo wala fedha akiwa kwenye shughuli hiyo. Kinachoiba ni jini wa kichawi ambaye hutumika kwenye wizi wa fedha. Jini huyu anaweza kutumika akiwa nyumban kwa muhuiska yaan muhusika atazungumza nae atapatiwa dawa ataipaka fedha ni lazma iwe ya noti kisha atakuja nayo sehemu yako ya kazi ama bishara atakupatia kwa mkono wa kushoto na utampatia huduma wakati unamrudishia chenji ndipo anapoiba na zile fehda yeye huzikuta nyumbani kwake kwenye sehm maalum ambayo amaeitenga. Njia ya pili anaweza akatembea nayo mwenyewe ile dawa aliyop

MADHARA YA ZINAA 'MAPENZI' KINYOTA INAVYOHARIBU MAMBO YAKO VIFUNGO VYA MWILI

Image
KWENYE makala za uchambuzi wa nyota mara kadhaa nmekua nikizungumza kuhusiana na kuchanganya wapenzi kunaweza kukuharibia mambo yako hasa kinyota. Pia tabia ya kuwa na mtu ambaye hakuendani kinyota inaweza kukupa madhara. Tufahamu je ni kwa namna gani wapenz zinaa inaweza kukuharibia mambo yako kinyota soma kwa umakini makala haya jitahdi usome mpaka mwisho kuna funzo utalipata na kama una tatzo tayar utajua wapi pakuanzia. Zinaa imezungumzwa kwenye vitabu vya sini kuwa na uchafu na sio miongoni mwa njia nzuri. Uharamau wa zinaa umeelezwa kwa kina vitabu vya dini kiimani, pia ukaelezwa madhara yake kisayansi kwamba kuna magonjwa kadhaa ya zinaa yuwaweza kuyapata ikiwa utadumua au kufanya uchafu huo. Kuna kinga kazaa zmegunduliwa ila leo hapa nitakueleza hata ujikinge vipi kuna vitu huwez kuepukana navyo kinyota. Ipo imani ukitembea na mtu fulani basi mambo yako yatakuwa kama yule uliyetembea naye. Hapa ndio wengi wanatembea na watu maarufu, wanatembea na viongozi wa dini, w

JUMBA 'GAMBA' LA KONOKONO KATIKA KUFANIKISHA MATIBABU YA ASILI NA MAMBO MBALIMBALI

Image
KABLA sijaenda kwenye mada husika napenda kutolea ufafanzu jambo fulan. Mlio wengi mmasumbuliwa na mashakiri ya kinyota kimapenz na utafutaji ridhki. Sasa kwa ufupi ridhka na maelezo nitakayokupa kwenye tiba huwa hakuna shortcut kinachotibiwa ni chanzo cha tatzo husika. Wewe mambo yako kukwama ama kukuendea kombo lile ni tatzo lakini lina chanzo chake hiko chanzo ndicho chapaswa kitibiwe. Kinajulikanaje hapo sasa ni kazi ya Wataalam wao watakuangalia watajua nn hasa tatzo na chanzo chake ndipo itakapopatikana tiba. Kwa maana hiyo ukiniuliza swali sijui natoaje nuksi sijui mpenz kanikimbia sijui nataka kumeudisha mtu jibu ntakalokupa halitotofautiana na maelezo nilotoa kwamba hakuna jambo linalofanyika pasina kujua chanzo na uzito wake ndipo utakapojua watibia nn na nm ufanye kumaliza hilo tatzo. Katika matembez yako nafikiri umeshawahi kuona konokono akitembea ama majumba ya konokono hakiwa matupu baada ya wao kufasasa makala haya nitaeleza mambo ambayo yuwaweza kuyafanya n

UPEPO MBAYA UNAOKUMBA NYOTA DALILI AINA ZAKE NA SULUHU

Image
KAMA ni mfuatiliaji mzur wa makala zangu neno upepo mbaya ki nyota hakitakuwa geni masikion mwako. Leo nitafafanua walau kwa uchache ukisikia upepo mbaya kinyota huwa inamaanishwa nini. Na daliki zake ni zipi na nini ukifanye ukishajigundua una tatzo hilo fuatailia makala haya mpaka mwisho anayekuletea chambuzi hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Upepo mbaya ni hali inayoikumba nyota yako yaweza kuwa haki ya muda bimaana katika mzunguko wa sayar ikatokea siku hyo nyota yako ikakumbwa na upepo. Pia kuna hali ya makadirio yaana michezo ya kufanywa na watu sasa hali hii hudumu kwa muda mrefu kwako kama hukuweza kuikabili mapema. Ila ile mzunguko wa sayat huwa ni siku hyo ymtu basi. Ukisoma chambuzi mfano nikisema leo haitakuwa nzur kwako ila choma fisho la nyota yako kinachomaanishwa kuna upepo mbaya utaipitia nyota yako mambo yako mengi yatakuwa na mkwamo wakati mwingine huvuruga mpaka mapenz ila siku ikipita mambo yanarud kama mwanzo na ule mkwamo huisha. Sasa ukiona nmesema kipindi h

KUHUSU PETE ZA MAJINI UPATIKANAJE WAKE NA MASHART YAKE

Image
PETE ZA MAJINI NA UTAJIRI TOFAUTI  MASHART NA UPATIKANAJI WAKE SEHEMU YA PILI JANA nilizungumzia kuhusiana na pete za bahati kinyota nikagusia na pete za utajiri wa majini. Maswali mengi yalikuwa kuhusiana na utajiri hii inaonesha watu wengi wanapenda pesa bila kushughulikia matatzo waliyokuwa nayo. Nmeamua kutoa sehem ya pili ili kutoa ufafanuzi wa kina zaid ikiwa unachukua hataua za kutafuta huo utajiri ufahamu mambo muhimu kabla ya kuutafuta.Wale wanaohitak pete za bahat angalia mwisho wa makala haya kuna namba za simu uchambuzi huu unaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ. Leo nitakueleza utofaut wa pete za majini na pete za utajiri wa majini ni vitu viwili tofaut. Hapa naacha kidogo pete za bahati ambazo kama ulielewa jana hizi hazina masharti yoyote ni matengenezo tu ni kuvaa kukingana na maelezo utakayopewa na atakaye kutengenezea ila pete za majini na pete za utajiri wa majini zina mashart na utaratibu wake jinsi ya kuzipata na huwa haziptaikan kwa sonara wala maduka ya mapambo.   UF

SADAKA ZA KUNG'ARISHA NA KUSAFISHA NYOTA

Image
KATIKA uchambuzi wa Nyota ninazozitoa asubuhi huwa nazungumzia mafusho ya Nyota. Naweza nikaweka maelezo alaf kwenye ushaur nikasema leo watakiwa ufushe fusho la nyota yako kabla ya kuanza shughuli yako. Makala haya yataaangazia juu ya fusho la kila nyota na utumizi wake. Anayekuletea uchambuzi hii ni Mtabibu ASILI TZ. Niliwashatoa makala za uchambuzi wa kila nyota. Zile nyota kumi na mbili kuanzia Punda mpaka Samaki, nilifafanua siku zao za bahat, watu wa kushirikiana nao siku mbaya kwao, malaika na majini wa nyota zao pete vito na shughuli au kazi za kilufanya ili uendane na nyota yako na kujipatia kipato. Makala hizo zipo peruz post za nyuma utaona ukiutaka uchambuz binafs utanilipa ili nikufafanulie kama utaona kazi kusoma post za nyuma. Fusho ni dawa ambayo hutumika kuchoma aidha kwa kujifusha yaan kujifunika ili moshi ukiungie mwilini au kuchoma kawaida. Hutunika katika shughuli mbalimbalu hasa za kuvuta ridhki kutoa uzito kuleta wepes pamoja na masuala ya kimapenzi. Yatakiwa uwe

KUHUSU KUNG'ARISHA NYOTA KWA KUTOA SADAKA KWA WATOTO WADOGO

Image
KUJIIMARISHA KINYOTA MVUTO WA CHUMO LA AMALI ZAKO KILA mmoja anazo shughuli zake za kujitafutia ridhki ili kuyaendesha maisha yake. Zipo shughuli za heri na shari ila si wote wanaofanya shari hupenda wakati mwingine ni majukuku kuwabana na hakuna njia nyengine ya kuyatatua. Si hamasihi watu kufanya shughuli mbaya nipo katika kukuelewesha namna ya kuupata unafuu katika mihangaiko yako. Nmekuwa nikiulzwa sana baadh ya maneneo ninayotumia kuna watu huwachanganya ila hiki ninachoandika ni kiswahili sanifu alhamdulillah nmekaa na wazee pia nmesoma sana kiswahl elimu ya dunia. Hapo juu neno chumo maana yake ni kipato au fedha unayoipata baada ya kufanya kazi amali ni shughuli yoyote unyoifanya ili kupata hicho kipato sasa kuna amali njema na mbaya kama nilivyoeleza hapo. Kabla ya kuendelea nataka niweke sawa ikiwa una mikwamo mambo hayaend unahs na kuona kabisa sio kawaida kwanza yatakiwa iangaliwe tatzo na chanzo chake ikiwa ni vifungo husda upepo mchafu majini nk vishughulikiwe

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

Image
KATIKA uchambuzi wa Nyota ninazozitoa asubuhi huwa nazungumzia mafusho ya Nyota. Naweza nikaweka maelezo alaf kwenye ushaur nikasema leo watakiwa ufushe fusho la nyota yako kabla ya kuanza shughuli yako. Makala haya yataaangazia juu ya fusho la kila nyota na utumizi wake. Anayekuletea uchambuzi hii ni Mtabibu ASILI TZ. Niliwashatoa makala za uchambuzi wa kila nyota. Zile nyota kumi na mbili kuanzia Punda mpaka Samaki, nilifafanua siku zao za bahat, watu wa kushirikiana nao siku mbaya kwao, malaika na majini wa nyota zao pete vito na shughuli au kazi za kilufanya ili uendane na nyota yako na kujipatia kipato. Makala hizo zipo peruz post za nyuma utaona ukiutaka uchambuz binafs utanilipa ili nikufafanulie kama utaona kazi kusoma post za nyuma. Fusho ni dawa ambayo hutumika kuchoma aidha kwa kujifusha yaan kujifunika ili moshi ukiungie mwilini au kuchoma kawaida. Hutunika katika shughuli mbalimbalu hasa za kuvuta ridhki kutoa uzito kuleta wepes pamoja na masuala ya kimapenzi.