MATATIZO YA WATOTO KULEGEA VIUNGO VYA MWILI, SHINGO KUCHELEWA KUKAA NA KWENDA
TAFADHALI jitahidi kuyasoma haya makala kwa umakini tena mpaka mwisho. Ili usije ukauliza jambo ambalo ufafanuzi wake upo. Nasema hivi maana napokea jumbe na simu nyingi za maswali ambayo majibu yake yapo kwenye makala nazotoa wengi wanasoma vichwa vya habar na kuchua namba. Hivyo ukiona nmeweka kitu basi jua kuna maelezo ya kutosha ukisoma yuyaweza kujisaidia mwenyewe au kujua wapi pakuanzia. Nmekuwa nikipokea maswali mengi kuhusiana watoto wadogo kutokana mwili ama kuchelewa katika ukuaji. Hapa nitaeleza baadhi ya sababu na njia zake katika kuliendea tatizo husika kuwa makini katika kusoma. Huwa nawaeleza mara kwa mara watoto wanapozaliwa hasa wale wa vijijini au wale wanaojua umuhimu wa madawa asili huwapeleka kwa wataalam ama wazee nao huwapa mavuo. Mavuo ni dawa maalumu za kuoga na kunywa kwa ajili ya kumkazanisha mtoto viungo na kumuharakisha katika ukuaji wake. Zipo njia nyingi hutumika wapo wanochanja ili atembee haraka akikaa tu ni kusimama na kutembea hana kutambaa. Pia kuna