Posts

ULIMWENGU WA TARASIMU KATIKA KUKIDHI HAJA KUPATA MAJIB YALIYOTARAJIWA 'KUMREJESHA MPENZI'

Image
SIKU hizi tarasimu zimekuwa nyingi kwenye mitandao kila mmoja yiwapost na ndipo wwngi mnapohaidiwa na kutapeliwa. Si vibaya watu kupeana elimu ama kufumbiana mamcho ila uwanda wa tarasimu ni mpana sana kuliko elimu ya miti. Mfano naweza nikaweka mti nikauelezea kwa kina unavyotib maradhi kikawaida tu yale maelezo mtu yoyote kama atafuata vile ilivyoelezwa atapata majibu. Mfano nikiandika mti wa mfangio unatibu masikio we ni mgonjwa ama una ndugu ana shida hyo ukafuata vile ilivyoelezwa majibu kupata ni kawaida. Sasa kwenye tarasimu kuna utofauti kidogo hata kama uwe unajua kuandika kuna mambo yatakiwa yafanyiwe zile tarasimu pili kuna qubur zake bimaana qudra na ucha mungu wako. Hivyo si kila mtu anazo hizo qubur hivyo inakuwa ngumu kupata kile kilichotarajiwa. Hivyo nimeona nitoe haya makala maana maswali ni mengi wanauliza kuhusiana na tarasim wengine wananitumia na picha zilizopostiwa sehem nyengine kutaka ufafanuzi. Kwa kawaida kila siku iendayo kwa mungu zina milki zak

MASHARTI YA KUMILIKI MALI UTAJIRI MAMBO YAKUFAHAMU KABLA YA KUJIINGIZA

Image
  NIMEKUWA nikipokea maswali mengi kuhusiana na kumiliku mali za majini. Kuna kitu huwa mnajichanganya kati ya mali za majini na mali za mashetani Na leo nmeaona niutolee ufafanuzi wa kina ili kupunguza maswali inbox yangu. Mara kadhaa nmezungumzia kuhusiana na pete za majini na kuzitolea ufafanuzi wa kina kama umepitwa na hizo makala jitahd kurejea post za chini.  Jini hutoa mali kwa ridhaa yake akikupenda tu atakupa ishara ya kupata mali hutoi chochote kwake. Mashetani ndio wanaombwa kwenye kumiliki mali ukiona unaenda mibuyuni mizimuni kwenye mito ambapo chini kuna miji mikubwa mali za namna hyo ni mali za kishetani na madhara yake ni makubwa mno kuliko ufikiriavyo.     Huwenda hali ya maisha si nzuri katika ufatutaji ama una shauku ya kumiliki mali pasina kujishughulisha sana. Ama umeshughulika sana lakini yuwaona hali haiwi nzuri kiushaur usipendr kujishughulisha na shughuli za utafutaji wa utajiri bila shughuli maalum. Mimi ninayeandika makala haya naujua mwisho wa hu

LAANA YA ASILI INAYOLETA NUKSI FAHAMU VYANZO NA NAMNA YA KUSHUGHULIKIA

Image
LAANA ni ukosefu wa radhi, yaweza kuwa ni ya mungu au mtu fualan katika jambo fulan. Kuna laana nyongi sana kama nilivyoeleza hapo juu kwamba kuna laana ya mungu lakini pia kuna laana za watu. Nitaziweka katika makundi makuu matano ili ufahamu zaid kuhusu laana vipi yapatikana na vipi utaimaliza.                    LAANA YA MUNGU Hii ndio laana kubwa kuliko zote duniani na hata matokeo yako mabaya sana. Laana hii huwawakumba watu wanaokwenda kinyume na amri za mungu. Kila dini ina sheria zake na mipaka yake mfano dini yangu mm hairusiwi mtu kujifananisha na jinsia nyengine kwa mavazi na matendo mwanaume kuwa mwanamke na mwanamke kuwa mwanaume huo ni mfano. Sasa hapa unaweza ukapata pigo la laana kwa mungu ukaona dunia chungu kutokana na matendo yako kwenda kinyume na maamrisho yake                    LAANA YA WAZAZI Kila dini ina amrisha kuheshimu wazaz wako wawili pia imekwenda mbali kabisa kuwa pepo ipo chini ya nyayo za wazazi wako. Sasa ukifanya vitendo vya kumchukiza m

𝐏𝐄𝐓𝐄 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐉𝐈𝐍𝐈 𝐖𝐀 𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈 𝐔P𝐀𝐓𝐈𝐊𝐀𝐍𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀𝐊𝐄 𝐍𝐀 𝐊U𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐊𝐖𝐀𝐊𝐄

Image
𝐖𝐀𝐓𝐔 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐳𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐩𝐚𝐬𝐢𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐮𝐚 𝐧𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐮𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚𝐣𝐞 𝐰𝐚𝐤𝐞. 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐢𝐦𝐛𝐢 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐫𝐚𝐝𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐥𝐨𝐥𝐨𝐭𝐞 𝐢𝐥𝐢 𝐦𝐫𝐚𝐝 𝐰𝐚𝐮𝐩𝐚𝐭𝐞 𝐮𝐭𝐚𝐡𝐢𝐫𝐢. 𝐇𝐢𝐲𝐢 𝐬𝐢 𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐣𝐞𝐦𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐥𝐢𝐧𝐚𝐥𝐨𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐮𝐣𝐚𝐣𝐢𝐩𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐥𝐢𝐤𝐢𝐭𝐨𝐤𝐞𝐚 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐥𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐚𝐜𝐡𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐝𝐡𝐚𝐟𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐚𝐣𝐚. 𝐌𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐲𝐚 𝐲𝐚𝐭𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐩𝐞𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐢𝐧𝐢 𝐰𝐚 𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐳𝐨 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐦𝐯𝐮𝐭𝐨 𝐚𝐦𝐚 𝐛𝐚𝐡𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐯𝐲𝐨. 𝐍𝐢𝐦𝐞𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐢𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚 𝐳𝐚 𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐢 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐝𝐡𝐚𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐟𝐮𝐚𝐭𝐢𝐥𝐢𝐚𝐣𝐢 𝐦𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐚𝐟𝐚𝐡

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO UHUSIANO KATI YA WATU WALIOKUFA "MABABU,MABIBI" NA MIZIMU

Image
     MUENDELEO WA MAKALA ZA MIZIMU.           SEHEMU TATU    Hii ni makala ya tatu katika mfululizo wa makala zinazohusiana na mizimu nilizowahi kuzoweka hapa. Niliwahi kufafanua mizimu ni nini na kwann inakuwa kwenye ukoo wako. Kama ulipitwa jitahdi kusoma makala za nguma nmeeleza kwa upana na urefu kuhusiana na matatizo haya na wapi yalianzia na pia wale waendaeo kushughulikiwa matatizo yao huko kwenye mizimu pia nmeweka maelezo kwann wanafeli na wapi wanatakiwa waanzie anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.   Watu wengi wamekuwa wakisema natumia mzimu wa babu yangu, ama umewahi kusikia mtu anasimulia kuwa mzimu wa babu ama bibi yangu umenitokea ni kuniambia jambo fulani. Ama wengine huota wakitokewa na mizimu ya watu waliokufa zamani. Yaani hapa wanaota ndugu zao waliokufa wanawajia ndotoni na kuwapa habari fulani ziwe za heri ama shari. Je ni kweli babu ama. Bibi aliyekufa ndiyo kageuka kawa mzimu na ndiye anayekutokea ndotoni.   Wapo watu wanaoamini kuwa mtu uki

MARADHI YA MASIKIO, KUWASHWA, USAWA USIKIVU HAFUFU

Image
LEO KATIIA MAKALA HAYA NITAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MARADHI YA MASIKIO IKIWEMO NA KUTOSIKIA, KUWASHWA MASIKIO NA KUTOKA UCHAFU USAWA JITAHIDI KUSOMA MAKALA MPAKA MWISHO MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ.  Tatizo la kitokusikia ama usikivu hafifu au kutoka usawa ama kuwahswa masikion haya ni matokeo lakini kuna vyanzo vinavyosababisha matokeo haya. Katika tiba yakupasa utibie chanzo, kwa siky huwa napokea simu za shida mbali mbali ila wengi ni shida za kidunia mapenzi na ridhki, huwa napenda kutoa ushaur kwamba yatakiwa kwanza muhuiska ajue chanzo cha matatzo yake ni yapi kisha ndiyo yafanyiwe kazi. Yuwakuta mtu analilia mapenzi kila siku wakati nyota yake haipo sawa baada kushughulika na mambo muhimu ya kinyota yeye ashughulika na matokeo ya kimapenz ambayo msingi wake ni nyota yake iweke sawa. Hapa nilikuwanatoa mfano kwamba kila jambo lishughulikiwe kwa vyanzo. Katika maisha ya mwanadamu kuna mipango ya mungu na kudra zake, pia maharibifu kutoka kwa mwanadamu. H

MATATIZO YA WATOTO KULEGEA VIUNGO VYA MWILI, SHINGO KUCHELEWA KUKAA NA KWENDA

Image
TAFADHALI jitahidi kuyasoma haya makala kwa umakini tena mpaka mwisho. Ili usije ukauliza jambo ambalo ufafanuzi wake upo. Nasema hivi maana napokea jumbe na simu nyingi za maswali ambayo majibu yake yapo kwenye makala nazotoa wengi wanasoma vichwa vya habar na kuchua namba. Hivyo ukiona nmeweka kitu basi jua kuna maelezo ya kutosha ukisoma yuyaweza kujisaidia mwenyewe au kujua wapi pakuanzia. Nmekuwa nikipokea maswali mengi kuhusiana watoto wadogo kutokana mwili ama kuchelewa katika ukuaji. Hapa nitaeleza baadhi ya sababu na njia zake katika kuliendea tatizo husika kuwa makini katika kusoma. Huwa nawaeleza mara kwa mara watoto wanapozaliwa hasa wale wa vijijini au wale wanaojua umuhimu wa madawa asili huwapeleka kwa wataalam ama wazee nao huwapa mavuo. Mavuo ni dawa maalumu za kuoga na kunywa kwa ajili ya kumkazanisha mtoto viungo na kumuharakisha katika ukuaji wake. Zipo njia nyingi hutumika wapo wanochanja ili atembee haraka akikaa tu ni kusimama na kutembea hana kutambaa. Pia kuna

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO KUFANIKIWA AMA KUTOFANIKIWA SABABU NA UNDANI WAKE SEHEMU YA PILI

Image
BANDIKO hili ni makala ya pili katika mfululizo wa makala zinazohusiana na masuala ya mizimu. Makala iliyopita ambayo ni ya kwanza niliongelea kuhusiana na ufafanuzi kwamba mizimu yenyewe ni nini na ili iwe mizimu yatakiwa ifanyike nini. Pia nikaongelea watu ambao wameteuliwa kuichunga ama kuisimamia mizimu dalilu zako na ndoto zao wanazoota. Pia nikagusia wale wanoteswa na mizimu aidha kuna mafungano yalifanywa na wazee wao baadae mashart yakaiukwa hivyo huwatesa waliopo hai kama umepita rejea makala za chini katika ukurasa wangu. Najitahd kukufahamisha kwamba kuna vtu navifafanua kwa nia njema na huwenda usinheweza kuvipata ama kuvijua hivyo jitahd kulike hii page ya Mtabibu ASILI TZ kupata kujifunza mengi zaidi. Darasa lililosiha niliishia kipengele kinachosema kwanini wewe hufanikiwi ukienda kwenye mizimu. Mfabo mnaweza mkaenda watu wawili shida ikawa moja lakini ukshangaa mwenzio akafanikiwa wewe kwako ikawa ngumu na guweza hali ikawa mbaya zaidi. Sasa leo tutaendelea

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO FAHAMU ASILI, TABIA NA UNDANI WAKE KATIKA MAFANIKIO

Image
UHALI gani mpenz mfuatuliaji wa darasa zangu za tiba asili miti nyota ndoto na mambo mengine kadhaa kupitia ukurasa wangu huu wa Mtabibu ASILI TZ. Niwaoe shukran kwa ushurikiano wenu popote mlipo mnatuma jumbe za shukran na wengine kuomba ufafanuzi juu masuala kadhaa wa kadhaa nawapa kutoka Kenya, Uganga, Congo, Oman na sehem nyengine mbalili ikiwemo ardhi mama ya Tanzania. Baafa ya shukran leo nitaeleza kuhusiana na mizimu nini asili yake na vipi unaweza kunufaika nayo na vipi unaweza kupata hasara soma kwa umakini sana huwenda maelezo haya usiyapate pengine popote zaidi ya hapa.  Mizimu ni mkusanyiko wa Majini ama kikundi cha majini chenye asilia tabia na tamaduni zinazofanana. Yaana kwa lugja nyepes kama unavyoona mashabiki wa Simba kuna vtu watakuwa wanafanana ambao huwatifautisha mashabiki wa Yanga. Watu wa kusini Wamakonde kuna vtu hawafanani sawa na watu wa Ukanda wa Pwani. Basi ndivyo ilivyo hata kwa majini wale wanaoendana tabia na mila ndio hukaa na kutembea pamoj

MASHARTI, SHERIA ZA SADAKA KATIKA KUIMARISHA AMA KUJIEPUSHA UPEPO MBAYA KINYOTA

Image
NMEKUWA nikizungumzia kuhusiana na utabiri wa nyota kila asubuhi kupitia ukurasa wangu huu. Katika chambuzi hizo kuna mambo muhimu huwa nayazungumza na ni muhimu kuyafuatilia kuhusiana na nyota yako. Wengi wakisoma hudharau baadae yakiwatokea mazito ndipo wanapoanza kuhangaika kutafuta fumbuzi ama suluhu la jambo fulani. Leo nitazungumzia kuhusiana na sadaka, ikiwa umesoma utabiri nikasema leo jitajd utoe sadaka basi haya ndio maelezo yake ya hyo sadaka kwnza yatakiwa utoe nn na nani afaa kupewa ndio darasa langu la leo anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Kuna tofaut kati ya sadaka na zaka (fungu la kumi). Hii zaka ama fungu la kumi hutolewa kwa mwaka na ina mashart yake kitaalam huitwa ni kafara. Zaka ni sehem ya kukinga mali kuongeza kipato kuvuta wateja nk nikioata wasaa nitaizungumzia. Ila kwa leo tufahamu kuhusiana na sadaka za kinyota ambazo huwa nazizungumzia mara kadhaa kwenye tabiri. Katika mzunguko wa Sayari kuna siku Nyota hukumbwa na hali mbaya sana inaweza ikapit

FAHAMU KUHUSU MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE

Image
FAHAMU KUHUSIANA NA MTOTO ANAYELIA, KUWEWESEKA NA KUSTUKA SABABU NA UTATUZ WAKE AFYA ZA WATOTO KWANZA tufahamu jambo moja mtoto kulia ni hali ya kawaida sababu haweza kuzungumza anaweza kulia akisikia njaa, kajisaidia haja, pahala panamuuma au pia ukiwa umemlaza mda mref pia hulia kwa kuchoka mgongo hivyo si kila kilia mtoto ni tatzo. Pia mtoto asipolia kabisa nalo pia ni shida maana hospital ukijifungua huweza kabidhiwa mtoto ikiwa halii lazima watamchunguza kwanza. Sasa kuna kulia kupitiliza mtoto hataki nyonyo akilia analia mpaka mtaa mzima wanajua sasa hilo ndio tatzo ninalolizungumzia leo. Yawezekana akawa analia usiku tena sana na kuna wengine wao muda wowote wanalia. Ukiachana na sabab nilizotaja hapo juu zipo sbabu nyingine zinazomfanya mtoto kulia kupitiliza mfano mtoto kama akiwa hana kinga anaweza kufuatwa na wachawi usiku si kwa lengo la kumdhuru wanamtisha kwa sura zao na tupu zao hivyo mtoto hulia muda wote kwa woga hata ukimpa nyoyo anaweza kulikataa.  Pia ka

UCHAWI WA CHUMA ULETE UNAVYOWEZA KUKUATHIRI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAYO

Image
CHUMA ULETE ni vitendo vya kuibiwa fedha kwa kiini macho yaana u akuwa na fedha half ghafla huoni. Yaweza kuwa ilikuwa mfukoni mwako ama eneo lako la bishara. Leo tutadadvua walau kwa hchache kuhusiana na kadhia hii ya kuibiwa fedha kwa njia za kichawi. Kikawaida mchawi akiingia ndan mwako hana uwezo wakuiba fedha hata uwe na mamilion ndan ataingia atakuchezea mwili atakavyo lakini haweza kutoka na kitu chako kisichopo kwenye mwili wako hawwz kuiba vyonbo wala fedha akiwa kwenye shughuli hiyo. Kinachoiba ni jini wa kichawi ambaye hutumika kwenye wizi wa fedha. Jini huyu anaweza kutumika akiwa nyumban kwa muhuiska yaan muhusika atazungumza nae atapatiwa dawa ataipaka fedha ni lazma iwe ya noti kisha atakuja nayo sehemu yako ya kazi ama bishara atakupatia kwa mkono wa kushoto na utampatia huduma wakati unamrudishia chenji ndipo anapoiba na zile fehda yeye huzikuta nyumbani kwake kwenye sehm maalum ambayo amaeitenga. Njia ya pili anaweza akatembea nayo mwenyewe ile dawa aliyop